Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

Waamini waka Catholic hawana ubaguzi na hawatumii mihemko, they use logic na kujali na kuheshimu uhuru wa imani za watu wengine. Anaweza msaidia mtu wa imani nyungine bila kujali. Ila sisi tunaojiita wapendwa tunaroho mbaya za ubaguzi wa kidini. Unakuta hata kuolewa/kuoa tuwe kwa wenyewe, huu msemo unakuta tuko somewhere tunaitana wewe ni MKKKT mwenzangu etc. Sijawahi wasikia wa Catholic wakiitana kiubaguzi hivyo. Unaweza kaa na mkatolic na usijue anasali wapi lakn sisi lazima tuulize et unaabudu wapi?..nk.
Ndo maana Mungu anatunyima nafasi za kuongoza nchi, tutaleta ubaguzi
Umeua
 
A

Hahahaha kwamba rais atawashawishi wtz wasile ili wafe wakamuone yesu
Si kasema baba na mama mchungaji ambaye Raisi atawaamini baada ya kupata kura na mchungaji kumwambia ilikuwa ni maono yake kuwa atakuwa Raisi si atamwamini? Makanisa yanayopiga ramli kama waganga wa kienyeji?
 
Swali langu ni kwanini awe mroma na muislamu??? Kuna nini kati ya watu hawa wawili??
Jiulize wakati tunapata uhuru mwaka 1961 kuna dini ngapi zilikuwepo na uwiano kiasi gani. Kina Gwajima na Bulldozer hawakuwepo, walikuwepo Lutheran na Roman zaidi. Na kati ya hao, RC ndio wengi kuliko.

Ukiijua statistics pekee inatosha kujibu swali lako
 
Kwan statistics hazibadiliki??
 
Swali langu ni kwanini awe mroma na muislamu??? Kuna nini kati ya watu hawa wawili??
Kwa sababu ndo makundi yenye nguvu za kielimu na kiuchumi ndani ya nchi hii hivyo ni razima wahakikishe rais anatoka mwenye hayo makundi mawili ili kulinda masilahi yao na hili lipo kila nchi dunia nzima.
Ukiona nchi yeyote imepata raisi kutoka kwenye jamii au kundi lisilo na nguvu ndani ya nchi ujue huyo kiongozi yupo madarakani kama picha ila hana maamuzi yeyote ya kimamlaka.

Ukienda America kusini wenye nguvu ni wakatoriki na ni razima kiongozi wa taifa awe mkatoriki.
Ukienda Ulaya Magharibi wakatoriki hawana nguvu yeyote bali wenye nguvu ni warutheran.
Ukienda Ulaya mashariki wenye nguvu ni Waothodox na ndio wanatoa maamuzi nchi nchi zao ziendeshweje.
Ukienda Asia ya kati na Magharibi, mashariki ya kati, Afrika kasikazini na baadhi ya nchi Afrika Magharibi, waislam ndo wenye nguvu na ndo wanaamuwa ni nani aongoze nchi zao.
Ukienda Asia mashariki wenye nguvu ni wabudha na ndo Wana maamuzi juu ya nchi hizo.
 
Nimekuelewa mkuu
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Uraisi ni taasisi yenye heshima yake.
Sasa umkute Raisi anasali kwenye makanisa ya mazingaumbwe ,mara wajifanye wanafufua watu, mara wanagawa sijui mafuta ya upako wanasali kwenye makanisa ya mabanzi na yaliozungishiwa uzio wa mabati au mapagara ya magorofa ambayo hayajaisha, si utamkuta raisi nae yupo kwenye mkumbo wa kufanya hadi kufa ili kumwona Mungu na kwa kuwa ni Raisi atawashawishi na watanzania wote? Makanisa yanamilikiwa na mume na mke?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Moja kwa moja kwenye mada,,,,Tangu tupate Uhuru linapokuja swala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki,,,Je,Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza!?

Najiuliza,je kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa 2015 angekuwa mkatoliki angechukua nchi.Karibuni wajuzi na wachambuzi.
Ni kwasababu ya misingi yao ipo imara sana, hawanenepeshi ng'ombe mnadani, ibada njema huanzia nyumbani, na vipaumbele vyao elimu aridhi huwa wanaona mbali sana hakuna sehemu utaenda uwakose na hawachukui kaeneo hapana, wewe angalia hata viongozi wengi waliosoma na kumaliza walau 1988 kushuka chini amesoma shule za kikatoriki na wapo vizuri sana, halafu hawana ubaguzi, ukiona mkatoriki kambagua mtu ujue huyo kabila lake lina shida, siri yao ni misingi yao wanafundisha uongozi wangali watoto.
 
Wanatazama uwiano wa kura sababu linawafuasi wengi ila imetosha zamu ya KKKT ama Anglican sasa

Marais wakatoliki wamekuwa wanalibeba sana dhehebu lao
Wanalipa maeneo makubwa ya ardhi kwa lazima
Ukiwa waziri wa ardhi wewe bishana nao kwenye ardhi huchukui muda utatoka

Pia wamekuwa wanawasapoti kwa vitu vingi mfano kwanini roma shule zake za seminari na vyuo aliachiwa?
Makanisa mengine mpaka leo hayajarudishiwa?
anglican walihangaika wee wakajikuta wanaambulia tu mazengo ambayo sasa ni St johns university
Ila chuo cha ualimu korogwe hosptal ya muhimbili msalato navingne serikali imegoma
Kwenye swala la ardhi huwa wanafuata sheria, na swala la mashule, wao serikali ilipotaifisha hawakuanza kulia na kususa walisonga mbele na kuendelea kujenga mengine, sasa hao wengine walivyo porwa na serikali wakaa chini na kulia tu.
 
Umeelewa alichokiandika?Na unaielewa katiba ya sasa inavyompa mamlaka makubwa Rais aliyepo madarakani kama hana akili kama "mimi ni dola"?
Lakini mbona hata waislam huwa mnashinda humu mnawananga kuwa ni wabaguzi sijui washari lakini mbona wanakuwa viongozi na hawafanyi huo baguzi dhidi ya dini zingine sasa kinacho ogopwa kwa wasabato ni nn?
 
Wajichunguze wao.Wanafeli wapi mkuu.
 
Moja kwa moja kwenye mada,,,,Tangu tupate Uhuru linapokuja swala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki,,,Je,Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza!?

Najiuliza,je kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa 2015 angekuwa mkatoliki angechukua nchi.Karibuni wajuzi na wachambuzi.
Ndiyo waliomsaidia na kumsomesha Nyerere, Kwaiyo Wakulungwa wengine wanapita mulemule.
Ukiwa Muislamu basi sharti uwe vuguvugu na sio design ya kina Sheikh Ponda!
 
Wakatoliki Wana maekari kwa malefu ya maekari.

Hivyo lazima wale top mmoja wao atoke kwao ili kulinda maslahi yao.

Marekani kwa kipindi cha zaidi ya miaka 200 Biden ndio Rais wa kwanza mkatoliki kumaliza muda wake. Baada yaa JFK. Kuwa terminated...
Na 2024 hatoboi,Trump anarudi tena!
 
Ndiyo waliomsaidia na kumsomesha Nyerere, Kwaiyo Wakulungwa wengine wanapita mulemule.
Ukiwa Muislamu basi sharti uwe vuguvugu na sio design ya kina Sheikh Ponda!
Walimsaidia na kumsomesha?Kivipi?Uchokozi tu kwa faida ya wote.I will educate myself and "use my education
" for the benefit of all!
 
Moja kwa moja kwenye mada,,,,Tangu tupate Uhuru linapokuja swala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki,,,Je,Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza!?

Najiuliza,je kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa 2015 angekuwa mkatoliki angechukua nchi.Karibuni wajuzi na wachambuzi.
Kuna Mzee kutoka Nachi yupo Magogoni na Chamwino tangu enzi za Mwl, ndiye mwenye siri nzito
 
Back
Top Bottom