Yes. Ni wakati Sasa wa kuwa na askofu mkuu wa RC-AfricaWapige kura za kutokuwa na imani na askofu wa Rumi.
Si umtoe, umpeleke huko unakoona atafundishwa utakayo, kwani lazima Roman catholic?Wakikaa kimya wanakubaliana na haya.
Mzazi sitokua na akili timamu kumruhusu mtoto wangu akafundishwe na watu waliobariki ushoga.
Haiwezekani kuanzisha rais wa FIFA Africa. Hawawezi Anzisha RC ya Africa, waumini wasiokubaliana na ushoga wahame waache mashoga na waanzishe jina jingine au wajiunge kwingine.Yes. Ni wakati Sasa wa kuwa na askofu mkuu wa RC-Africa
vatican kimetokea nini mkuuuNaanza kupata hofu sana na haya maamuzi ya roman katoliki.
Kama tu issue ya DP World wale TEC walipiga kelele kwa nini wasitoe waraka kuhusu haya maamuzi ya Vatican?
Wazazi kuweni makini na watoto wenu wanaoenda huko Mafundishoni, inawezekana zile stori huwa zina ukweli.
Kanisa Katoliki siyo la Mitume, mitume gani hao?Kanisa ni moja, takatifu, Katoliki na la mitume.
Hinakuwa ngumu, labda waamue kuanza upya, maana properties zote za kanisa Katoliki ni mali ya Rumi (Vatican).Haiwezekani kuanzisha rais wa FIFA Africa. Hawawezi Anzisha RC ya Africa, waumini wasiokubaliana na ushoga wahame waache mashoga na waanzishe jina jingine au wajiunge kwingine.
Haujui ni mitume gani, halafu umekanusha! Una akili timamu?Kanisa Katoliki siyo la Mitume, mitume gani hao?
Nijuavyo mimi Kanisa Katoliki linapinga dhambi zote, ikiwemo ushoga. Mafundisho yamebadilika?Kama unataka kuepusha kizazi chako na ule upumbavu wa vatcan lazima kwanza ujitoe ndani ya ukatoliki, lakini kama bado uko ndani ya ukatoliki na viongozi wako wakuu wanaunga mkono ule ushetani huwezi jua siku za mbeleni hadi viongozi wa huku uswahilini watakuja kuunga mkono utakua umechelewa
Mambo yameshakua mchafukoge hukoNijuavyo mimi Kanisa Katoliki linapinga dhambi zote, ikiwemo ushoga. Mafundisho yamebadilika?