Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

Awe mbaguzi kwani atakuwa raisi kwa ajili ya kuongoza wasabato au watz?
Umeelewa alichokiandika?Na unaielewa katiba ya sasa inavyompa mamlaka makubwa Rais aliyepo madarakani kama hana akili kama "mimi ni dola"?
 
Wanatazama uwiano wa kura sababu linawafuasi wengi ila imetosha zamu ya KKKT ama Anglican sasa

Marais wakatoliki wamekuwa wanalibeba sana dhehebu lao
Wanalipa maeneo makubwa ya ardhi kwa lazima
Ukiwa waziri wa ardhi wewe bishana nao kwenye ardhi huchukui muda utatoka

Pia wamekuwa wanawasapoti kwa vitu vingi mfano kwanini roma shule zake za seminari na vyuo aliachiwa?
Makanisa mengine mpaka leo hayajarudishiwa?
anglican walihangaika wee wakajikuta wanaambulia tu mazengo ambayo sasa ni St johns university
Ila chuo cha ualimu korogwe hosptal ya muhimbili msalato navingne serikali imegoma
Muhimbili ni mali ya Anglican?
 
[emoji2][emoji2][emoji2] uko sahihi wakatoliki Wana mifumo straightforward na sio design za makanisa ya kina gwajima au mwamposa
Uraisi ni taasisi yenye heshima yake.
Sasa umkute Raisi anasali kwenye makanisa ya mazingaumbwe ,mara wajifanye wanafufua watu, mara wanagawa sijui mafuta ya upako wanasali kwenye makanisa ya mabanzi na yaliozungishiwa uzio wa mabati au mapagara ya magorofa ambayo hayajaisha, si utamkuta raisi nae yupo kwenye mkumbo wa kufunga hadi kufa ili kumwona Mungu na kwa kuwa ni Raisi atawashawishi na watanzania wote? Makanisa yanamilikiwa na mume na mke?
 
Nakumbuka lowasa wakati wa kampeni aliingia kanisani akadiriki kusema "na sisi wa kkkt ni zamu yetu" nikajisemea moyoni hapo kajimaliza mwenyewe
Ni kweli na amewaharibia na wengine maana ikitokea mkkkt mwingne watu watajua ajenda yao ni ile ile
 
Kuna mtumishi moja aliwahi niambia kuwa kutokana na kanisa kumiliki taasisi muhimu kama za elimu na afya mapema watu wengi amabao ni elites na powerful wamepita kwao hivyo ni ngumu sana kulitenga kanisa na dola.Hata kukiwa na za ndani namna gani wanazipata tu cause wana watu.
 
Kitendo Cha kuwa protestants tu kinawapa udhaifu, yaani wapinzani wanatumia muda Mwingi kukilalamikia chama tawala kuliko kuimarisha chama chao, alafu wao wako makundi mengi, ACT, CUF CHADEMA, CHAUMA nk, the same kwa KKT, ANGLICAN, GWAJIBOY, UPAKO, MACKENZIE, nk
Mfano wako hauna uhalisia.
 
Sasa inakuwaje dhehebu lao linachechemea duniani halina ushawishi kama Katoliki!?
Ulaya ya magharibi au iliyoendelea ukipenda asilimia kubwa ni protestants... na u protestant ndo ulikua chachu ya mabadiliko makubwa huko ulaya.

Evangelicals hawachanganyi dini na dola.
 
A
Uraisi ni taasisi yenye heshima yake.
Sasa umkute Raisi anasali kwenye makanisa ya mazingaumbwe ,mara wajifanye wanafufua watu, mara wanagawa sijui mafuta ya upako wanasali kwenye makanisa ya mabanzi na yaliozungishiwa uzio wa mabati au mapagara ya magorofa ambayo hayajaisha, si utamkuta raisi nae yupo kwenye mkumbo wa kufanya hadi kufa ili kumwona Mungu na kwa kuwa ni Raisi atawashawishi na watanzania wote? Makanisa yanamilikiwa na mume na mke?
Hahahaha kwamba rais atawashawishi wtz wasile ili wafe wakamuone yesu
 
Back
Top Bottom