Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Wakatoliki ni wengi kuliko makundi mengineRais akiwa mkristo ni lazma awe mkatoliki japo haipo kwenye katiba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakatoliki ni wengi kuliko makundi mengineRais akiwa mkristo ni lazma awe mkatoliki japo haipo kwenye katiba.
Nani kasema kwamba protestants hawana ushawishi duniani??Sasa inakuwaje dhehebu lao linachechemea duniani halina ushawishi kama Katoliki!?
[emoji2][emoji2][emoji2] uko sahihi wakatoliki Wana mifumo straightforward na sio design za makanisa ya kina gwajima au mwamposaSasa uje umpe uraisi muumini wa wa makanisa kama ya akina Makenzie na akina geo si ataipeleka nchi kusikojulikana?
Itakuwa ni shida mtupu. Watataka nchi nzima iishi agano la kaleHapa yawezekana umesema ukkwl haya madhehebu ni ya kibaguzi mnooo!! Ebu fikiria msabato apate urais
Yap;Kuna kitu watu wajifunze kwa ulichokiandika.Wanalishwa vitu vibaya hadi na wao kugeuka vituko.Waamini waka Catholic hawana ubaguzi na hawatumii mihemko, they use logic na kujali na kuheshimu uhuru wa imani za watu wengine. Anaweza msaidia mtu wa imani nyungine bila kujali. Ila sisi tunaojiita wapendwa tunaroho mbaya za ubaguzi wa kidini. Unakuta hata kuolewa/kuoa tuwe kwa wenyewe, huu msemo unakuta tuko somewhere tunaitana wewe ni MKKKT mwenzangu etc. Sijawahi wasikia wa Catholic wakiitana kiubaguzi hivyo. Unaweza kaa na mkatolic na usijue anasali wapi lakn sisi lazima tuulize et unaabudu wapi?..nk.
Ndo maana Mungu anatunyima nafasi za kuongoza nchi, tutaleta ubaguzi
Sa mbona hapa bongo wanambwela tu,,,wamekalia ufisdi na migogoro!?Nani kasema kwamba protestants hawana ushawishi duniani??
Nchi nyingi za Europe protestants ni wengi sana.
Tunamuandaa Gwaji Boy.....Moja kwa moja kwenye mada,,,,Tangu tupate Uhuru linapokuja swala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki,,,Je,Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza!?
Najiuliza,je kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa 2015 angekuwa mkatoliki angechukua nchi.Karibuni wajuzi na wachambuzi.
Unataka tukupe siri za kambi eeeh!! Utasubiri sana.Moja kwa moja kwenye mada,,,,Tangu tupate Uhuru linapokuja swala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki,,,Je,Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza!?
Najiuliza,je kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa 2015 angekuwa mkatoliki angechukua nchi.Karibuni wajuzi na wachambuzi.
Swali langu ni kwanini awe mroma na muislamu??? Kuna nini kati ya watu hawa wawili??Moja kwa moja kwenye mada,,,,Tangu tupate Uhuru linapokuja swala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki,,,Je,Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza!?
Najiuliza,je kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa 2015 angekuwa mkatoliki angechukua nchi.Karibuni wajuzi na wachambuzi.
Huo ni mtazamo wako.Sa mbona hapa bongo wanambwela tu,,,wamekalia ufisdi na migogoro!?uko
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,Hapa yawezekana umesema ukkwl haya madhehebu ni ya kibaguzi mnooo!! Ebu fikiria msabato apate urais
Kitendo Cha kuwa protestants tu kinawapa udhaifu, yaani wapinzani wanatumia muda Mwingi kukilalamikia chama tawala kuliko kuimarisha chama chao, alafu wao wako makundi mengi, ACT, CUF CHADEMA, CHAUMA nk, the same kwa KKT, ANGLICAN, GWAJIBOY, UPAKO, MACKENZIE, nkNani kasema kwamba protestants hawana ushawishi duniani??
Nchi nyingi za Europe protestants ni wengi sana.
marais watatu ndio umeshakuja na uzi? Hizo ni coincidence tu. Hata hivyo ndio waliotangulia kusoma nchi hii.Moja kwa moja kwenye mada,,,,Tangu tupate Uhuru linapokuja swala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki,,,Je,Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza!?
Najiuliza,je kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa 2015 angekuwa mkatoliki angechukua nchi.Karibuni wajuzi na wachambuzi.
Naamini migogoro ipo katoliki lakini ni ngumu kuisikia na huo ndo ukomavuHuo ni mtazamo wako.
Catholic pia Kuna changamoto zake ila kila kanisa lina namna yake ya kufanya mambo.
Wenzetu huko wanajua kuhifadhi mambo yao.
Ila sio kwamba hayapo.
waanglikana wana shule ngapi zilizotaifishwa au unalalamika tu?Wanatazama uwiano wa kura sababu linawafuasi wengi ila imetosha zamu ya KKKT ama Anglican sasa
Marais wakatoliki wamekuwa wanalibeba sana dhehebu lao
Wanalipa maeneo makubwa ya ardhi kwa lazima
Ukiwa waziri wa ardhi wewe bishana nao kwenye ardhi huchukui muda utatoka
Pia wamekuwa wanawasapoti kwa vitu vingi mfano kwanini roma shule zake za seminari na vyuo aliachiwa?
Makanisa mengine mpaka leo hayajarudishiwa?
anglican walihangaika wee wakajikuta wanaambulia tu mazengo ambayo sasa ni St johns university
Ila chuo cha ualimu korogwe hosptal ya muhimbili msalato navingne serikali imegoma
Awe mbaguzi kwani atakuwa raisi kwa ajili ya kuongoza wasabato au watz?Hapa yawezekana umesema ukkwl haya madhehebu ni ya kibaguzi mnooo!! Ebu fikiria msabato apate urais
Kweli kabisa..wasabato wanapenda kutukana wa dini nyingine.. wapuuzi Sana..Hapa usalama wajitahidi ikitokea msabato kapenya wampige hata sindano ya sumu!! Ni mafala mno
Wewe unaona nchi itakuwa katika hali gani ikiongozwa na sabato!? Au kkkt ambao hata migogoro yao inawashinda kuikabiri hadi kanisa linagawana waumini!! Anglicana nao majnga matupu wanatwangwana ngumi knsan na kesi zisizoisha mahakamani,,,,,Nchi ikae mikononi mwa wakatoliki mpaka hawa wengine wajitambuemarais watatu ndio umeshakuja na uzi? Hizo ni coincidence tu. Hata hivyo ndio waliotangulia kusoma nchi hii.
Hata Vatican haimtambui kama ni mkatoliki hadi papa alitoa amri asimzike vile anashikilia misimamo hasi ya kikatolikiWakatoliki Wana maekari kwa malefu ya maekari.
Hivyo lazima wale top mmoja wao atoke kwao ili kulinda maslahi yao.
Marekani kwa kipindi cha zaidi ya miaka 200 Biden ndio Rais wa kwanza mkatoliki kumaliza muda wake. Baada yaa JFK. Kuwa terminated...