Tuachane na hayo ya Nyerere! Tuje kwenye hii hoja yako ya mwisho kuhusu Maria!!Fikiria mtu kama Mwl Nyerere aliyetutia katika umasikini mkubwa.
Aliyetengeneza katiba mbaya kupita katiba zote duniani anapigiwa chapua la utakatifu.
Nimetafuta andiko linalotutaka kuomba kupitia Maria mpaka kesho sijaliona.
Mkuu hilo hawataki kulisikia kabisa kuwa Biblia wanayotumia ni wakatoliki walioipanga!Hayo unayoyaita maandika, ni ukatoliki ndio uliyoyaandaa.
Kulikuwa na injili zaidi ya 20, wakatoliki wakakaa wakaamua ziwe nne, leo hii unawaita wanapotoka!
Jibu fupi ni kwamba, hiyo ni imani yao, waachie wao, we endelea na yako!
Sijui unataka mpaka nani aje kukwambia, Mimi nakupenda(ga) sana basi tu wewe huniamini na hunipi nafasi.
Hivi kulishawahi kuwepo ukristo kabla ya ukatoliki?Dola ya roma ilipoona inaanguka ikajivika ukiristo, wakabeba na upagani wakaingia nao.
😀😀 Si nimeconclude na btn yule muasisi/ tawi mmoja au unataka na pale nigome 🏃♀️🏃♀️Sijui unataka mpaka nani aje kukwambia, Mimi nakupenda(ga) sana basi tu wewe huniamini na hunipi nafasi.
I can't believe nimeshindwa kuelewa kabisa...kweli nimechoka sana. Naomba unieleweshe kwa lugha ya upendo tafadhari. Mimi nakuhitaji😀😀 Si nimeconclude na btn yule muasisi/ tawi mmoja au unataka na pale nigome 🏃♀️🏃♀️
Usichoke.. tunakupenda sana.. nakupigia nikuwekee kwa uwazi 😛I can't believe nimeshindwa kuelewa kabisa...kweli nimechoka sana. Naomba unieleweshe kwa lugha ya upendo tafadhari. Mimi nakuhitaji
Kipaji chako Chakuniset na kunipelembapelemba kimetukuka...Usichoke.. tunakupenda sana.. nakupigia nikuwekee kwa uwazi 😛
Nipewe taji langu basi 👑😂Kipaji chako Chakuniset na kunipelembapelemba kimetukuka...
Hata Mimi nimeona lakini sindo viapo vyenu vya kazi, labda nikupe mwanangu umnyanyue juuNipewe taji langu basi 👑😂
Haikuwa kazi nyepesi bro…
Nipe niende nae Central zone kabisa 😀Hata Mimi nimeona lakini sindo viapo vyenu vya kazi, labda nikupe mwanangu umnyanyue juu
ndugu ni upagani hawajui kwamnini yesu alipokufa pazia la hekalu lilipasukaYaan kwamba hamsomi kabisa kabisa maandiko ?.
Mwanadamu Dunia amepewa jina Moja tu la kuombea chochote , nalo ni JINA LA YESU.
Unajiuliza , MTU aliyekufa, Kisha nyinyi wenyewe mliohai mkamuita "Mtakatifu", huyohuyo mnamuomba awaombee Kwa Mungu?.
Mbona ni wazi na suala la akili ndogo tu na huhitajiki kua na Uelewa mkubwa wa masuala ya kiroho ndo ujue kua Mfu Hana lolote alijualo Wala kulisikia wala Hana mawasiliano yoyote yale na Mungu .
Ukiristo wenu ni wa aina gan?
UMESEMA KWELI NDUGUUkatoliki umejaa ibada za kipagani. X Mas ni upagani, ubatizo wa watoto ni upagani, kuombewa na watakatifu ni upagani na ibada za mizimu