Waamini waka Catholic hawana ubaguzi na hawatumii mihemko, they use logic na kujali na kuheshimu uhuru wa imani za watu wengine. Anaweza msaidia mtu wa imani nyungine bila kujali. Ila sisi tunaojiita wapendwa tunaroho mbaya za ubaguzi wa kidini. Unakuta hata kuolewa/kuoa tuwe kwa wenyewe, huu msemo unakuta tuko somewhere tunaitana wewe ni MKKKT mwenzangu etc. Sijawahi wasikia wa Catholic wakiitana kiubaguzi hivyo. Unaweza kaa na mkatolic na usijue anasali wapi lakn sisi lazima tuulize et unaabudu wapi?..nk.
Ndo maana Mungu anatunyima nafasi za kuongoza nchi, tutaleta ubaguzi