Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

Nani alikwambia Wakatoliki ni Wakristo? Ndio maana Waislamu na Wakatoliki hawatofautiani. Mkatoliki hana madhara kwa Muislamu na kinyume chake. Hii pia ni MAAGANO ya wale Wachawi 5 (wakiiongozwa na Forojo Ganzel Master) waliotumwa na yule babu wa 1 wa hii nchi kule Bagamoyo waliokubaliana hizo dini 2 tu ndio ziongoze TZ. Lakini wanamaombi wanashughulika nazo punde itabadilika
Wenye AKILI na DNA Kutoka Mbinguni pekee ndo wataelewa UKWELI huu.
 
Moja kwa moja kwenye mada. Tangu tupate Uhuru linapokuja suala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki. Je, Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza?

Najiuliza kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa 2015 angekuwa mkatoliki angechukua nchi.

Karibuni wajuzi na wachambuzi.
Kumbuka Catholic ni imani na ni Serikali, imani na Serikali inayo miliki Ardhi na biashara nyingi katika mataifa mengi, inahusika kusimamisha maRais wengi duniani maana akitokea Rais asiyeweza kutetea maslahi yao anaweza kuwapokonya Ardhi wanayo miliki ktk nchi husika, wanamiliki Ardhi kubwa kote duniani, biashara,vyuo n.k

So siyo Tanzania tu bali hata mataifa mengine wanahusika kumsimamisha Rais na haijalishi ana imani gani wao wanaweza kumkingia kifua mpaka akapenya maadamu tu atalinda maslahi yao

Angalizo, ukicheza na Vatican au imani ya Catholic, yamkini hesabu umekwisha

Are we together?
 
Nimechukua dhehebu moja moja mkuu. Bado tu hutaki kuamini.

70 ya population US ni Christians na ukija na break down yake unapata 20 % catholics na 50 protestants.
Katika hiyo 50% ya protestants 25% ni Lutheran hivyo waluteri ndio dhehebu kubwa la kikristo USA.

Ipo hivyo pia Denmark, Sweden na Norway ambapo 80% ya population ni waluteri..

Catholics hawana influence USA wala hawatakiwi kabisa kushika uongozi wa nchi.

CIA wanakwepa sana influence ya Vatican kwenye oval office.

Catholic ni dini na ni dola.

Mataifa wanayojitambua hawataki catholics na wameendelea sana.

China, Germany, Uk , Russia na wengineo wote hao super powers hawana Rais mkatoliki. Na hawataki.

Hapa tumedumaa kimaendeleo kwa kuwaendekeza hao Vatican.
Wewe ni mtu kama wa tatu kumsikia akisema hivi!
 
Lutheran kule US ni kwa sababu ya muasisi wake Martin Luther king aliye anzisha hilo dhehebu kua alikua ni mtu wa America, lakini Catholic iko duniani kote na ndiyo imani yenye watu walengi kuliko yoyote hapa Duniani, ulicho maanisha wewe ni sawa na hapa Tanzania kulingana na walipopita wale missionary kwamba ukienda Kaskazini unakutana na Lutheran karibu 90% ukienda Lake Zone vivyo hivyo unakutana na AIC, vivyo hivyo Kanda ya kati unakutana na Anglican.... Like hivyo yani
 
Mi ni mluteri wakatoriki wana strongest institution ambayo inacompliance nzuri sana kwa watumishi na waumini.

Hakuna mtumishi wa RC anaeweza kujiinua zaidi ya viongozi wake hata kama ana karama gani.

Na hii iko cascaded mpaka kwa waumini wao wana utii sana consequently mpaka kiongozi hata akiwa Raisi atakuwa na utii kwa mamlaka.

Angalia tukio la mtumishi mmoja majuzi aliyejiinua kupita viongozi na madhabau na akapata support ya waumini wengi na kulazimisha kanisa licompromize kanuni zake.

Haya matukio hauwezi kuyaona RC na yakitokea consequence management inampata muhusika na hakuna wa kutetea makosa yake.

Na sifa nyingine ya moderation hawazidharau imani nyingine.
 
Pigia mstari, Nyerere katolewa Kijijini na kusomeshwa na Kanisa Katoliki kuanzia Primary mpaka University na mpaka mipango ya kupigania Uhuru ilikuwa inasukwa na Wakatoliki.
Hawa jamaa wana mipango ya muda mrefu miaka ata 100 mbele ni tofauti kabisa na makanisa ya Protestants.
Kawadanganye wengine lakini siyo sisi waliokuwa bega kwa bega na nyerere kipindi anadai uhuru ni waislamu pekee.
 
Mbinu wanazotumia ni kama watumiazo Simba au Yanga kuweka wanachama wao wawe viongozi wakuu TFF.
 
Katoliki nayo ni kama dola tu. Wana utulivu wa akili. Huwezi kuweka msabato ambaye kila kitu kwake ni chapa ya mnyama na bila aibu utakuta anawaponda wakatoliki na kuwahukumu kwamba motoni lazima waende.
 
Yani katika karne hii kuwaza urais kisa dini mara dhehebu ni ujinga mkuu
 
Sijui kama kuna mpango wote, ila Kwa uzoefu wangu at least wakatoliki wako moderate linapokuja socialization. ....

Anyway, kuna lile la Rais kuzaliwa Kijijini au familia maskini hili nalo ni janga Kwa nchi. Uzoefu unaonyesha kuwa wana roho mbaya na kutoujali shida za wananchi huku wakijinadi kuwa wao ndio wakombozi! Unfortunately jamii nayo inawaamini! Na kuwaona mashujaa!
HATARI SANA! ... hakuna kitu kinachonifanya niwe na hamu ya kudhibiti mamlaka yaliyopitiliza ya rais, kikatiba, kama suala hilo!
Unakuta mtu akiingia ikulu anabuni sera zake binafsi zinazolenga kulidhoofisha Kundi Fulani Katika jamii, ambalo yeye anaona tishio kwake binafsi, na kuirudisha nchi nyuma sana kimaendeleo ili tu yeye aabudiwe! THIS IS UTTER NONSENCE!
 
70 ya population US ni Christians na ukija na break down yake unapata 20 % catholics na 50 protestants.
Katika hiyo 50% ya protestants 25% ni Lutheran hivyo waluteri ndio dhehebu kubwa la kikristo USA.
Hii 25% bila shaka utakuwa unamaanisha hawa walokole Marekani wanaojitambulisha kama evangelicals. Hawa wanatoka madhehebu mbalimbali kama baptist, mennonite, pentekoste ...

Walutheri kama dhehebu US hawafiki hata 2%.
 
Waamini waka Catholic hawana ubaguzi na hawatumii mihemko, they use logic na kujali na kuheshimu uhuru wa imani za watu wengine. Anaweza msaidia mtu wa imani nyungine bila kujali. Ila sisi tunaojiita wapendwa tunaroho mbaya za ubaguzi wa kidini.

Unakuta hata kuolewa/kuoa tuwe kwa wenyewe, huu msemo unakuta tuko somewhere tunaitana wewe ni MKKKT mwenzangu etc. Sijawahi wasikia wa Catholic wakiitana kiubaguzi hivyo. Unaweza kaa na mkatolic na usijue anasali wapi lakn sisi lazima tuulize et unaabudu wapi?..nk.
Ndo maana Mungu anatunyima nafasi za kuongoza nchi, tutaleta ubaguzi
KUNA KA'UKWELI!🎯
 
Lutheran kule US ni kwa sababu ya muasisi wake Martin Luther king aliye anzisha hilo dhehebu kua alikua ni mtu wa America, lakini Catholic iko duniani kote na ndiyo imani yenye watu walengi kuliko yoyote hapa Duniani, ulicho maanisha wewe ni sawa na hapa Tanzania kulingana na walipopita wale missionary kwamba ukienda Kaskazini unakutana na Lutheran karibu 90% ukienda Lake Zone vivyo hivyo unakutana na AIC, vivyo hivyo Kanda ya kati unakutana na Anglican.... Like hivyo yani
Fanya utafiti kuhusu chimbuko la Lutheran Church! 😅
 
Lutheran kule US ni kwa sababu ya muasisi wake Martin Luther king aliye anzisha hilo dhehebu kua alikua ni mtu wa America, lakini Catholic iko duniani kote na ndiyo imani yenye watu walengi kuliko yoyote hapa Duniani, ulicho maanisha wewe ni sawa na hapa Tanzania kulingana na walipopita wale missionary kwamba ukienda Kaskazini unakutana na Lutheran karibu 90% ukienda Lake Zone vivyo hivyo unakutana na AIC, vivyo hivyo Kanda ya kati unakutana na Anglican.... Like hivyo yani
Umechemka vibaya mnoo
Martin Luther king😀😀😀

Padre Luther aliyeanzisha Lutheran Movement alikua ni Mjeruman tena ni miaka ya around 1500 baada ya Ukristo

Huyo Luther King Jr dogo tu ameish miaka ya 1970's juzi tu apo

Ameikuta Lutheran ina miaka mingi sana
 
Rais ni muislamu au mkatoliki hua ipo wazi baina ya dini hizo mbili na ni muiko ambao sidhani kama utavunjwa leo wala kesho
Hivi waislamu hawana madhehebu? Kama jibu ni ndiyo kwa nini Marais wa kiislamu hawatajwi kwa madhehebu yao? Kwa Nini Wakristo tu?
 
Nimesoma nyuzi kadhaa humu jukwaani pamoja na source zingine. Baba wa madhehebu mengine nchini hapa ni Katoliki. Iwe uislam au ukristu. So kama kichwa cha familia, ana wajibu wa kuwa na busara katika maamuzi
 
Nani alikwambia Wakatoliki ni Wakristo? Ndio maana Waislamu na Wakatoliki hawatofautiani. Mkatoliki hana madhara kwa Muislamu na kinyume chake. Hii pia ni MAAGANO ya wale Wachawi 5 (wakiiongozwa na Forojo Ganzel Master) waliotumwa na yule babu wa 1 wa hii nchi kule Bagamoyo waliokubaliana hizo dini 2 tu ndio ziongoze TZ. Lakini wanamaombi wanashughulika nazo punde itabadilika
Hujui usemalo. Hao wanamaombi wanayemuomba ndiye Founder wa Catholic Church. Upende usipende hiyo ndio fact inawezekana hadi unafariki hutoiamini ila ukifika mbinguni utakuwa surprised (kama utakufa ktk Kristo).
 
Back
Top Bottom