Wakazi: Niliwahi kulala kwenye gari miezi miwili baada ya kufukuzwa home

Jamaa yaan umeondoka home na lak 9 in two Month equivalent to 15k per day na huku una gari la baba,na bado unaeeza kuomba hela kwa ndgu na jamaa ,alaf unajifanya kuwa umelala njee ya home,daah wakishua bhana,wenzako ndio wamepga msoto wa kutoshaa
Huyo jamaa wakati wa interview alikuwa sawa kweli?
 
Wakazi bwana, eti mshua kazingua, kalilia maza kapewa gari la nyumbani na laki tisa, akaona maisha tough.

Anajua hiyo laki tisa watu walikuwa wanaitafuta mwaka mzima hawaipati, na hawana gari wala nyumba!
 
Jamaa yaan umeondoka home na lak 9 in two Month equivalent to 15k per day na huku una gari la baba,na bado unaeeza kuomba hela kwa ndgu na jamaa ,alaf unajifanya kuwa umelala njee ya home,daah wakishua bhana,wenzako ndio wamepga msoto wa kutoshaa
Ndo hapo, Ay, konde boy, marioo, dogo janja, mond, sugu, makini, baba tunda wasemeje sijui?
 
Rapa namba 2 mujibu wa nani?
 
Ujinga huu, na mjinga ndo anaamini huu ujinga.
 
Saa ndio nini. Amepewa laki 9 na gari juu kaondoka nalo.
Watu wanaondoka hata mia mbovu hawana.
Huyu ni sawa na watoto wa kishua wanaosema wameteseka sana kwa kunywa chai ya rangi. Si bora yeye alikuwa analala kwa gari. Watu wanalala stand tu daily
 
Ni sawa na Donald Trump, eti nimefanya kila kitu mimi mwenyewe. Babaangu alinipa dola milioni moja tu. And I was like what?
Yani kibongo bongo utoke nyumbani ukiwa umepewa 2.5B halafu useme kila kitu umefanya mwenyewe. Yani kupewa 2.5B ni sawa sawa ushakula handicap ya 5+ dhidi ya maisha. Yani mnaanza game na maisha wewe ukiwa na goli 5 maisha 0.

Hata uwe kilaza kiasi gani ku generate hela ukiwa na hilo fuba its just a matter of decision tu. Mambo ya kufanya kwa 10-20M yapo mengi mno which is just a peanut kwenye huo mtonyo.

Kuna room kubwa ya trial and error na uwezekano wa kulost ni minimalistic sana.
 
Jamaa yaan umeondoka home na lak 9 in two Month equivalent to 15k per day na huku una gari la baba,na bado unaeeza kuomba hela kwa ndgu na jamaa ,alaf unajifanya kuwa umelala njee ya home,daah wakishua bhana,wenzako ndio wamepga msoto wa kutoshaa
Hajui kuwa kwa wenzake maisha hayo ndio mtu katoboa hivyo
 
Tena llinasema wakati huo limemaliza form 4. Yan likapewa 900k na gari juu! huu ni uongo usio fanana na kweli!

Anyways, alitaka tujue kuwa yeye ni wa kishua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…