Wakatoliki kuweni makini na watoto wenu wanaoenda 'Mafundisho' msimu huu wa likizo

Walioitwa ni wengi bali wateule ni wachache, jitahidi uwe miongoni mwa wateule.
 
Mambo yameshakua mchafukoge huko
Nijuavyo mimi Kanisa Katoliki hupata mafundisho yake kutoka kwenye Biblia Takatifu, Mapokeo Mtakatifu na Taasisi ya Kipapa (The Pontiff) kupitia Katekisimu na Barua za Kitume... Siyo DW Kiswahili.
 
Kama ni kweli, nadhani wangeonesha msimamo Kama ule wa maaskofu wa Anglican Afrika.

Wao walitishia kujitenga na kanisa na kuunda African Anglican Kama agenda ya mapadre kuwa mashoga ikipita.

Yaan waikatae hiyo agenda then wajitenge na kuunda African RC.
 
Huna akili wewe,ishu ya DP World na huo upuuzi mnaouzusha unaona vinaendana?.Waafrika lini tutakuwa na akili za kutafiti Mambo na kujua kupembua Pumba na ngano?.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Naanza kupata hofu sana na haya maamuzi ya roman katoliki.

Kama tu issue ya DP World wale TEC walipiga kelele kwa nini wasitoe waraka kuhusu haya maamuzi ya Vatican?

Wazazi kuweni makini na watoto wenu wanaoenda huko M

aisee kweli!!!...unaweza shangaa mtoto anarudi nyumbani kinyumenyume au tako limevimba!!
 
---https://www.google.com/url?q=https://parstoday.ir/sw/news/world-...EQFnoECAcQAg&usg=AOvVaw1da1PUW6ZH0bKNsAeyylF-

---https://www.google.com/url?q=https://parstoday.ir/sw/news/world-...EQFnoECAUQAg&usg=AOvVaw2IvPJjtCk8yl2SIfiKDa9L

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nijuavyo mimi Kanisa Katoliki hupata mafundisho yake kutoka kwenye Biblia Takatifu, Mapokeo Mtakatifu na Taasisi ya Kipapa (The Pontiff) kupitia Katekisimu na Barua za Kitume... Siyo DW Kiswahili.
Kwani kuna sehemu umeambiwa Dw wanatoa wanatoa mafundisho kwa wakatoliki πŸ€”πŸ€” hakuna sehemu kwenye BIBLIA TAKATIFU inayo unga mkono mapenzi ya jinsia moja kama ipo itaje, endeleeni kuziba masikio na macho mtakuja kushtuka mnaongozwa na mashoga katoliki nzima
 
Nimekuuliza chanzo cha Kanisa Katoliki kinachoonesha tunaunga mkono ushoga, umeniwekea screenshot ya DW Kiswahili! 😁

Hakuna chanzo chochote cha mafundisho ya Kanisa Katoliki (Biblia Takatifu, Mapokeo Matakatifu, Barua rasmi za Kichungaji, Misale ya Waamini, Katekisimu ya Kanisa Katoliki, n.k.) kinaunga mkono dhambi, ikiwemo ushoga.

Sanasana utatuwekea tu screenshots za DW, BBC, AP News, n.k. Hivyo siyo vyanzo vya Kanisa mheshimiwa mkuu. Kama kipo chanzo cha Mafundisho ya Kanisa kinachounga mkono ushoga, tuwekee hapa.
 
Kwamba DW na BBC wanajitungia taarifa za uongo πŸ€” ukubali ukatae katoliki inaunga mkono mapenzi ya jinsia moja na kiongozi wenu yule bibi mnae muita papa ndio kiongozi wa huo ushetani, ukiendelea kupinga utakua na wewe ndio wale wale
 
Kanisa Katoliki halijawahi kuchukua mafundisho yake DW na BBC. Tuwekee hapa nukuu kutoka chanzo rasmi cha mafundisho ya Kanisa. Mjadala utakuwa umefikia tamati. Mbona unarukaruka?
 
Kanisa Katoliki halijawahi kuchukua mafundisho yake DW na BBC. Tuwekee hapa nukuu kutoka chanzo rasmi cha mafundisho ya Kanisa. Mjadala utakuwa umefikia tamati. Mbona unarukaruka?
Hakuna namna utaweza kusafisha huo ukatoliki unaojikuta kuutetea kutoka kwenye ushetani wa ndoa za jinsia moja kiongozi wenu Kila mara akihojiwa kuhusiana na huo ushetani amekua akinyoosha maelezo yake kuunga mkono na tamko lake ni tamko la taasisi ambalo haliwezi kupingwa na mswahili mmoja kama wewe ambae sio Chochote kwenye katoliki, sasa kama unajiona unaijua Sana misingi ya kikatoliki kuliko yule kiongozi wenu basi utakua na akili nzito kama lami, endelea kukaza fuvu
 
Tuwekee link ya Vatican yenye hilo tamko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…