MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Huyu fala matako sana, yaani unafukuzwa home, unapewa laki 9, unaondoka na gari, unashindia wali Maharagwe halafu anasemaa...anyways, acha nikubaliane naye, maana kila mtu kwa level yake, tatizo linabaki kuwa tatizo. Maana ndiyo linampatia bad experience, ndiyo linam challenge, ndiyo linamfanya aiine dunia chungu, ndiyo analopigana kwa nguvu zote kuindokana nalo, ndiyo linalomfanya ajihisi dunia imemtenga.Rapa namba mbili nchini amesema hamna wakati mbaya ambao hawezi kusahau maishani mwake Kama siku alipofukuzwa nyumbani kwao.
Amesema hayo alipokuwa akiongea na mtangazaji gwiji Jabir Saleh.
" Nilizinguana na mshua nilipomaliza form 4 ,baba akaniambia niondoke home, kwa hiyo nilichofanya nilichukua gari ya home, nikalilia kwa maza akanipa Kama laki 9 then nikaamsha, kwa miezi miwili mfululizo nilikuwa nalala kwenye gari nashindia wali maharage mtaani, life ilikuwa tafu Sana. Nashangaa madogo kwenye game wanajifanya Wana street cred halafu hawajawahi hata kuishi nje ya maskani kwa wiki moja,nawashangaa Sana".
Wakuu yapi maoni yenu.
Mafarisayo mmegoma๐Muongo bhna
Ndio uyo muongoMafarisayo mmegoma๐
Kama hamnaga vya kuongea bora mkae kimya.Nilizinguana na mshua nilipomaliza form 4 ,baba akaniambia niondoke home, kwa hiyo nilichofanya nilichukua gari ya home, nikalilia kwa maza akanipa Kama laki 9 then nikaamsha, kwa miezi miwili mfululizo nilikuwa nalala kwenye gari nashindia wali maharage mtaani, life ilikuwa tafu Sana.
Mungu awabariki sana.
Hatimaye Prof J Mungu amemponya.
Mtu wa Haki amtumainiye Bwana.
[emoji848][emoji1241]
Oya oya sana. Ndio maana hata wanawake wamegeuka kuwa strong kuliko waname.Yaani unafukuzwa home na hela na gari, dah wakishua aisee, huyu itakua walimlazimisha amalize chakula akasusa.
BTW, alikuja na ile Bigijii yake studio.
Mwenzako ame 'hustle' kwa 'kuteseka sana'.Kama hamnaga vya kuongea bora mkae kimya.
Vijana wa kitanzania wengi ni Oya oya sana.
Yaani unaondoka nyumbani na gari? Plus Laki 9 cash? Then unaenda media kulalamika eti ulipata msoto?
Khaa!!!
Nimeboreka sana na hii stori yako kama ni ya kweli.
Harafu vijana wanawasikiliza watu kama hawa ndio wawe Role model wao??๐ ๐ ๐
MToto wa tajiri akishindia mihogo wiki nzima atasimulia hadi wajukuuRapa namba mbili nchini amesema hamna wakati mbaya ambao hawezi kusahau maishani mwake Kama siku alipofukuzwa nyumbani kwao.
Amesema hayo alipokuwa akiongea na mtangazaji gwiji Jabir Saleh.
" Nilizinguana na mshua nilipomaliza form 4 ,baba akaniambia niondoke home, kwa hiyo nilichofanya nilichukua gari ya home, nikalilia kwa maza akanipa Kama laki 9 then nikaamsha, kwa miezi miwili mfululizo nilikuwa nalala kwenye gari nashindia wali maharage mtaani, life ilikuwa tafu Sana.
Nashangaa madogo kwenye game wanajifanya Wana street cred halafu hawajawahi hata kuishi nje ya maskani kwa wiki moja,nawashangaa Sana".
Wakuu yapi maoni yenu.