Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 4,632
- 1,773
Narudia, kanisa Katoliki siyo kanisa la mitume.Haujui ni mitume gani, halafu umekanusha! Una akili timamu?
Kama wapo wataje, labda mitume wa mchongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Narudia, kanisa Katoliki siyo kanisa la mitume.Haujui ni mitume gani, halafu umekanusha! Una akili timamu?
Walioitwa ni wengi bali wateule ni wachache, jitahidi uwe miongoni mwa wateule.Kama unataka kuepusha kizazi chako na ule upumbavu wa vatcan lazima kwanza ujitoe ndani ya ukatoliki, lakini kama bado uko ndani ya ukatoliki na viongozi wako wakuu wanaunga mkono ule ushetani huwezi jua siku za mbeleni hadi viongozi wa huku uswahilini watakuja kuunga mkono utakua umechelewa
Nijuavyo mimi Kanisa Katoliki hupata mafundisho yake kutoka kwenye Biblia Takatifu, Mapokeo Mtakatifu na Taasisi ya Kipapa (The Pontiff) kupitia Katekisimu na Barua za Kitume... Siyo DW Kiswahili.Mambo yameshakua mchafukoge huko
Kuna watu hawajui, ila hudhani wanajua... Hao ni wapumbavu.Narudia, kanisa Katoliki siyo kanisa la mitume.
Kama wapo wataje, labda mitume wa mchongo.
😂😂😂🙈🙈🙈Si umtoe, umpeleke huko unakoona atafundishwa utakayo, kwani lazima Roman catholic?
Mfyuuuuh
paul na petroKanisa Katoliki siyo la Mitume, mitume gani hao?
Huna akili wewe,ishu ya DP World na huo upuuzi mnaouzusha unaona vinaendana?.Waafrika lini tutakuwa na akili za kutafiti Mambo na kujua kupembua Pumba na ngano?.Naanza kupata hofu sana na haya maamuzi ya roman katoliki.
Kama tu issue ya DP World wale TEC walipiga kelele kwa nini wasitoe waraka kuhusu haya maamuzi ya Vatican?
Wazazi kuweni makini na watoto wenu wanaoenda huko Mafundishoni, inawezekana zile stori huwa zina ukweli.
Naanza kupata hofu sana na haya maamuzi ya roman katoliki.
Kama tu issue ya DP World wale TEC walipiga kelele kwa nini wasitoe waraka kuhusu haya maamuzi ya Vatican?
Wazazi kuweni makini na watoto wenu wanaoenda huko M
aisee kweli!!!...unaweza shangaa mtoto anarudi nyumbani kinyumenyume au tako limevimba!!Naanza kupata hofu sana na haya maamuzi ya roman katoliki.
Kama tu issue ya DP World wale TEC walipiga kelele kwa nini wasitoe waraka kuhusu haya maamuzi ya Vatican?
Wazazi kuweni makini na watoto wenu wanaoenda huko Mafundishoni, inawezekana zile stori huwa zina ukweli.
Naanza kupata hofu sana na haya maamuzi ya roman katoliki.
Kama tu issue ya DP World wale TEC walipiga kelele kwa nini wasitoe waraka kuhusu haya maamuzi ya Vatican?
Wazazi kuweni makini na watoto wenu wanaoenda huko Mafundishoni, inawezekana zile stori huwa zina ukweli.
Kwani kuna sehemu umeambiwa Dw wanatoa wanatoa mafundisho kwa wakatoliki 🤔🤔 hakuna sehemu kwenye BIBLIA TAKATIFU inayo unga mkono mapenzi ya jinsia moja kama ipo itaje, endeleeni kuziba masikio na macho mtakuja kushtuka mnaongozwa na mashoga katoliki nzimaNijuavyo mimi Kanisa Katoliki hupata mafundisho yake kutoka kwenye Biblia Takatifu, Mapokeo Mtakatifu na Taasisi ya Kipapa (The Pontiff) kupitia Katekisimu na Barua za Kitume... Siyo DW Kiswahili.
Nimekuuliza chanzo cha Kanisa Katoliki kinachoonesha tunaunga mkono ushoga, umeniwekea screenshot ya DW Kiswahili! 😁Kwani kuna sehemu umeambiwa Dw wanatoa wanatoa mafundisho kwa wakatoliki 🤔🤔 hakuna sehemu kwenye BIBLIA TAKATIFU inayo unga mkono mapenzi ya jinsia moja kama ipo itaje, endeleeni kuziba masikio na macho mtakuja kushtuka mnaongozwa na mashoga katoliki nzima
Kwamba DW na BBC wanajitungia taarifa za uongo 🤔 ukubali ukatae katoliki inaunga mkono mapenzi ya jinsia moja na kiongozi wenu yule bibi mnae muita papa ndio kiongozi wa huo ushetani, ukiendelea kupinga utakua na wewe ndio wale waleNimekuuliza chanzo cha Kanisa Katoliki kinachoonesha tunaunga mkono ushoga, umeniwekea screenshot ya DW Kiswahili! 😁
Hakuna chanzo chochote cha mafundisho ya Kanisa Katoliki (Biblia Takatifu, Mapokeo Matakatifu, Barua rasmi za Kichungaji, Misale ya Waamini, Katekisimu ya Kanisa Katoliki, n.k.) kinaunga mkono dhambi, ikiwemo ushoga.
Sanasana utatuwekea tu screenshots za DW, BBC, AP News, n.k. Hivyo siyo vyanzo vya Kanisa mheshimiwa mkuu. Kama kipo chanzo cha Mafundisho ya Kanisa kinachounga mkono ushoga, tuwekee hapa.
Kanisa Katoliki halijawahi kuchukua mafundisho yake DW na BBC. Tuwekee hapa nukuu kutoka chanzo rasmi cha mafundisho ya Kanisa. Mjadala utakuwa umefikia tamati. Mbona unarukaruka?Kwamba DW na BBC wanajitungia taarifa za uongo 🤔 ukubali ukatae katoliki inaunga mkono mapenzi ya jinsia moja na kiongozi wenu yule bibi mnae muita papa ndio kiongozi wa huo ushetani, ukiendelea kupinga utakua na wewe ndio wale wale
Hakuna namna utaweza kusafisha huo ukatoliki unaojikuta kuutetea kutoka kwenye ushetani wa ndoa za jinsia moja kiongozi wenu Kila mara akihojiwa kuhusiana na huo ushetani amekua akinyoosha maelezo yake kuunga mkono na tamko lake ni tamko la taasisi ambalo haliwezi kupingwa na mswahili mmoja kama wewe ambae sio Chochote kwenye katoliki, sasa kama unajiona unaijua Sana misingi ya kikatoliki kuliko yule kiongozi wenu basi utakua na akili nzito kama lami, endelea kukaza fuvuKanisa Katoliki halijawahi kuchukua mafundisho yake DW na BBC. Tuwekee hapa nukuu kutoka chanzo rasmi cha mafundisho ya Kanisa. Mjadala utakuwa umefikia tamati. Mbona unarukaruka?
Tuwekee link ya Vatican yenye hilo tamko.Hakuna namna utaweza kusafisha huo ukatoliki unaojikuta kuutetea kutoka kwenye ushetani wa ndoa za jinsia moja kiongozi wenu Kila mara akihojiwa kuhusiana na huo ushetani amekua akinyoosha maelezo yake kuunga mkono na tamko lake ni tamko la taasisi ambalo haliwezi kupingwa na mswahili mmoja kama wewe ambae sio Chochote kwenye katoliki, sasa kama unajiona unaijua Sana misingi ya kikatoliki kuliko yule kiongozi wenu basi utakua na akili nzito kama lami, endelea kukaza fuvu
Kwa hiyo Paul na Petro ndiyo walianzisha kanisa Katoliki?paul na petro