Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

upotoshaji wa mwendokasi.
Acha uongo,

mkatoliki hana muda wa kubishana wala kupambana na yeyote kuhusu hilo linalopotoshwa...

Mafundisho yao ni ya kiroho na kisaikolijia zaidi...
Idiot unabishana na ukweli? Muda so mrefu waumini mtaanza kutatuliwa marinda kenge ninyi
 
Umepotosha kwa kiasi kikubwa, unaonekana hujasoma hata ule waraka wa Vatican, ulichofanya ni kuokoteza maneno kwa wengine na kuja kuanzisha huu uzi wako hapa, hujafanya uchunguzi wowote, sasa hiyo aibu aione nani?

- Kama hutaki mashoga wavumiliwe na kutambuliwa ndani ya Kanisa Katoliki, unataka wezi, waongo kama wewe, na wazinzi, wao pekee ndio waendelee kuvumiliwa? Kanisa Katoliki haliishi kwenye misingi ya kinafiki.

- Kwanini hutaki mashoga wapewe sakramenti kama waumini wengine? au wale wanaopewa ni watakatifu? hayupo yeyote miongoni mwao mwenye dhambi? Hapa unaonesha ulivyojaa ubinafsi, Papa yuko above your thinking capacity.

- Wapi umeona kwenye ule waraka wa Vatican pameandikwa Kanisa Katoliki litabariki mashoga? tuwekee hapa tupaone, kisha nami nitakuwekea pale palipoandikwa Kanisa Katoliki litabariki mali za mashoga, sio mashoga kama ulivyopotosha hapa.

Hii ni sawa na kubariki mali za wengine wasiojulikana tabia na matendo yao, hakuna yeyote anayejulikana kama ni mzinzi sababu hufanyia sirini, mwizi hufanyia sirini, kujaribu kuwatenga mashoga kama vile wao pekee ndio wenye dhambi ni unafiki na ubinafsi, Papa hataki huu unafiki.

Papa anajua miongoni mwetu hayupo aliyekamilika, Kanisa Katoliki pia linajua hivyo, tukianza kutazamana usoni na kutengana mwisho wa siku huko kanisani atabaki nani? injili atahubiriwa nani? hujui hata Yesu Kristu alikuja duniani ili kuwahubiria wenye dhambi wapate kuokoka?

Mna upeo mdogo sana kifikra, na thinking yenu ni ya kijima sana wakati Kanisa Katoliki lilishatoka huko.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Sijamaliza kusoma huu uchafu ila nimepigia mstari wewe ni shoga uliyekubuhu
 
Kwa hiyo huwezi kunionesha kosa la Papa unategemea kuambiwa na vyombo vya magharibi?!

Mnaona sifa kushikiwa akili, im not scared na thinking ya wajinga wa sampuli yako.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kisa la Papa ni kusema mapadri na maaskofu wawabariki mashoga.

Shoga endelea kushangilia
 
Papa mwenyewe anatakiwa atolewe mahari wahuni waweke ndani.
 
Sio siri tena tangu Papa na Vatican kutoa miongozo ya kuukumbatia ushoga, kwa sasa wakatoliki wengi wameanza kupoteza furaha, amani, ujasiri na ufahari wa kujivunia ukatoliki.

Papa na Vatican walianza kutoa kauli tata za kuona ushoga (kubadili jinsia nk) sio dhambi ya kukemewa na kanisa (yaani mashoga wavumiliwe na kutambuliwa kama sehemu ya waumini ndani ya kanisa katoliki), baadaye wakaja kutoa ruhusa mashoga kuwa wadhamini wa sacramenti za kikatoliki (Ubatizo, Komunio, ndoa) na sasa ruhusa kwa mashoga kubarikiwa! Mwelekeo unaotabiriwa kufuata ni kanisa katoliki kuanza kufungisha ndoa za mashoga na hitimisho ni kanisa katoliki kuja kuruhusu kuwa na makasisi mashoga.

Wengine walijaribu kutetea Kanisa Katoliki kwa kusema Papa na Vatican wamenukuliwa vibaya, lakini kadri muda ulivyokwenda hali imezidi kuwa wazi na mbaya kiasi cha watetezi wa Katoliki kuanza kusalimu amri.

Kwa sasa ukatoliki umewekwa kapu moja na harakati za kuukuza na kuulinda ushoga duniani.

Mwaka huu huenda ndio mwaka mbaya zaidi kwa waumini wa kikatoliki katika kujivunia imani yao. Upepo bado unavuma, mawimbi bado yanaibuka na chombo kimeanza kuyumba huku safari ikiwa imeshika kasi.
Mi na shukuru Mungu kuendelea kudhuhirisha kuwa hakuna dini iliyosahihi na yenye uwezo wa kupeleka Mtu kwa Mungu isipokua Imani na matendo mema ayafanyayo kwa kufuata mafunzo ya Yesu Kristo.
Ni Muda sasa wakatoriki wamekua wakijivunia Sana kanisa na sio Yesu Kristo aliemsingi wa Imani ya kristo. Wamekua tayari kutetea mapokeo yalio nje ya Neno kwa kigezo kuwa wao ni dini bora duniani.
Huu ndio muda watambue dini ni utaratibu tu unaokusaidia kujua Mungu ila haukupi uhakika wa kukufikisha kwake kama wewe binafsi hufanyi bidii ya kujua unaemwamini.
 
Na yalitokea hivi hivi kwa Anglikana, sijui iliiishia wapi
 
Hata Yesu Alitakiwa ajiuzulu na viongozi wa kidini wa Kiyahudi wakimwita rafiki wa makahaba na walevi. Wazima hawahitaji daktari,Bali wagonjwa ( mashoga) , Tena Yesu akasema, ukifanya wema kwa Wazuri tu (wasio na dhambi) hujafanya chochote kisicho Cha kawaida, hata wapagani hufanya wema kwa wanaowataka. Mashoga wasitengwe wahubiriwe wabadilike, kazi ya kuwatafuta wadhambi ndiyo aliyokuja nayo Kristo mpaka akalaumiwa kama anavyolaumiwa Papa kuwa ni rafiki wa makahaba na walevi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yesu hakubariki dhambi bali alikua anawaombea wenye dhambi waache dhambi zao , wamgeukie Mungu wa kweli. Ndio maana, alipopelekewa Mama mzinzi na watu waliotaka kumuua kwa mawe( kwa mujibu wa utamaduni wao wa wakati ule) , biblia inasema, aliwageukia makutano akawaambia, yeye asiye na dhambi na awe wa kwanza kumrushia jiwe mama yule( Mzinzi). Wale watu walipotawanyika, Yesu alimwambia yule mama Mzinzi " ENENDA USITENDE DHAMBI TENA". Mdhambi yeyote aliyekutana na Yesu hakubaki the same. Sasa Papa yeye anataka muungano wa mashoga( couple) ubarikiwe. Hii ni kinyume na Mafundisho ya Yesu.

@To serve and to love
 
9Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, 10 wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi. 11

Huko nyinyi mnafata mafundisho ya kanisa.

Mkristo mwama na anaefata mafundishao ya mwenyezi Mungu ni Muislam.
Muislam kawa Mkristo tena?hawa wanaochinja watu hawafuatiafundisho ya Yesu.Nyie pambaneni na dini yenu ya kwetu wakristo mtuachie mwamuzi ni Mungu
 
Vipi na mabwabwa walikuwepo parukiani kwako ili padri abariki mali zao?
Ama Padri alitoa tangazo la kuwaalika mabwabwa waje Parukiani kujumuika na wakatoliki wenzao?
Unaamini haya maneno yako yatanifanya nisimuamini Mungu muumba mbingunna dunia,Yesu Kristo,Roho Mtakatifu na Kanisa Moja Katoliki takatifu la mitume?La hasha.
Wakosefu wote wanakaribishwa kanisani ili wapate kutubu wakiwemo mabwabwa,wezi,wazinzi,wasengenyaji na hata wale wasiomuamini Mungu kama waislam
 
Hujashtuka kuwa hujapata hata like Moja? Kanisa katoliki haliwezi kuwa takatifu hata siku Moja!! Na kwa sasa kwa sababu umewakubari wanaofirana subiri jehanamu tu!! Hamna kitu hapo!!
Ukinionesha wakatoliki watano waliosilimu baada ya hili tamko la Papa nasilimu
 
Back
Top Bottom