Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

Roman Catholic ndie ibilisi mwenyewe. Anawakilishwa na yale mapapa mazee yanayojiita eti 'viongozi wa dini'
 
Imekaa kibaguzi sana, hivyo inakosa sifa kuu za kuwa katiba

Katiba ya BAKWATA inasema Sunni ni wengi hivyo ndiyo watakaokuwa viongozi wa juu, madhehebu mengine ya Kiislamu Tanzania ya Shia, Ismailia, Bohora, Ahmadiya n.k ni wachache hivyo kupata cheo cha Mufti haiwezekani ...
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Nch itachimbika
 

Na lile la makabila fulani ni mwiko je?
 
Ukichukua dhehebu mojamoja bado wakatoliki ndio wengi. Hawa protestants wamekuwa denominated sana. Waanglican kwa US wanajiita episcopalians, hawa na hawa wanaojiita evangelicals (sawa na huku tunaowaita walokole) hawako karibu sana kiitikadi.
Nimechukua dhehebu moja moja mkuu. Bado tu hutaki kuamini.

70 ya population US ni Christians na ukija na break down yake unapata 20 % catholics na 50 protestants.
Katika hiyo 50% ya protestants 25% ni Lutheran hivyo waluteri ndio dhehebu kubwa la kikristo USA.

Ipo hivyo pia Denmark, Sweden na Norway ambapo 80% ya population ni waluteri..

Catholics hawana influence USA wala hawatakiwi kabisa kushika uongozi wa nchi.

CIA wanakwepa sana influence ya Vatican kwenye oval office.

Catholic ni dini na ni dola.

Mataifa wanayojitambua hawataki catholics na wameendelea sana.

China, Germany, Uk , Russia na wengineo wote hao super powers hawana Rais mkatoliki. Na hawataki.

Hapa tumedumaa kimaendeleo kwa kuwaendekeza hao Vatican.
 
nasikia ndo waliomtoa Lowasa uwaziri mkuu, akapewa pinda mkatolik wakati wa JK
 
RC hawataki hata haya madhehebu zingine ziwepo ni basi tu. RC siyo christian sema tu wamejificha humo
wana mambo yao ya kishetani sana. hawaamini biblia. ndo maana sanamu za kutosha kwao ingawa biblia inakataza
Muombezi wetu kwa mujibu wa biblia ni Yesu, wao wanakuambia tuombe kupitia Bikra Maria, eti mama wa mungu tuombee
 
Falsafa zao zinatia mashaka sana mkuu ila ndio hivyo Tena wameshajiwekea mizizi hapa kwetu kuwaondoa ni kazi haswa.
 
Kumbe unapiga ramli? Nilidhani labda una clues kusema "wanapenyezaje" kumbe hamna kabisa? Sasa wadau watakachosema utakubaliana nacho au utafanyaje?
 
Sio kupenyeza Iko wazi Raisi lazima awe mkatoliki, ni mashart ambayo yapo wazi na hakuna wa kupinga
Uliyaona hayo masharti yaliyo wazi?

Tupe hiyo document nasi tujisomee ili tuamini.
 
Ajaye ana IMANI ktk YESU kristo lakini hatokuwa catolicano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…