Wakatoliki (TEC) wameanza, huenda wakafuata waprotestant (CCT), wapentekoste(PCT) na wasabato. Rais Samia nakushauri achana na DP world!

Wao wenyewe ndani ya CCM humo humo kuna makundi na Samia sijui kwa nini hata hajiongezi anaona yanamchekea yanamwambia mkataba uko sawa na yeye anayachekea, yale yaliyokuwa yana msifu Magufuri na kucheka cheka nae ndio hayo alipokufa tu yakaanza kumsema vibaya yakahamia kwa Samia,

Sijajua kama Samia kajiuliza katika nyakati hii ikitokea mapinduzi ya serikali mtu wa kwanza kuwajibika na hata kuuwa si yeye ndio atakuwa mlengwa wa Kwanza kisha yule mpumbavu wa Mbeya Tulia
 
Wewe na wenzio mna agenda za siri kuelekea 2025, lakini kama kweli mnamtakia mema Mama yetu kipenzi aliyetufungua minyororo ya utumwa ya awamu ya 5 mwambieni ukweli. Msitumie udhaifu wake wa upole uliopitiliza kumwangamiza.Sala za watu hazitawaacha salama.
Yana mpeleka chaka halafu kwenye kikao cha wajumbe yamkate jina.
CCM yana figusi sio mchezo.
 
Kwaiyo kwa akili yako makasisi ote akili zao zawa na hao wakatoriki na zako?
 
Dalili ya mvua ni mawingu, unaweza ukapuuzia mawingu lakini manyunyu yakianza hupaswi tena kuyapuuzia maana mvua ikishashika kasi huna tena ujanja, ni kuloa tu.

Wasomi waliokosoa mkataba wa bandari kupewa DP world huenda yalikuwa ni mawingu tu, vyama vya siasa (hususani CHADEMA) na wanaharakati walipoingia na kukaa mstari wa mbele kupinga mkataba wa bandari hiyo ilikuwa ni manyunyu ya mvua, na sasa kanisa katoliki kupitia baraza la maaskofu (TEC) wamekuja na mvua kamili ya mashambulizi kuupinga huo mkataba wa bandari.

Kwa wale tunaoweza kuona mbali, muda sio mrefu walutheri (KKKT) watakuja na tamko la kuuzika huo mkataba wa bandari kabla ya mwamvuli wa waprotestant (CCT) kuja na tamko na mwishoni mwamvuli wa wapentekoste (PCT) watagongelea msumari zaidi kuuzika huu mkataba. Safari hii usishangae hadi wasabato kuingia frontline na matamko ya kuupinga huu mkataba.

Kwa kifupi sana, Kanisa hapa Tanzania limejipanga kuleta full scale ya mashambulizi dhidi ya serikali ya mama Samia kuhusu huu mkataba wa bandari na hii ni kutokana na makosa ya kiufundi ya CCM na wapiga debe wa serikali kulazimisha hili suala lionekane linapingwa kwa mlengo wa kidini ili kuwazima wakosoaji. Sasa wakosoaji wameamua kuja na mlango ule ule ambao watawala wameutengenza.

Ushauri wangu kwa mama Samia na serikali yake ni kusoma alama za nyakati tu na kuachana haraka na huu mkataba wa bandari. Huu mziki wa kanisa ni mnene mnoo, wamejipanga vizuri mnoo na wana nguvu ya kupitiliza. Wakati ni ukuta, ukishindana nao utaumia, wakati sahihi wa kuachana na mkataba wa bandari na Dp world ni sasa. Mama Samia tunakupenda sana na tunakutakia mema.
Wapumbavu pekee ndio hawaoni kasoro ya huo Mkataba wa DP, wakiongozwa na mkuu wa Mhimili wa Bunge Spika Tulia Ackson.

Vv

Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo Serikali inaendeshwa na Taasisi za kidini?

Hata kama mkataba ungekuwa haufai jambo ambalo halipo. Ni precedent mbaya sana kwa Serikali kuonekana inaendeshwa na Taasisi za kidini.

Hilo halipo na halitakuja kutokea duniani. Hakuna Taasisi yenye nguvu kuliko Serikali.

Haijatokea na haitakuja kutokea Duniani.

Hizo sifa mnawapa kwa sababu stori zenu za vijiweni tu.
Jadili hoja Siyo taasisi za dini.

Hizo taasisi zinaendeshwa na Watanzania.

Au viongozi wa dini hawatakiwi kushiriki ktk mijadala ya mustakabadhi wanchi yao. Kwani wao wanaishi kisiwani au ktk dunia ya peke yao?

Kwako mkataba unfaaeee! Unakufaa wewe na mke na watoto wako.

Bandari zetu hazitatolewa bure! Umangungo ulishapita! Kauzeni Ile ya Zanzibar!
 
Wapi imesemwa Bandari zimetolewa bure?
 
Watanzania tumezidi kuwa wanafiki na hatupendi kusema ukweli

Kwanini tunapindisha ukweli kuwa Rais wetu Samia amekiuka katiba ya nchi kitu ambacho ni UHAINI MKUU hivyo basi aachie madaraka

Shinikizo hapa ilikuwa ni samia kuachia madaraka na sio mjadala wa bandari kwani huo tayari umepita hadi bungeni
 
Dalili ya mvua ni mawingu, unaweza ukapuuzia mawingu lakini manyunyu yakianza hupaswi tena kuyapuuzia maana mvua ikishashika kasi huna tena ujanja, ni kuloa tu.

Wasomi waliokosoa mkataba wa bandari kupewa DP world huenda yalikuwa ni mawingu tu, vyama vya siasa (hususani CHADEMA) na wanaharakati walipoingia na kukaa mstari wa mbele kupinga mkataba wa bandari hiyo ilikuwa ni manyunyu ya mvua, na sasa kanisa katoliki kupitia baraza la maaskofu (TEC) wamekuja na mvua kamili ya mashambulizi kuupinga huo mkataba wa bandari.

Kwa wale tunaoweza kuona mbali, muda sio mrefu walutheri (KKKT) watakuja na tamko la kuuzika huo mkataba wa bandari kabla ya mwamvuli wa waprotestant (CCT) kuja na tamko na mwishoni mwamvuli wa wapentekoste (PCT) watagongelea msumari zaidi kuuzika huu mkataba. Safari hii usishangae hadi wasabato kuingia frontline na matamko ya kuupinga huu mkataba.

Kwa kifupi sana, Kanisa hapa Tanzania limejipanga kuleta full scale ya mashambulizi dhidi ya serikali ya mama Samia kuhusu huu mkataba wa bandari na hii ni kutokana na makosa ya kiufundi ya CCM na wapiga debe wa serikali kulazimisha hili suala lionekane linapingwa kwa mlengo wa kidini ili kuwazima wakosoaji. Sasa wakosoaji wameamua kuja na mlango ule ule ambao watawala wameutengenza.

Ushauri wangu kwa mama Samia na serikali yake ni kusoma alama za nyakati tu na kuachana haraka na huu mkataba wa bandari. Huu mziki wa kanisa ni mnene mnoo, wamejipanga vizuri mnoo na wana nguvu ya kupitiliza. Wakati ni ukuta, ukishindana nao utaumia, wakati sahihi wa kuachana na mkataba wa bandari na Dp world ni sasa. Mama Samia tunakupenda sana na tunakutakia mema.
TEC ni takataka gani nchi hii, nchi hii haiongozwi na vikundi vya kibaguzi km hivyo, hao wanajulikana rais akiwa muislam hawatulizagi vitako vyao, ni mwendo wa nyaraka. Rais awapuuze hao wapumbavu wachumia tumbo. Bunge limepitisha mkataba ndio wawakilishi wa wananchi. Mahakama kuu imebarikik mkataba kuwa ni safi, sasa wajitokeze kundi fulani kwa mrengo wa kibaguzi eti rais aachane na mkataba, wao ni kina nani. Nchi hii ina viongozi wapambane na shughuli zao za dini waiache serikali ipamabane na mipango yake iwahudumie watanzania. Hao ni washenzi fulani tu wanaoangalia maslahi yao ya kushibisha matumbo yao. Hakuna kanisa linalijenga miundo mbinu yoyote, iwe ni barabara, reli, maji, shule hata hospitali zenyewe serilaki ndio inawalipia mishahara watumishi wa hospitali zao

Kanisa katoliki ni hatari sana kwa utawala wa nchi hasa wakiendekezwa, serikali ingekaa mbali na hawa watu na kuwapa onyo waache chokochoko, hawanaga jema hao majamaa. Waliingiza Rwanda kwenye mauaji ya halaika baada ya kusambaza chuki. Wamejipenyeza sana kwenye systems ya serikali na aliyefanya mambo hayo ni Nyerere baada ya kukaa madarakani kwa muda mrefu sana miaka 24. Wameonja asali sana, wamepewa ardhi kubwa kubwa bure kabisa, wamezoea mbeleko hawalipi kodi, wanapitisha mizigo yao kwa magendo bandarini, sasa wanaona mwisho wao umefika ndio kelele hizo. Angekuwa mzungu wasingepiga kelele, ni wabaguzi sana. Rais usirudi nyuma hizo nyaraka zao si ngeni hata wakati wa JK waliziandika sana ila alizipuuzia. Watakukwamisha na baadaye wakuzomee ili wao warudishe watu wao bandarini. Hapo wanapopapigia kelele sana we ndio upafanyie kazi utafanikiwa, vaa moyo wa ujasiri we ndio mkuu wa nchi kwa sasa, ndio mwenye viapo vitatu piga kazi wapuuze nia yao inajulikana. Wananchi wa kawaida ambao ndio wapiga kura wako wako pamoja na wewe.

Kiukweli kwa mtazamo wangu hizi dini ndio silaha inayotumika mpaka leo kudunisha nchi za Afrika, wale waliozileta wameshaachana nazo, ilikuwa ni mision ya kuitawala Afrika. Tumeshanasa kwenye huu mtego ambao wajanja wanautumia ndio maana maendeleo yetu yatachelewa sana. Mchina amefanikiwa sana hataki hizo takataka zenu, na hata uhuru wa kijinga kijinga haupo umedhibitiwa ndio maana wako mabli sana. Watu wanatumia hizi dini kula bila kufanya kazi. Umaskini nao ni mbaya sana unakunyima uhuru wa kujiamulia namna ya kutawala maana ukifanya jambo fulani unafikiri km rais itasaidia nchi yako wanakuja vikundi kukutisha na kwamba ukikataa matakwa yao watakushitaki kwa mabwana zao kule ulaya ambao nao unawategemea kukusaidia. Ila rais uwe strong tutafika, usikubali kuyumbishwa. Rais wangu unao maadui kadhaa km hao Kanisa katoliki, sukuma gang, wale wanaofaidika na udhaifu wa bandari na ndio hatari kuliko hivyo vikundi vingine. Pambana nao kwa akili utashinda. Suala la bandari tunataka kusikia utekelezaji umeanza hizi kelele zitaisha mh. Rais.
 
Kiongozi wewe unaamini ule mkataba una shida au hauna shida?
duh, serikali na dini zote ni watu... labda tukuulize katika nchi hii kuna mwanasiasa alipata urais bila kuwaomba viongozi wa dini wamuamini?

Unasema halipo unajua mapinduzi ya kiislam ya IRAN kati ya rais wa IRAN na Ayatolah nani mkuu wa nchi?

Acha upumbavu jomba. Binafsi sipingi uwekezaji wa DUBAI PORT WORLD lakini kulingana na suala hili lilipofikia serikali iachane nalo.

The lost
bunge na mahakama wameshatoa maamuzi yao, hizo takataka zingine za kupuuzwa
 
Kwenye hoja zinazogusa maslahi ya wananchi ficha upumbavu
nawe kaufiche huo wa kwako matakoni. mnafiki mkubwa kuna maslahi makubwa km serikali kuwekeza ili kupata pesa. ila imeshapita hiyo sijui kwani mnaendelea kupiga kelele
 
Dalili ya mvua ni mawingu, unaweza ukapuuzia mawingu lakini manyunyu yakianza hupaswi tena kuyapuuzia maana mvua ikishashika kasi huna tena ujanja, ni kuloa tu.

Wasomi waliokosoa mkataba wa bandari kupewa DP world huenda yalikuwa ni mawingu tu, vyama vya siasa (hususani CHADEMA) na wanaharakati walipoingia na kukaa mstari wa mbele kupinga mkataba wa bandari hiyo ilikuwa ni manyunyu ya mvua, na sasa kanisa katoliki kupitia baraza la maaskofu (TEC) wamekuja na mvua kamili ya mashambulizi kuupinga huo mkataba wa bandari.

Kwa wale tunaoweza kuona mbali, muda sio mrefu walutheri (KKKT) watakuja na tamko la kuuzika huo mkataba wa bandari kabla ya mwamvuli wa waprotestant (CCT) kuja na tamko na mwishoni mwamvuli wa wapentekoste (PCT) watagongelea msumari zaidi kuuzika huu mkataba. Safari hii usishangae hadi wasabato kuingia frontline na matamko ya kuupinga huu mkataba.

Kwa kifupi sana, Kanisa hapa Tanzania limejipanga kuleta full scale ya mashambulizi dhidi ya serikali ya mama Samia kuhusu huu mkataba wa bandari na hii ni kutokana na makosa ya kiufundi ya CCM na wapiga debe wa serikali kulazimisha hili suala lionekane linapingwa kwa mlengo wa kidini ili kuwazima wakosoaji. Sasa wakosoaji wameamua kuja na mlango ule ule ambao watawala wameutengenza.

Ushauri wangu kwa mama Samia na serikali yake ni kusoma alama za nyakati tu na kuachana haraka na huu mkataba wa bandari. Huu mziki wa kanisa ni mnene mnoo, wamejipanga vizuri mnoo na wana nguvu ya kupitiliza. Wakati ni ukuta, ukishindana nao utaumia, wakati sahihi wa kuachana na mkataba wa bandari na Dp world ni sasa. Mama Samia tunakupenda sana na tunakutakia mema.
Washauri wa mama ni akina nape ,samia anawaona kama ndo kinga yake
 
Kwa kuwa wew unataka bandari wachukue DP WORLD wachukue bandari za Tanganyika,kwa hiyo hutaki kabsa viongozi wa dini wasioafiki vipengele katika huo mkataba ambao ni Watanzania( Watanganyika) kutumia majukwaa yao kama raia wengine kueleza maini yao? YAAAANI KATIKA HILI ULITAKA WANYAMAZE KIMYAAA WASISEME CHOCHOTE AU?
Ukweli mtupu,Mungu akubariki.
 
Dalili ya mvua ni mawingu, unaweza ukapuuzia mawingu lakini manyunyu yakianza hupaswi tena kuyapuuzia maana mvua ikishashika kasi huna tena ujanja, ni kuloa tu.

Wasomi waliokosoa mkataba wa bandari kupewa DP world huenda yalikuwa ni mawingu tu, vyama vya siasa (hususani CHADEMA) na wanaharakati walipoingia na kukaa mstari wa mbele kupinga mkataba wa bandari hiyo ilikuwa ni manyunyu ya mvua, na sasa kanisa katoliki kupitia baraza la maaskofu (TEC) wamekuja na mvua kamili ya mashambulizi kuupinga huo mkataba wa bandari.

Kwa wale tunaoweza kuona mbali, muda sio mrefu walutheri (KKKT) watakuja na tamko la kuuzika huo mkataba wa bandari kabla ya mwamvuli wa waprotestant (CCT) kuja na tamko na mwishoni mwamvuli wa wapentekoste (PCT) watagongelea msumari zaidi kuuzika huu mkataba. Safari hii usishangae hadi wasabato kuingia frontline na matamko ya kuupinga huu mkataba.

Kwa kifupi sana, Kanisa hapa Tanzania limejipanga kuleta full scale ya mashambulizi dhidi ya serikali ya mama Samia kuhusu huu mkataba wa bandari na hii ni kutokana na makosa ya kiufundi ya CCM na wapiga debe wa serikali kulazimisha hili suala lionekane linapingwa kwa mlengo wa kidini ili kuwazima wakosoaji. Sasa wakosoaji wameamua kuja na mlango ule ule ambao watawala wameutengenza.

Ushauri wangu kwa mama Samia na serikali yake ni kusoma alama za nyakati tu na kuachana haraka na huu mkataba wa bandari. Huu mziki wa kanisa ni mnene mnoo, wamejipanga vizuri mnoo na wana nguvu ya kupitiliza. Wakati ni ukuta, ukishindana nao utaumia, wakati sahihi wa kuachana na mkataba wa bandari na Dp world ni sasa. Mama Samia tunakupenda sana na tunakutakia mema.
Siyo tu kuachana nao, aondoke kabisa madarakani
 
Wapi imesemwa DP World watachukua Bandari za Tanganyika? Niwekee hapa hicho kifungu cha mkataba kinachosema hayo
Mbona we mbishi sana aisee?Huu mkataba wa DP World unahusu Bandari zote za Tanzania yaani Tanzania Visiwani na Tanzania Bara au ni bandari za Tanzania bara peke yake zikiongozwa na Bandari ya Dar es Salaam?
 
Back
Top Bottom