Mtoto wa Jadu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 470
- 1,138
Kasome Church history vizuri hukusu christians persecution hadi kuibuka kwa mfalme Constantino hadi Roman catholicism.
Pia kasome Bible History vizuri kuhusu Septuagint ambayo ilikamilika miaka ya 250 BCE hata huo ukatoliki haukuwepo. Leo hii mtu kala maharage kashiba asasema maandiko yaliandikwa na wakatoliki!!!
Ukweli 💯Miongoni mwa jamii yenye watu Bora , wastaarabu , wasomi , waliofanikiwa na ambao sio wanafki ni jamii ya wakatoliki...walokole wanafki sana waliookoka kwa asilimia mia ni wa kuhesabu sana, majungu wao kusengenyana kanisanj wao ..ulitaka kuishi vzr hata kwenye nyumba za kupanga au ujirani ishi na mkatoliki..walokole wakorofi wana uchungu na hasira za karibu san sababu wengi sababu za kuokoka ni historia mbaya na matatizo mabaya ya kwenye maisha
Ulikute hapo lilipo liko kwa shemeji!Hizi nguvu tunazowekeza kwenye kujadili haya mambo tungeziwekeza kwenye mambo ya maana kama wafanyavyo wenzetu nadhani tungekua mbali sana.
Ni rahisi kuzeeka na UONGO wa kuanzia utotoniYaan kwamba hamsomi kabisa kabisa maandiko ?.
Mwanadamu Dunia amepewa jina Moja tu la kuombea chochote , nalo ni JINA LA YESU.
Unajiuliza , MTU aliyekufa, Kisha nyinyi wenyewe mliohai mkamuita "Mtakatifu", huyohuyo mnamuomba awaombee Kwa Mungu?.
Mbona ni wazi na suala la akili ndogo tu na huhitajiki kua na Uelewa mkubwa wa masuala ya kiroho ndo ujue kua Mfu Hana lolote alijualo Wala kulisikia wala Hana mawasiliano yoyote yale na Mungu .
Ukiristo wenu ni wa aina gan?
Yesu tu hakumuita Maria "mama" alimwita "mwanamke" nyie hio dhana ya kumuita mama wa Mungu mmeitoa wapi?Tuachane na hayo ya Nyerere! Tuje kwenye hii hoja yako ya mwisho kuhusu Maria!!
Mary/Maria/Mariamu alikuwa ni mama wa Yesu! Na unafahamu Yesu kwenye biblia alitambulika kama Mwana wa Mungu/Masiya!
Je, ni kosa kumheshimu mama yake Yesu ambaye biblia inamtambua kama Mwana wa Mungu? Ninaamini pia wewe ni binadamu, na hivyo ulizaliwa na mwanamke! Je, ulipokuwa mdogo mahitaji yako yote ya msingi uliomba moja kwa moja kwa baba yako?
Na kama ulipitia kwa mama, shida iko wapi kwa sisi Wakatoliki tukiomba maombi yetu kupitia Mama wa Yesu ambaye ni Maria? Au na jambo kama hili nalo linahitaji kuwepo kwenye maandiko, au linahitaji tu akili ya kuzaliwa!! Au nyinyi ndiyo wale msiowaheshimu mama zenu?
Jibu kwanza hili swali; Kwa nini mnateseka mnapoona Kanisa Katoliki linamheshimu Maria, ambaye alikuwa ni mama yake Yesu? Je, wewe mama yako aliyekuzaa humheshimu?Yesu tu hakumuita Maria "mama" alimwita "mwanamke" nyie hio dhana ya kumuita mama wa Mungu mmeitoa wapi?
Isaya 58:1 inatutaka tusiukalie kimya huu upotofu. Lazima tuwahubiri pale mnapokosea ili mziache njia zenu mbaya na mrejee kwenye ile kweli ya mafundisho ya Yesu Kristo.Jibu kwanza hili swali; Kwa nini mnateseka mnapoona Kanisa Katoliki linamheshimu Maria, ambaye alikuwa ni mama yake Yesu? Je, wewe mama yako aliyekuzaa humheshimu?
Au nyinyi ndiyo wale watoto waliotelekezwa na mama zao mlipokuwa wadogo/baada tu ya kuzaliwa; na hivyo kushindwa kuutambua kabisa umuhimu wa mama!
Umeona eehHizi nguvu tunazowekeza kwenye kujadili haya mambo tungeziwekeza kwenye mambo ya maana kama wafanyavyo wenzetu nadhani tungekua mbali sana.
Huna uwezo wa kuikosoa RC. Na hata ukiikosoa, bado utakuwa unapiga tu makelele. Hakuna Mkatoliki anayepoteza muda wake kuwasikiliza nyinyi Wakatekumeni msio ifahamu imani ya Kanisa Katoliki.Isaya 58:1 inatutaka tusiukalie kimya huu upotofu. Lazima tuwahubiri pale mnapokosea ili mziache njia zenu mbaya na mrejee kwenye ile kweli ya mafundisho ya Yesu Kristo.
Hatutakaa kimya kuwaambia waRC wanapokosea na kuwahubiria ile kweli, maana tukifanya hivyo siku tutayokwenda kukutana na Mungu wetu, tutautolea hesabu ukimya wetu.
Kuhusu kumuheshimu mama yangu, yeye ataheshimiwa kama yasemavyo maandiko na sio vinginevyo.
Anayewakosoa sio mimi ila ile roho ya Mungu itendayo kazi ndani yangu kupitia neno lake. Mkiamua kusikia sawa mkiamua kukaidi sawa pia. Maandiko yanasema mnao uhuru wa kuchagua mtakayemtumikia (Yoshua 24:15).Huna uwezo wa kuikosoa RC. Na hata ukiikosoa, bado utakuwa unapiga tu makelele. Hakuna Mkatoliki anayepoteza muda wake kuwasikiliza nyinyi Wakatekumeni msio ifahamu imani ya Kanisa Katoliki.
By the way, sikio kamwe haliwezi kuzidi kichwa. Na siku zote mkubwa atabakia kuwa mkubwa tu.
Huna roho yoyote ya Mungu ndani yako! Wewe una roho ya ujinga tu.Anayewakosoa sio mimi ila ile roho ya Mungu itendayo kazi ndani yangu kupitia neno lake. Mkiamua kusikia sawa mkiamua kukaidi sawa pia. Maandiko yanasema mnao uhuru wa kuchagua mtakayemtumikia (Yoshua 24:15).
Mbona unanishusha viwango mkuu, mimi nina zaidi ya roho ya ujinga, yaani roho ya upumbavu katika neno la Yesu Kristo. Kwani wewe haujui upumbavu katika neno linalohubiriwa ndio Roho ya Mungu yenyewe? BTW najadili vitu vizito sana na mtu empty katika scriptures; ila wacha nikupe hii ikufungue ubongo kidogo.Huna roho yoyote ya Mungu ndani yako! Wewe una roho ya ujinga tu.