Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hawajui lile ni Kanisa lenye Dola ndani yake,Majasusi wakumwaga.Utoke Kijijini kwenu Bumbuli uje uwe Rais kwa kubadili dini kienyeji!
Famasiala nini!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hawajui lile ni Kanisa lenye Dola ndani yake,Majasusi wakumwaga.Utoke Kijijini kwenu Bumbuli uje uwe Rais kwa kubadili dini kienyeji!
Famasiala nini!!
BadoLakini umeelewa na ujumbe umekufikia?
Yaani hujakosea kuna mtu alimnyima jirani njia, anauliza wewe kabila gani? Unasali KKKT? Yaani nilichoka kumwachia mtu apite mita 1½ unauliza anasali wapi? Urais wausahau kabisa wafanye mambo mengine wawapishe wasio na wabaguzi
Kweli Baba yake alikuwa chief na unajua walikuwa wabagani, hivyo wamisionary walikuwa wanamtembela Baba yake naye kwa udadisi akauliza kwanini huyu mgeni akija mnaniondoa nami nisiwepo? Siku moja naye akapata fursa hiyo na huyo mgeni akatoa ushauri na ukakubalika ndiyo mwanzo wa kuwa RCBado haujajibu swali.Nipo hapa Nyakanga naelekea Butiama.
Nasubiri siku tupate Rais toka Ahmadia, Sua au IsmailiaMoja kwa moja kwenye mada,,,,Tangu tupate Uhuru linapokuja swala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki,,,Je,Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza!?
Najiuliza,je kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa 2015 angekuwa mkatoliki angechukua nchi.Karibuni wajuzi na wachambuzi.
[emoji2][emoji2] nimecheka sana una hoja usikilizwe mkuu.Uraisi ni taasisi yenye heshima yake.
Sasa umkute Raisi anasali kwenye makanisa ya mazingaumbwe ,mara wajifanye wanafufua watu, mara wanagawa sijui mafuta ya upako wanasali kwenye makanisa ya mabanzi na yaliozungishiwa uzio wa mabati au mapagara ya magorofa ambayo hayajaisha, si utamkuta raisi nae yupo kwenye mkumbo wa kufunga hadi kufa ili kumwona Mungu na kwa kuwa ni Raisi atawashawishi na watanzania wote? Makanisa yanamilikiwa na mume na mke?
Bado haujajibu swali.Kweli Baba yake alikuwa chief na unajua walikuwa wabagani, hivyo wamisionary walikuwa wanamtembela Baba yake naye kwa udadisi akauliza kwanini huyu mgeni akija mnaniondoa nami nisiwepo? Siku moja naye akapata fursa hiyo na huyo mgeni akatoa ushauri na ukakubalika ndiyo mwanzo wa kuwa RC
Kuna wilaya moja, serikali walitoa amri kateksta naye alipie ushuru wa baiskel enzi hizo, kanisa likawambia wala hatushindwi kulipia ushuru, tunaomba tukae chini vitu vyetu mlivyochukua mrudishe, tunaanza na shule yetu ya misingi hapa nyuma, Hosp yenu ya wilaya, chuo cha ufundi, na secondary ya mjini na nyingine nje ya mji, wakagwaya na kuomba msamaha.Usipokuwa na uelewa mzuri unanyamaza maana utachekwa. Shule za sekondari nyingi sana za kikatoliki zilichukuliwa. Shule kama Pugu, Tosamganga, Iringa Girls, nk. Seminari ingechukuaje seminari? Ichukue seminari ili isomesha mapadri au? Seminari za kikatoliki zinasomesha wale wanaotarajiwa kuwa mapadre ndugu elewa hivyo.
Tukirudi kwenye mada ni hivi; wakatoliki utaratibu wao wanapofika sehemu huwa hivi kwenye kujiweka na kumtumikia Mungu; cha kwanza hujenga KANISA, cha pili hujenga SHULE, na tatu hujenga HOSPITALI. Hawa watu ulitaka ulingane nao wakati kanisa lako huwa linawaambia watu wafumbe macho waombe chochote watapata? Lyapuk'hile kabisa!
Kwani haujasoma history? Au huwa hausikilizi vipindi ktk vyombo vya habari?Kwa nini umewaza hivyo wakati si kweli?
@Saint Anne njoo sikia chura hukuMakanisa hayana hata sylubus ya ibada. Ni mchungaji kutoa sauti la kukoroma kama kameza dume la chura mwanzo mwisho, Mungu gani anaombwa kwa makelele? Ratiba ya nini utakikuta kanisani inategemea mchungaji na mke wake wamewaza nini halafu wanakuja kuwaambia wameambiwa na Mungu. Usishangae siku ya ijumaa kuu ngoma midundo na kucheza kama kawa
DuuMarais 5 wa Tanzania walikuwa wakatoliki kindakindaki.
1. Nyerere
2. Mwinyi
3. Mkapa
4. Kikwete
5. Magufuli the great
Huyu wasasa siyo.
Karudie tena kusoma, kama r inakufanya ushindwe kuelewa basi pana shida mahala, haya nikuache uendelee kusoma comments nyingineBado
Unataka nizoee ujinga?Karudie tena kusoma, kama r inakufanya ushindwe kuelewa basi pana shida mahala, haya nikuache uendelee kusoma comments nyingine
Nimemsomea mzee m1 hapa comment yako amepingana nawe na kusema kitu ambacho kina ukweli...Wanatazama uwiano wa kura sababu linawafuasi wengi ila imetosha zamu ya KKKT ama Anglican sasa
Marais wakatoliki wamekuwa wanalibeba sana dhehebu lao
Wanalipa maeneo makubwa ya ardhi kwa lazima
Ukiwa waziri wa ardhi wewe bishana nao kwenye ardhi huchukui muda utatoka
Pia wamekuwa wanawasapoti kwa vitu vingi mfano kwanini roma shule zake za seminari na vyuo aliachiwa?
Makanisa mengine mpaka leo hayajarudishiwa?
anglican walihangaika wee wakajikuta wanaambulia tu mazengo ambayo sasa ni St johns university
Ila chuo cha ualimu korogwe hosptal ya muhimbili msalato navingne serikali imegoma
Kwani Biden alishamaliza muda wake???Wakatoliki Wana maekari kwa malefu ya maekari.
Hivyo lazima wale top mmoja wao atoke kwao ili kulinda maslahi yao.
Marekani kwa kipindi cha zaidi ya miaka 200 Biden ndio Rais wa kwanza mkatoliki kumaliza muda wake. Baada yaa JFK. Kuwa terminated...