Wakatoliki kuweni makini na watoto wenu wanaoenda 'Mafundisho' msimu huu wa likizo

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
2,621
Reaction score
10,466
Naanza kupata hofu sana na haya maamuzi ya roman katoliki.

Kama tu issue ya DP World wale TEC walipiga kelele kwa nini wasitoe waraka kuhusu haya maamuzi ya Vatican?

Wazazi kuweni makini na watoto wenu wanaoenda huko Mafundishoni, inawezekana zile stori huwa zina ukweli.
 
Kanisa ni moja, takatifu, Katoliki na la mitume.
 
Kule ukraine yule jamaa aliuliwa Russia unafikria walipiga kelele maana wale ni orthodox ,jamaa kazikwa migombani huko watu walikaa kimy hata nyuzi huku jf hazikuwepo..
 
Wakikaa kimya wanakubaliana na haya.

Mzazi sitokua na akili timamu kumruhusu mtoto wangu akafundishwe na watu waliobariki ushoga.
Si umtoe, umpeleke huko unakoona atafundishwa utakayo, kwani lazima Roman catholic?
Mfyuuuuh
 
Yes. Ni wakati Sasa wa kuwa na askofu mkuu wa RC-Africa
Haiwezekani kuanzisha rais wa FIFA Africa. Hawawezi Anzisha RC ya Africa, waumini wasiokubaliana na ushoga wahame waache mashoga na waanzishe jina jingine au wajiunge kwingine.
 
Naanza kupata hofu sana na haya maamuzi ya roman katoliki.

Kama tu issue ya DP World wale TEC walipiga kelele kwa nini wasitoe waraka kuhusu haya maamuzi ya Vatican?

Wazazi kuweni makini na watoto wenu wanaoenda huko Mafundishoni, inawezekana zile stori huwa zina ukweli.
vatican kimetokea nini mkuuu
 
Haiwezekani kuanzisha rais wa FIFA Africa. Hawawezi Anzisha RC ya Africa, waumini wasiokubaliana na ushoga wahame waache mashoga na waanzishe jina jingine au wajiunge kwingine.
Hinakuwa ngumu, labda waamue kuanza upya, maana properties zote za kanisa Katoliki ni mali ya Rumi (Vatican).
 
Kama unataka kuepusha kizazi chako na ule upumbavu wa vatcan lazima kwanza ujitoe ndani ya ukatoliki, lakini kama bado uko ndani ya ukatoliki na viongozi wako wakuu wanaunga mkono ule ushetani huwezi jua siku za mbeleni hadi viongozi wa huku uswahilini watakuja kuunga mkono utakua umechelewa
 
Nijuavyo mimi Kanisa Katoliki linapinga dhambi zote, ikiwemo ushoga. Mafundisho yamebadilika?
 
Mambo yameshakua mchafukoge huko
 
Attachments

  • Screenshot_20231219-125030.jpg
    Screenshot_20231219-125030.jpg
    104.5 KB · Views: 3
Back
Top Bottom