Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

upotoshaji wa mwendokasi.
Acha uongo,

mkatoliki hana muda wa kubishana wala kupambana na yeyote kuhusu hilo linalopotoshwa...

Mafundisho yao ni ya kiroho na kisaikolijia zaidi...
papa kawaambia acheni ushamba, nenden na dunia ya leo ila bado tu mnashupaza shingo, maji yameshazidi unga mkuu, ni either mkubaliane na maelekezo ya vatican au muikane rc, tena papa alikuwa specific zaid kwa mapadre kuwa waache ushamba, sasa kama ruwaichi kaambiwa aache ushamba, we nani kwa mfano?
 
Ni kweli Wakatoliki tunapata shida sana kujipambanua na kauli za Pope Francis. Pope amelichafua Kanisa kubwa na kongwe duniani.

Wanaojaribu kumtetea wanazidi kuharibu, Pope AMEVURUNDA Big time. Lakini huyu siyo wa kwanza kuharibu kwa kuwa walikwishatokea wengine karne zilizopita. Huyu Pope Francis ni binadamu naye ana madhaifu yake, ila siyo madhaifu ya kanisa na imani.

Haya yatapita na tutasimama imara tena kama Kanisa Katoliki Takatifu la Mitume.

Tumsifu Yesu Kristu!!
 
Ukatoliki unaenda kufa kifo Cha mende!! Safi sana!!dhambi ya kuwaua mitume wa kristo inawatafuna .haiji Akilini makao makuu ya katoliki kuwa Roma nchi ya kishenzi iliyomuua Petro mtume mkuu wa ukristo
 
Hamna kitu, hilo dhehebu nililipotezea muda mrefu sana baada ya kuona wanaendekeza Sheria za kanisa zaidi kuliko biblia. Inshort ni matapeli wa miaka mingi.
upotoshaji wa mwendokasi.
Acha uongo,

mkatoliki hana muda wa kubishana wala kupambana na yeyote kuhusu hilo linalopotoshwa...

Mafundisho yao ni ya kiroho na kisaikolijia zaidi
 
Tunakubaliana na Papa 100% kadiri alivyoelekeza sio ulivyo elewa wewe usiehusika na ambae hujaelewa...
Na wala hakuna kubabaika wala kupepesa macho kwenye hilo....

Mshamba ni ambae kaelewa kama ulivyoelewa wewe unaetamani kua kama hao wenzie unaowatetea...
Hiyo chafu fanyeni huko huko sio kanisani
 
Hamna kitu, hilo dhehebu nililipotezea muda mrefu sana baada ya kuona wanaendekeza Sheria za kanisa zaidi kuliko biblia. Inshort ni matapeli wa miaka mingi.
zee la negativity kama kawa kama dawa 🀣🀣
 
Mambo ya ushoga ni ya kulaani kabisa na papa km yy ni shoga asituletee ushoga wake sisi maana yy si mtume wala nabii kutupangia nn wakristo tufanye maana hata siku ya hukumu ni mm peke yangu nitasimama kuhukumiwa.Ila cha ajabu waislam wanacheka sana na kuona sisi wakristo tumepotea ila kumbe ktk watu wanao ongoza kwa ushoga ni wao hata kwa kuwaingilia kinyume na maumbile wake zao.Mifano mizuri ni mikoa ya pwani yote huu upuuzi umejaa sana na kinara wao akiwa mombasa na zanzibar ila wanajifanya kama wao hilo swala haliwahusu wakati ndo washenz no moja.
 
basi sawa kama mnakubaliana na papa 100% kubariki mashoga, sisi ni akina nani tupinge, mbona ruwaichi kapinga kubariki mashoga lkn, ndo papa akamwambia aache ushamba, halafu hujasikia kuwa utekelezaji wa kubariki mashoga kanisani umeshaanza huko usa, au unijizima data?
 
Na inaaminika shetani ni shoga ndiyo maana alitimuliwa mbinguni kwani Mungu havumilii ushoga. Shetani ndiye mpinga Kristo hivyo hapo kweli naona hiyo connection ya Ukatoliki na ushoga.
😁😁😁 mkuu kwani mbinguni kuna sex hadi kuwe na ushoga. Mengine unataka kuyakuza na kuliangushia jumba bovu kanisa kwa hearsays
 
Comment ya kufungia uzi kabisaaa. [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Madhehebu flani wanaoona ukatholiki kama upinga kristu wamepata point 😁😁
Hata mimi ambaye siyo mpinga kristu nimepata point.
Kwani Kristu ni nani? Najua Kristo ni mwana wa Mungu, Yesu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…