Thubutuuuu hujui nguvu ya raisi ndugu yangu tupo wengi tunaomsupport hakuna wa kumtisha hayo maneno maneno ya nyie walafi tumeshawazoea msipokuwa na maslahi binafsi lazima mpondeHutkaa uamini huyo Bibi atakavyofika nungwi akiwa peku...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutuuuu hujui nguvu ya raisi ndugu yangu tupo wengi tunaomsupport hakuna wa kumtisha hayo maneno maneno ya nyie walafi tumeshawazoea msipokuwa na maslahi binafsi lazima mpondeHutkaa uamini huyo Bibi atakavyofika nungwi akiwa peku...
Dalili ya mvua ni mawingu, unaweza ukapuuzia mawingu lakini manyunyu yakianza hupaswi tena kuyapuuzia maana mvua ikishashika kasi huna tena ujanja, ni kuloa tu.
Wasomi waliokosoa mkataba wa bandari kupewa DP world huenda yalikuwa ni mawingu tu, vyama vya siasa (hususani CHADEMA) na wanaharakati walipoingia na kukaa mstari wa mbele kupinga mkataba wa bandari hiyo ilikuwa ni manyunyu ya mvua, na sasa kanisa katoliki kupitia baraza la maaskofu (TEC) wamekuja na mvua kamili ya mashambulizi kuupinga huo mkataba wa bandari.
Kwa wale tunaoweza kuona mbali, muda sio mrefu walutheri (KKKT) watakuja na tamko la kuuzika huo mkataba wa bandari kabla ya mwamvuli wa waprotestant (CCT) kuja na tamko na mwishoni mwamvuli wa wapentekoste (PCT) watagongelea msumari zaidi kuuzika huu mkataba. Safari hii usishangae hadi wasabato kuingia frontline na matamko ya kuupinga huu mkataba.
Kwa kifupi sana, Kanisa hapa Tanzania limejipanga kuleta full scale ya mashambulizi dhidi ya serikali ya mama Samia kuhusu huu mkataba wa bandari na hii ni kutokana na makosa ya kiufundi ya CCM na wapiga debe wa serikali kulazimisha hili suala lionekane linapingwa kwa mlengo wa kidini ili kuwazima wakosoaji. Sasa wakosoaji wameamua kuja na mlango ule ule ambao watawala wameutengenza.
Ushauri wangu kwa mama Samia na serikali yake ni kusoma alama za nyakati tu na kuachana haraka na huu mkataba wa bandari. Huu mziki wa kanisa ni mnene mnoo, wamejipanga vizuri mnoo na wana nguvu ya kupitiliza. Wakati ni ukuta, ukishindana nao utaumia, wakati sahihi wa kuachana na mkataba wa bandari na Dp world ni sasa. Mama Samia tunakupenda sana na tunakutakia mema.
Huna unalojua Rais ndebwedo huyo...Thubutuuuu hujui nguvu ya raisi ndugu yangu tupo wengi tunaomsupport hakuna wa kumtisha hayo maneno maneno ya nyie walafi tumeshawazoea msipokuwa na maslahi binafsi lazima mponde
Eeeh tena hatuamini kama kuna Mungu, happy??Ila kumpinga Kristo mnaongoza.
Wewe baada ya kuhangaikia kula yako unahangaika na dp world na raisi watu wengine bwana huwezi kubadilisha chochote, na mungu atamlinda na wanafki wenye chuki kama wewe na hao wenzio walafiHuna unalojua Rais ndebwedo huyo...
Kwa hiyo Serikali inaendeshwa na Taasisi za kidini?
Hata kama mkataba ungekuwa haufai jambo ambalo halipo. Ni precedent mbaya sana kwa Serikali kuonekana inaendeshwa na Taasisi za kidini.
Hilo halipo na halitakuja kutokea duniani. Hakuna Taasisi yenye nguvu kuliko Serikali.
Haijatokea na haitakuja kutokea Duniani.
Hizo sifa mnawapa kwa sababu stori zenu za vijiweni tu.
Unaakili ndg kama kifurushi cha sisimizi. Why serikali huwa inahysisha taasisi za kidini ktk kupanga na kutekeleza baadhi ya mipango yake?
Kama umebariki kuhusisha viongozi wa taasisi za kidini kuzibeba agenda serikali iweje uone ni uhaini hizo taasisi kuikosoa, kukemea au kuishauri serkali?
Ujumbe umefika.Dalili ya mvua ni mawingu, unaweza ukapuuzia mawingu lakini manyunyu yakianza hupaswi tena kuyapuuzia maana mvua ikishashika kasi huna tena ujanja, ni kuloa tu.
Wasomi waliokosoa mkataba wa bandari kupewa DP world huenda yalikuwa ni mawingu tu, vyama vya siasa (hususani CHADEMA) na wanaharakati walipoingia na kukaa mstari wa mbele kupinga mkataba wa bandari hiyo ilikuwa ni manyunyu ya mvua, na sasa kanisa katoliki kupitia baraza la maaskofu (TEC) wamekuja na mvua kamili ya mashambulizi kuupinga huo mkataba wa bandari.
Kwa wale tunaoweza kuona mbali, muda sio mrefu walutheri (KKKT) watakuja na tamko la kuuzika huo mkataba wa bandari kabla ya mwamvuli wa waprotestant (CCT) kuja na tamko na mwishoni mwamvuli wa wapentekoste (PCT) watagongelea msumari zaidi kuuzika huu mkataba. Safari hii usishangae hadi wasabato kuingia frontline na matamko ya kuupinga huu mkataba.
Kwa kifupi sana, Kanisa hapa Tanzania limejipanga kuleta full scale ya mashambulizi dhidi ya serikali ya mama Samia kuhusu huu mkataba wa bandari na hii ni kutokana na makosa ya kiufundi ya CCM na wapiga debe wa serikali kulazimisha hili suala lionekane linapingwa kwa mlengo wa kidini ili kuwazima wakosoaji. Sasa wakosoaji wameamua kuja na mlango ule ule ambao watawala wameutengenza.
Ushauri wangu kwa mama Samia na serikali yake ni kusoma alama za nyakati tu na kuachana haraka na huu mkataba wa bandari. Huu mziki wa kanisa ni mnene mnoo, wamejipanga vizuri mnoo na wana nguvu ya kupitiliza. Wakati ni ukuta, ukishindana nao utaumia, wakati sahihi wa kuachana na mkataba wa bandari na Dp world ni sasa. Mama Samia tunakupenda sana na tunakutakia mema.
Hata Baraza la mashehe nao wanaweza kukaa na kutoa tamko lao la kuupinga mkataba, lakini hata kama Baraza la mashehe wataupinga mkataba, haimaanishi kwamba waumini wao wote Wanaoupinga mkataba. Lakini pia mkataba huu umeshasainiwa na umeshapitishwa na Bunge, hivi sasa NI too late. Ushauri wangu Kwa serikali msikubali kuyumbishwa, Kwa sababu mkataba huu ukianza baada ya miaka 15 hao wote wanaopinga, kama watakuwa hai, naamini watakufa Kwa Aibu. GDP per capital ya Tanzania mwaka 1960 na 1970 ilikuwa 165, miaka hivyohivyo ya Nchi ya Thailand ilikuwa 166, Leo hii GDP per capital yetu NI 1400 ya Nchi ya Thailand NI zaidi ya 7000. Ukiangalia rasilimali Tanzania tuna rasilimali nyingi kuwazidi Thailand. Tujiulize Kwa nini uchumi wetu haukui ? Jibu lake NI Kwa mambo kama haya, kuupinga VITU hata visivyostshili kupingwa. Mama piga kazi, tunajua unaipenda na unaipigania Nchi yako, endless kumtanguliza Mungu mbele. Hauna Shaka watakukumbuka Sana utakapo maliza kipindi chako cha uongozi alichokupangia Mungu.Dalili ya mvua ni mawingu, unaweza ukapuuzia mawingu lakini manyunyu yakianza hupaswi tena kuyapuuzia maana mvua ikishashika kasi huna tena ujanja, ni kuloa tu.
Wasomi waliokosoa mkataba wa bandari kupewa DP world huenda yalikuwa ni mawingu tu, vyama vya siasa (hususani CHADEMA) na wanaharakati walipoingia na kukaa mstari wa mbele kupinga mkataba wa bandari hiyo ilikuwa ni manyunyu ya mvua, na sasa kanisa katoliki kupitia baraza la maaskofu (TEC) wamekuja na mvua kamili ya mashambulizi kuupinga huo mkataba wa bandari.
Kwa wale tunaoweza kuona mbali, muda sio mrefu walutheri (KKKT) watakuja na tamko la kuuzika huo mkataba wa bandari kabla ya mwamvuli wa waprotestant (CCT) kuja na tamko na mwishoni mwamvuli wa wapentekoste (PCT) watagongelea msumari zaidi kuuzika huu mkataba. Safari hii usishangae hadi wasabato kuingia frontline na matamko ya kuupinga huu mkataba.
Kwa kifupi sana, Kanisa hapa Tanzania limejipanga kuleta full scale ya mashambulizi dhidi ya serikali ya mama Samia kuhusu huu mkataba wa bandari na hii ni kutokana na makosa ya kiufundi ya CCM na wapiga debe wa serikali kulazimisha hili suala lionekane linapingwa kwa mlengo wa kidini ili kuwazima wakosoaji. Sasa wakosoaji wameamua kuja na mlango ule ule ambao watawala wameutengenza.
Ushauri wangu kwa mama Samia na serikali yake ni kusoma alama za nyakati tu na kuachana haraka na huu mkataba wa bandari. Huu mziki wa kanisa ni mnene mnoo, wamejipanga vizuri mnoo na wana nguvu ya kupitiliza. Wakati ni ukuta, ukishindana nao utaumia, wakati sahihi wa kuachana na mkataba wa bandari na Dp world ni sasa. Mama Samia tunakupenda sana na tunakutakia mema.
Takataka wewe, kula yangu ndio inayomlisha Rais.... Nyie vilaza wa CCM hamna mmalojua Nchi hii.Wewe baada ya kuhangaikia kula yako unahangaika na dp world na raisi watu wengine bwana huwezi kubadilisha chochote, na mungu atamlinda na wanafki wenye chuki kama wewe na hao wenzio walafi
Umeandika vizuri sana ndugu yangu. Kwa utambulisho wako, bila shaka wewe ni ndugu yetu kutoka Zenji na ni wa Imani ya kiislamu. Umeupendeza moyo wangu kwa kujipambanua na kukaa mbali na hisia na itikadi za kidini kuhusu sakata linaloendelea la mkataba wa bandari. Nimekuwa nikishangaa na kusikitishwa baadhi ya ndugu zetu waislamu wanaupigania mkataba na wanaonekana kuwashutumu wakosoaji na kumuunga mkono Rais Samia na Serikali yake ktk suala ambalo lina dalili za wazi za rushwa na ufisadi mkubwa wa kimataifa.Dalili ya mvua ni mawingu, unaweza ukapuuzia mawingu lakini manyunyu yakianza hupaswi tena kuyapuuzia maana mvua ikishashika kasi huna tena ujanja, ni kuloa tu.
Wasomi waliokosoa mkataba wa bandari kupewa DP world huenda yalikuwa ni mawingu tu, vyama vya siasa (hususani CHADEMA) na wanaharakati walipoingia na kukaa mstari wa mbele kupinga mkataba wa bandari hiyo ilikuwa ni manyunyu ya mvua, na sasa kanisa katoliki kupitia baraza la maaskofu (TEC) wamekuja na mvua kamili ya mashambulizi kuupinga huo mkataba wa bandari.
Kwa wale tunaoweza kuona mbali, muda sio mrefu walutheri (KKKT) watakuja na tamko la kuuzika huo mkataba wa bandari kabla ya mwamvuli wa waprotestant (CCT) kuja na tamko na mwishoni mwamvuli wa wapentekoste (PCT) watagongelea msumari zaidi kuuzika huu mkataba. Safari hii usishangae hadi wasabato kuingia frontline na matamko ya kuupinga huu mkataba.
Kwa kifupi sana, Kanisa hapa Tanzania limejipanga kuleta full scale ya mashambulizi dhidi ya serikali ya mama Samia kuhusu huu mkataba wa bandari na hii ni kutokana na makosa ya kiufundi ya CCM na wapiga debe wa serikali kulazimisha hili suala lionekane linapingwa kwa mlengo wa kidini ili kuwazima wakosoaji. Sasa wakosoaji wameamua kuja na mlango ule ule ambao watawala wameutengenza.
Ushauri wangu kwa mama Samia na serikali yake ni kusoma alama za nyakati tu na kuachana haraka na huu mkataba wa bandari. Huu mziki wa kanisa ni mnene mnoo, wamejipanga vizuri mnoo na wana nguvu ya kupitiliza. Wakati ni ukuta, ukishindana nao utaumia, wakati sahihi wa kuachana na mkataba wa bandari na Dp world ni sasa. Mama Samia tunakupenda sana na tunakutakia mema.
Watu, ukitia ndani cct, tec, pct, bakwata na wasabato wana uhuru wa kusema lolote, lakini serikali haipangiwi na watu baki cha kufanya. Muda ukifika, DP world watapewa bandari zote za Tanganyika ili waziendeshe. Ambaye haitaki DP world ahamie BurundiDalili ya mvua ni mawingu, unaweza ukapuuzia mawingu lakini manyunyu yakianza hupaswi tena kuyapuuzia maana mvua ikishashika kasi huna tena ujanja, ni kuloa tu.
Wasomi waliokosoa mkataba wa bandari kupewa DP world huenda yalikuwa ni mawingu tu, vyama vya siasa (hususani CHADEMA) na wanaharakati walipoingia na kukaa mstari wa mbele kupinga mkataba wa bandari hiyo ilikuwa ni manyunyu ya mvua, na sasa kanisa katoliki kupitia baraza la maaskofu (TEC) wamekuja na mvua kamili ya mashambulizi kuupinga huo mkataba wa bandari.
Kwa wale tunaoweza kuona mbali, muda sio mrefu walutheri (KKKT) watakuja na tamko la kuuzika huo mkataba wa bandari kabla ya mwamvuli wa waprotestant (CCT) kuja na tamko na mwishoni mwamvuli wa wapentekoste (PCT) watagongelea msumari zaidi kuuzika huu mkataba. Safari hii usishangae hadi wasabato kuingia frontline na matamko ya kuupinga huu mkataba.
Kwa kifupi sana, Kanisa hapa Tanzania limejipanga kuleta full scale ya mashambulizi dhidi ya serikali ya mama Samia kuhusu huu mkataba wa bandari na hii ni kutokana na makosa ya kiufundi ya CCM na wapiga debe wa serikali kulazimisha hili suala lionekane linapingwa kwa mlengo wa kidini ili kuwazima wakosoaji. Sasa wakosoaji wameamua kuja na mlango ule ule ambao watawala wameutengenza.
Ushauri wangu kwa mama Samia na serikali yake ni kusoma alama za nyakati tu na kuachana haraka na huu mkataba wa bandari. Huu mziki wa kanisa ni mnene mnoo, wamejipanga vizuri mnoo na wana nguvu ya kupitiliza. Wakati ni ukuta, ukishindana nao utaumia, wakati sahihi wa kuachana na mkataba wa bandari na Dp world ni sasa. Mama Samia tunakupenda sana na tunakutakia mema.
Hiyo kura yako moja ya chuki na matusi bora ukae nayo tu, enemy of progress weweTakataka wewe, kula yangu ndio inayomlisha Rais.... Nyie vilaza wa CCM hamna mmalojua Nchi hii.
Wewe ni mjinga mmoja tu, hakuna mahali nimesema "kura" nimesema kula uwe mtambuzi wa maandishi takataka wewe hujui hata kuandika.Hiyo kura yako moja ya chuki na matusi bora ukae nayo tu, enemy of progress wewe
Huna unachojua sasa kula yako inamhusu nini raisi wetu embu toa umbumbumbu wako hapa , ujuaji mwingi utakuta hata mkataba wenyewe hujausoma boya wewe kufuata mkumbo tuWewe ni mjinga mmoja tu, hakuna mahali nimesema "kura" nimesema kula uwe mtambuzi wa maandishi takataka wewe hujui hata kuandika.
Serikali inaongozwa na watu, usizipuuze taasisi za kidini, mjinga pekee atazipuuzaKwa hiyo Serikali inaendeshwa na Taasisi za kidini?
Hata kama mkataba ungekuwa haufai jambo ambalo halipo. Ni precedent mbaya sana kwa Serikali kuonekana inaendeshwa na Taasisi za kidini.
Hilo halipo na halitakuja kutokea duniani. Hakuna Taasisi yenye nguvu kuliko Serikali.
Haijatokea na haitakuja kutokea Duniani.
Hizo sifa mnawapa kwa sababu stori zenu za vijiweni tu.
Ok...binafsi nimekuelewa...ila katika kuachana na mkataba huu unashauri process iweje kwa maana serikali ichukue mkakati upi...Dalili ya mvua ni mawingu, unaweza ukapuuzia mawingu lakini manyunyu yakianza hupaswi tena kuyapuuzia maana mvua ikishashika kasi huna tena ujanja, ni kuloa tu.
Wasomi waliokosoa mkataba wa bandari kupewa DP world huenda yalikuwa ni mawingu tu, vyama vya siasa (hususani CHADEMA) na wanaharakati walipoingia na kukaa mstari wa mbele kupinga mkataba wa bandari hiyo ilikuwa ni manyunyu ya mvua, na sasa kanisa katoliki kupitia baraza la maaskofu (TEC) wamekuja na mvua kamili ya mashambulizi kuupinga huo mkataba wa bandari.
Kwa wale tunaoweza kuona mbali, muda sio mrefu walutheri (KKKT) watakuja na tamko la kuuzika huo mkataba wa bandari kabla ya mwamvuli wa waprotestant (CCT) kuja na tamko na mwishoni mwamvuli wa wapentekoste (PCT) watagongelea msumari zaidi kuuzika huu mkataba. Safari hii usishangae hadi wasabato kuingia frontline na matamko ya kuupinga huu mkataba.
Kwa kifupi sana, Kanisa hapa Tanzania limejipanga kuleta full scale ya mashambulizi dhidi ya serikali ya mama Samia kuhusu huu mkataba wa bandari na hii ni kutokana na makosa ya kiufundi ya CCM na wapiga debe wa serikali kulazimisha hili suala lionekane linapingwa kwa mlengo wa kidini ili kuwazima wakosoaji. Sasa wakosoaji wameamua kuja na mlango ule ule ambao watawala wameutengenza.
Ushauri wangu kwa mama Samia na serikali yake ni kusoma alama za nyakati tu na kuachana haraka na huu mkataba wa bandari. Huu mziki wa kanisa ni mnene mnoo, wamejipanga vizuri mnoo na wana nguvu ya kupitiliza. Wakati ni ukuta, ukishindana nao utaumia, wakati sahihi wa kuachana na mkataba wa bandari na Dp world ni sasa. Mama Samia tunakupenda sana na tunakutakia mema.
Huijui Dunia inavyoendeshwa wewe endelea kula maharage yako ulale.Kwa hiyo Serikali inaendeshwa na Taasisi za kidini?