BakiliMuluzi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2022
- 1,578
- 2,353
Roman Catholic ndie ibilisi mwenyewe. Anawakilishwa na yale mapapa mazee yanayojiita eti 'viongozi wa dini'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekaa kibaguzi sana, hivyo inakosa sifa kuu za kuwa katiba
Chuki zako tu.Roman Catholic ndie ibilisi mwenyewe. Anawakilishwa na yale mapapa mazee yanayojiita eti 'viongozi wa dini'
au kutokujua kwako tuChuki zako tu.
Rais wa nini?Mbona Gwajiboy anatarajiwa kuwa Rais.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Nch itachimbikaHiilo lipo kwenye katiba ambayo haijaandikwa!!
Ndo utaratibu kuwa rais atoke Ukatolikini na Bakwata.
Hatuwezi kumpa urais mtu ambaye anasali kanisa mlangoni Lina picha ya mchungaji na mke wake.
Au unampa Urais mfuasi wa Sheikh Ponda au Ustaadhi ILUNGA Kapungu
Sio kupenyeza Iko wazi Raisi lazima awe mkatoliki, ni mashart ambayo yapo wazi na hakuna wa kupinga
Sijui kama kuna mpango wote, ila Kwa uzoefu wangu at least wakatoliki wako moderate linapokuja socialization. Madhehebu mengine yanaona kama dini/madhehebu mengine ni mashetani,wao ndio wako sahihi,wao ndio wanamfuata Mungu wa kweli,wengine wote wanaendan Motoni na hivyo kuwa kutokuwa tayari kusaidia au kutoa msaada Kwa watu wa dini na madhehebu mengine.
Anyway, kuna lile la Rais kuzaliwa Kijijini au familia maskini hili nalo ni janga Kwa nchi. Uzoefu unaonyesha kuwa wana roho mbaya na kutoujali shida za wananchi huku wakijinadi kuwa wao ndio wakombozi! Unfortunately jamii nayo inawaamini! Na kuwaona mashujaa!
Ipi dini ya kweliRoman catholic ni dini ya kifreemason full stop
JMTRais wa nini?
Vigezo kwamba ni Freemason ? Lakini pia ukiona katika maisha unaamini uchawi na mambo kama Freemason ujue huna kitu kabisa kichwani; huna mchango wowote kwa familia na jamii kwa ujumlaIpi dini ya kweli
Nimechukua dhehebu moja moja mkuu. Bado tu hutaki kuamini.Ukichukua dhehebu mojamoja bado wakatoliki ndio wengi. Hawa protestants wamekuwa denominated sana. Waanglican kwa US wanajiita episcopalians, hawa na hawa wanaojiita evangelicals (sawa na huku tunaowaita walokole) hawako karibu sana kiitikadi.
nasikia ndo waliomtoa Lowasa uwaziri mkuu, akapewa pinda mkatolik wakati wa JKMoja kwa moja kwenye mada. Tangu tupate Uhuru linapokuja suala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki. Je, Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza?
Najiuliza kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa 2015 angekuwa mkatoliki angechukua nchi.
Karibuni wajuzi na wachambuzi.
RC hawataki hata haya madhehebu zingine ziwepo ni basi tu. RC siyo christian sema tu wamejificha humoNimechukua dhehebu moja moja mkuu. Bado tu hutaki kuamini.
70 ya population US ni Christians na ukija na break down yake unapata 20 % catholics na 50 protestants.
Catholics hawana influence USA wala hawatakiwi kabisa kushika uongozi wa nchi.
CIA wanakwepa sana influence ya Vatican kwenye oval office.
Catholic ni dini na ni dola.
Mataifa wanayojitambua hawataki catholics na wameendelea sana.
China, Germany, Uk , Russia na wengineo wote hao super powers hawana Rais mkatoliki. Na hawataki.
Hapa tumedumaa kimaendeleo kwa kuwaendekeza hao Vatican.
Falsafa zao zinatia mashaka sana mkuu ila ndio hivyo Tena wameshajiwekea mizizi hapa kwetu kuwaondoa ni kazi haswa.RC hawataki hata haya madhehebu zingine ziwepo ni basi tu. RC siyo christian sema tu wamejificha humo
wana mambo yao ya kishetani sana. hawaamini biblia. ndo maana sanamu za kutosha kwao ingawa biblia inakataza
Muombezi wetu kwa mujibu wa biblia ni Yesu, wao wanakuambia tuombe kupitia Bikra Maria, eti mama wa mungu tuombee
lengo lao watawale duniaFalsafa zao zinatia mashaka sana mkuu ila ndio hivyo Tena wameshajiwekea mizizi hapa kwetu kuwaondoa ni kazi haswa.
Roman Empire.lengo lao watawale dunia
Kumbe unapiga ramli? Nilidhani labda una clues kusema "wanapenyezaje" kumbe hamna kabisa? Sasa wadau watakachosema utakubaliana nacho au utafanyaje?Moja kwa moja kwenye mada. Tangu tupate Uhuru linapokuja suala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki. Je, Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza?
Najiuliza kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa 2015 angekuwa mkatoliki angechukua nchi.
Karibuni wajuzi na wachambuzi.
Uliyaona hayo masharti yaliyo wazi?Sio kupenyeza Iko wazi Raisi lazima awe mkatoliki, ni mashart ambayo yapo wazi na hakuna wa kupinga