Wakatoliki (TEC) wameanza, huenda wakafuata waprotestant (CCT), wapentekoste(PCT) na wasabato. Rais Samia nakushauri achana na DP world!

Kwenye hoja zinazogusa maslahi ya wananchi ficha upumbavu
 
Issue imefika pabaya, punguzeni nguvu za kwenda mbele, pozeni kwanza then mtafute mbinu mpya, be wise guys
 
Barakala kaa kwa kutulia sindano ya moto ikuingie.
 
Ni kweli Serikali haiendeshwi na Taasisi za kidini lakini Taasisi za kidini zina nguvu kubwa na mizizi imara iliyojichimbia chini kuliko Serikali ,Hata hivyo mara nyingi Taasisi za kidini hujizuia kutumia nguvu zao kuingilia utendaji wa Serikali ili kuiruhusu Serikali kutimiza majukumu yake sawa na Katiba husika.Serikali inashauriwa sana kuzingatia maoni rasmi ya taasisi hizi yanayohusu utendaji kazi wake.Kupuuza maoni ya taasisi hizi mara nyingi uweza kuambatana na matokeo hasi na yasiyotegemewa kwa serikali husika.

Maoni yangu,

Article.
 
 
Kitendo cha serekali kufanyia kazi mapendekezo ya kanisa Hakimaanishi kwamba serekali ni royal kwa kanisa. Kama mkataba hauna shida na no kwa manufaa ya Wananchi, kuna Haja gani ya kulazimisha ikiwa wananchi wenyewe hawautaki?
 
Huu mkataba unao lazimishwa kuna watu watakuja kuwajibika hapo mbele, Spika, Mwanasheria Mkuu, Samia na wapuuzi wengine, najiuliza ni kwa mtu anatetea kitu ambacho kina mapungufu
 
Pole, uliambiwa utapewa cheo gani pale DPW!?
 
Hapana ijiendeshe yenyewe na kina Slaa wapo ndani bila dhamana kwa kesi ya Uhaini. Waibadili chochote tuwaone.
Wewe na wenzio mna agenda za siri kuelekea 2025, lakini kama kweli mnamtakia mema Mama yetu kipenzi aliyetufungua minyororo ya utumwa ya awamu ya 5 mwambieni ukweli. Msitumie udhaifu wake wa upole uliopitiliza kumwangamiza.Sala za watu hazitawaacha salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…