Wakatoliki (TEC) wameanza, huenda wakafuata waprotestant (CCT), wapentekoste(PCT) na wasabato. Rais Samia nakushauri achana na DP world!

Kwa kuwa wew unataka bandari wachukue DP WORLD wachukue bandari za Tanganyika,kwa hiyo hutaki kabsa viongozi wa dini wasioafiki vipengele katika huo mkataba ambao ni Watanzania( Watanganyika) kutumia majukwaa yao kama raia wengine kueleza maini yao? YAAAANI KATIKA HILI ULITAKA WANYAMAZE KIMYAAA WASISEME CHOCHOTE AU?
 
Wapi imesemwa DP World watachukua Bandari za Tanganyika? Niwekee hapa hicho kifungu cha mkataba kinachosema hayo
 
Huelewi Kitu
Sasa hiyo Serikali inaendeshwa na Maroboti au binadamu?? Na kama ni Binadamu jua kuwa want IMANI YA DINI FULANI.
NA IMANI INANGUVU SANA
 
Huelewi Kitu
Sasa hiyo Serikali inaendeshwa na Maroboti au binadamu?? Na kama ni Binadamu jua kuwa want IMANI YA DINI FULANI.
NA IMANI INANGUVU SANA
Kwa hiyo wanaongoza Serikali kwa imani zao za kidini? Mpuuzi kabisa wewe!!
 
Sawa ostadh
 
Asa mkuu hela yao tushakula!
 
kutokana na makosa ya kiufundi ya CCM na wapiga debe wa serikali kulazimisha hili suala lionekane linapingwa kwa mlengo wa kidini ili kuwazima wakosoaji. Sasa wakosoaji wameamua kuja na mlango ule ule ambao watawala wameutengenza.[emoji419][emoji375]
 
Akina Mwaipopo wamemponza Samia. Watu tulikuw tunaenda vizuri kwa kujadili vifungu kwa vifungu mara kaibuka mtu anayejiita Sheikh Mwaipopo akatema upupu wake. Matokeo yake umma ukagawanyika katika mafungu ya kidini.

Pamoja na upupu wa Mwaipopo, huu mkataba ni mbovu, unatupeleka kuwa tegemezi kwa waarabu, na hauwezi kutujengea capacity ili tulingane nao hao waarabu kwenye kuendesha bandari zetu au kuwazidi.

TUNATAKA KUJITEGEMEA!
 
kutokana na makosa ya kiufundi ya CCM na wapiga debe wa serikali kulazimisha hili suala lionekane linapingwa kwa mlengo wa kidini ili kuwazima wakosoaji. Sasa wakosoaji wameamua kuja na mlango ule ule ambao watawala wameutengenza.
 
Wasabato watoe kabisa kwenye siasa, hatuchanganyi imani yetu na siasa hata kidogo.

Tutakuwa frontie huku mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…