Kyenyabasa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 247
- 715
Wanatazama uwiano wa kura sababu linawafuasi wengi ila imetosha zamu ya KKKT ama Anglican sasaRais akiwa mkristo ni lazma awe mkatoliki japo haipo kwenye katiba.
Na akiwa muislamu awe wa dhehebu gani!? Maana waislamu nao Wana madhehebu yaoRais ni muislamu au mkatoliki hua ipo wazi baina ya dini hizo mbili na ni muiko ambao sidhani kama utavunjwa leo wala kesho
Kwani hii nchi ni ya wakatoliki!?Mleta Mada Ameelewa Hakuna Siri Yoyote Ila Maslahi Na Umeambiwa Haijaandikwa Kwenye Katiba. Madhehebu Mengine Yatapewa Nafasi Mbalimbali Tanzania
Ila Siyo Urais Wa JMT. Katulie Sasa Umeze Mate Yakiwa Machungu Mdomoni
Hili ndio jibu uzi ufungwe.Wakatoliki Wana maekari kwa malefu ya maekari.
Hivyo lazima wale top mmoja wao atoke kwao ili kulinda maslahi yao.
Marekani kwa kipindi cha zaidi ya miaka 200 Biden ndio Rais wa kwanza mkatoliki kumaliza muda wake. Baada yaa JFK. Kuwa terminated...
Kwani dhehebu dominant Marekani ni dhehebu gani!?Wakatoliki Wana maekari kwa malefu ya maekari.
Hivyo lazima wale top mmoja wao atoke kwao ili kulinda maslahi yao.
Marekani kwa kipindi cha zaidi ya miaka 200 Biden ndio Rais wa kwanza mkatoliki kumaliza muda wake. Baada yaa JFK. Kuwa terminated...
Protestants.Kwani dhehebu dominant Marekani ni dhehebu gani!?
Sasa inakuwaje dhehebu lao linachechemea duniani halina ushawishi kama Katoliki!?Protestants.
Hasa hasa Hawa wa Evangelical au waite KKKT kwa hapa wapo 25% ya population ila protestants wote ni kama 50 ya population.
Catholics ni 20% tu.
Nani amekupa ruhusa ya kuandika "uzi ufungwe"?H
Hili ndio jibu uzi ufungwe.
Watu wanalinda maslahi yao support inatoka Vatican
Rais ni muislamu
Hapa yawezekana umesema ukkwl haya madhehebu ni ya kibaguzi mnooo!! Ebu fikiria msabato apate uraisWaamini waka Catholic hawana ubaguzi na hawatumii mihemko, they use logic na kujali na kuheshimu uhuru wa imani za watu wengine. Anaweza msaidia mtu wa imani nyungine bila kujali. Ila sisi tunaojiita wapendwa tunaroho mbaya za ubaguzi wa kidini. Unakuta hata kuolewa/kuoa tuwe kwa wenyewe, huu msemo unakuta tuko somewhere tunaitana wewe ni MKKKT mwenzangu etc. Sijawahi wasikia wa Catholic wakiitana kiubaguzi hivyo. Unaweza kaa na mkatolic na usijue anasali wapi lakn sisi lazima tuulize et unaabudu wapi?..nk.
Ndo maana Mungu anatunyima nafasi za kuongoza nchi, tutaleta ubaguzi
Ahhhhhhh!Sasa uje umpe uraisi muumini wa wa makanisa kama ya akina Makenzie na akina geo si ataipeleka nchi kusikojulikana?