Wenye AKILI na DNA Kutoka Mbinguni pekee ndo wataelewa UKWELI huu.Nani alikwambia Wakatoliki ni Wakristo? Ndio maana Waislamu na Wakatoliki hawatofautiani. Mkatoliki hana madhara kwa Muislamu na kinyume chake. Hii pia ni MAAGANO ya wale Wachawi 5 (wakiiongozwa na Forojo Ganzel Master) waliotumwa na yule babu wa 1 wa hii nchi kule Bagamoyo waliokubaliana hizo dini 2 tu ndio ziongoze TZ. Lakini wanamaombi wanashughulika nazo punde itabadilika
Kumbuka Catholic ni imani na ni Serikali, imani na Serikali inayo miliki Ardhi na biashara nyingi katika mataifa mengi, inahusika kusimamisha maRais wengi duniani maana akitokea Rais asiyeweza kutetea maslahi yao anaweza kuwapokonya Ardhi wanayo miliki ktk nchi husika, wanamiliki Ardhi kubwa kote duniani, biashara,vyuo n.kMoja kwa moja kwenye mada. Tangu tupate Uhuru linapokuja suala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki. Je, Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza?
Najiuliza kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa 2015 angekuwa mkatoliki angechukua nchi.
Karibuni wajuzi na wachambuzi.
Wewe ni mtu kama wa tatu kumsikia akisema hivi!Nimechukua dhehebu moja moja mkuu. Bado tu hutaki kuamini.
70 ya population US ni Christians na ukija na break down yake unapata 20 % catholics na 50 protestants.
Katika hiyo 50% ya protestants 25% ni Lutheran hivyo waluteri ndio dhehebu kubwa la kikristo USA.
Ipo hivyo pia Denmark, Sweden na Norway ambapo 80% ya population ni waluteri..
Catholics hawana influence USA wala hawatakiwi kabisa kushika uongozi wa nchi.
CIA wanakwepa sana influence ya Vatican kwenye oval office.
Catholic ni dini na ni dola.
Mataifa wanayojitambua hawataki catholics na wameendelea sana.
China, Germany, Uk , Russia na wengineo wote hao super powers hawana Rais mkatoliki. Na hawataki.
Hapa tumedumaa kimaendeleo kwa kuwaendekeza hao Vatican.
Lutheran kule US ni kwa sababu ya muasisi wake Martin Luther king aliye anzisha hilo dhehebu kua alikua ni mtu wa America, lakini Catholic iko duniani kote na ndiyo imani yenye watu walengi kuliko yoyote hapa Duniani, ulicho maanisha wewe ni sawa na hapa Tanzania kulingana na walipopita wale missionary kwamba ukienda Kaskazini unakutana na Lutheran karibu 90% ukienda Lake Zone vivyo hivyo unakutana na AIC, vivyo hivyo Kanda ya kati unakutana na Anglican.... Like hivyo yaniNimechukua dhehebu moja moja mkuu. Bado tu hutaki kuamini.
70 ya population US ni Christians na ukija na break down yake unapata 20 % catholics na 50 protestants.
Katika hiyo 50% ya protestants 25% ni Lutheran hivyo waluteri ndio dhehebu kubwa la kikristo USA.
Ipo hivyo pia Denmark, Sweden na Norway ambapo 80% ya population ni waluteri..
Catholics hawana influence USA wala hawatakiwi kabisa kushika uongozi wa nchi.
CIA wanakwepa sana influence ya Vatican kwenye oval office.
Catholic ni dini na ni dola.
Mataifa wanayojitambua hawataki catholics na wameendelea sana.
China, Germany, Uk , Russia na wengineo wote hao super powers hawana Rais mkatoliki. Na hawataki.
Hapa tumedumaa kimaendeleo kwa kuwaendekeza hao Vatican.
Huo ndio ukweli wenyewe mkuu.Wewe ni mtu kama wa tatu kumsikia akisema hivi!
Kawadanganye wengine lakini siyo sisi waliokuwa bega kwa bega na nyerere kipindi anadai uhuru ni waislamu pekee.Pigia mstari, Nyerere katolewa Kijijini na kusomeshwa na Kanisa Katoliki kuanzia Primary mpaka University na mpaka mipango ya kupigania Uhuru ilikuwa inasukwa na Wakatoliki.
Hawa jamaa wana mipango ya muda mrefu miaka ata 100 mbele ni tofauti kabisa na makanisa ya Protestants.
HATARI SANA! ... hakuna kitu kinachonifanya niwe na hamu ya kudhibiti mamlaka yaliyopitiliza ya rais, kikatiba, kama suala hilo!Sijui kama kuna mpango wote, ila Kwa uzoefu wangu at least wakatoliki wako moderate linapokuja socialization. ....
Anyway, kuna lile la Rais kuzaliwa Kijijini au familia maskini hili nalo ni janga Kwa nchi. Uzoefu unaonyesha kuwa wana roho mbaya na kutoujali shida za wananchi huku wakijinadi kuwa wao ndio wakombozi! Unfortunately jamii nayo inawaamini! Na kuwaona mashujaa!
Hii 25% bila shaka utakuwa unamaanisha hawa walokole Marekani wanaojitambulisha kama evangelicals. Hawa wanatoka madhehebu mbalimbali kama baptist, mennonite, pentekoste ...70 ya population US ni Christians na ukija na break down yake unapata 20 % catholics na 50 protestants.
Katika hiyo 50% ya protestants 25% ni Lutheran hivyo waluteri ndio dhehebu kubwa la kikristo USA.
KUNA KA'UKWELI!π―Waamini waka Catholic hawana ubaguzi na hawatumii mihemko, they use logic na kujali na kuheshimu uhuru wa imani za watu wengine. Anaweza msaidia mtu wa imani nyungine bila kujali. Ila sisi tunaojiita wapendwa tunaroho mbaya za ubaguzi wa kidini.
Unakuta hata kuolewa/kuoa tuwe kwa wenyewe, huu msemo unakuta tuko somewhere tunaitana wewe ni MKKKT mwenzangu etc. Sijawahi wasikia wa Catholic wakiitana kiubaguzi hivyo. Unaweza kaa na mkatolic na usijue anasali wapi lakn sisi lazima tuulize et unaabudu wapi?..nk.
Ndo maana Mungu anatunyima nafasi za kuongoza nchi, tutaleta ubaguzi
Fanya utafiti kuhusu chimbuko la Lutheran Church! πLutheran kule US ni kwa sababu ya muasisi wake Martin Luther king aliye anzisha hilo dhehebu kua alikua ni mtu wa America, lakini Catholic iko duniani kote na ndiyo imani yenye watu walengi kuliko yoyote hapa Duniani, ulicho maanisha wewe ni sawa na hapa Tanzania kulingana na walipopita wale missionary kwamba ukienda Kaskazini unakutana na Lutheran karibu 90% ukienda Lake Zone vivyo hivyo unakutana na AIC, vivyo hivyo Kanda ya kati unakutana na Anglican.... Like hivyo yani
Waislamu walidandia gari ..., ... lakini, kwa kujua kudogo, wakajiona ndo wenye kuijua safari!Kawadanganye wengine lakini siyo sisi waliokuwa bega kwa bega na nyerere kipindi anadai uhuru ni waislamu pekee.
Umechemka vibaya mnooLutheran kule US ni kwa sababu ya muasisi wake Martin Luther king aliye anzisha hilo dhehebu kua alikua ni mtu wa America, lakini Catholic iko duniani kote na ndiyo imani yenye watu walengi kuliko yoyote hapa Duniani, ulicho maanisha wewe ni sawa na hapa Tanzania kulingana na walipopita wale missionary kwamba ukienda Kaskazini unakutana na Lutheran karibu 90% ukienda Lake Zone vivyo hivyo unakutana na AIC, vivyo hivyo Kanda ya kati unakutana na Anglican.... Like hivyo yani
π π π π πHapa yawezekana umesema ukkwl haya madhehebu ni ya kibaguzi mnooo!! Ebu fikiria msabato apate urais
Hivi waislamu hawana madhehebu? Kama jibu ni ndiyo kwa nini Marais wa kiislamu hawatajwi kwa madhehebu yao? Kwa Nini Wakristo tu?Rais ni muislamu au mkatoliki hua ipo wazi baina ya dini hizo mbili na ni muiko ambao sidhani kama utavunjwa leo wala kesho
Hujui usemalo. Hao wanamaombi wanayemuomba ndiye Founder wa Catholic Church. Upende usipende hiyo ndio fact inawezekana hadi unafariki hutoiamini ila ukifika mbinguni utakuwa surprised (kama utakufa ktk Kristo).Nani alikwambia Wakatoliki ni Wakristo? Ndio maana Waislamu na Wakatoliki hawatofautiani. Mkatoliki hana madhara kwa Muislamu na kinyume chake. Hii pia ni MAAGANO ya wale Wachawi 5 (wakiiongozwa na Forojo Ganzel Master) waliotumwa na yule babu wa 1 wa hii nchi kule Bagamoyo waliokubaliana hizo dini 2 tu ndio ziongoze TZ. Lakini wanamaombi wanashughulika nazo punde itabadilika