Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Haya matoto ya matajiri tunayaheshimu kwa kuwa yana hela tu ila ni majinga.Ni sawa na Donald Trump, eti nimefanya kila kitu mimi mwenyewe. Babaangu alinipa dola milioni moja tu. And I was like what?
Mmeshangaaa saña ujue[emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] mshahara wa MTU wa miezi mitatu minne kabisaa hukoooJamaa yaan umeondoka home na lak 9 in two Month equivalent to 15k per day na huku una gari la baba,na bado unaeeza kuomba hela kwa ndgu na jamaa ,alaf unajifanya kuwa umelala njee ya home,daah wakishua bhana,wenzako ndio wamepga msoto wa kutoshaa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] anaona ndogooo kaaahNi sawa na Donald Trump, eti nimefanya kila kitu mimi mwenyewe. Babaangu alinipa dola milioni moja tu. And I was like what?
Eti!!, na form 4 kamaliza!!Yaani unafukuzwa home na hela na gari, dah wakishua aisee, huyu itakua walimlazimisha amalize chakula akasusa.
BTW, alikuja na ile Bigijii yake studio.
Umeongea kweliLiongo hilo jamaa. Anataka kuiga story za mastaa wa marekani kusema kuwa wamelala kwenye gari.
Kibongo bongo haiingii akilini ulale ndani ya gari huku ukiwa na laki 9 mfukoni.
Halafu mzazi gani kibongo bongo anakufukuza na anakupa na gari kabisa.
Lingetafuta uongo mwingine ili aonekane kapigika sio huo uongo wa maigizo yasio na uhalisia.
Unakula wali maharage halafu unalalamika? Una 900k plus gari, ...natamani kujua huyu kichaa anatokea familia gani?View attachment 2712878
Wakazi
Rapa namba mbili nchini amesema hamna wakati mbaya ambao hawezi kusahau maishani mwake Kama siku alipofukuzwa nyumbani kwao.
Amesema hayo alipokuwa akiongea na mtangazaji gwiji Jabir Saleh.
" Nilizinguana na mshua nilipomaliza form 4, baba akaniambia niondoke home, kwa hiyo nilichofanya nilichukua gari ya home, nikalilia kwa maza akanipa Kama laki 9 then nikaamsha, kwa miezi miwili mfululizo nilikuwa nalala kwenye gari nashindia wali maharage mtaani, life ilikuwa tafu Sana.
Nashangaa madogo kwenye game wanajifanya Wana street cred halafu hawajawahi hata kuishi nje ya maskani kwa wiki moja,nawashangaa Sana".
Wakuu yapi maoni yenu.
Ndio hapo watu tumeuza Big G na karanga stendi tuna miaka 10+ mpk kufika 14 mtu unajua kila kitu hata mtu mzima hawezi.Saa ndio nini. Amepewa laki 9 na gari juu kaondoka nalo.
Watu wanaondoka hata mia mbovu hawana.
Huyu ni sawa na watoto wa kishua wanaosema wameteseka sana kwa kunywa chai ya rangi. Si bora yeye alikuwa analala kwa gari. Watu wanalala stand tu daily
Ukumbuke wakazi kweli ni wakishua hasa, huyo ni mtoto wa steven wasira kigogo wa CCM na waziri miaka mingiLiongo hilo jamaa. Anataka kuiga story za mastaa wa Marekani kusema kuwa wamelala kwenye gari.
Kibongo bongo haiingii akilini ulale ndani ya gari huku ukiwa na laki 9 mfukoni.
Halafu mzazi gani kibongo bongo anakufukuza na anakupa na gari kabisa.
Lingetafuta uongo mwingine ili aonekane kapigika sio huo uongo wa maigizo yasio na uhalisia.
Hayuko siriaz na Maisha huyu.!Jamaa yaani umeondoka home na laki 9 in two Month equivalent to 15k per day na huku una gari la baba, na bado unaeeza kuomba hela kwa ndugu na jamaa, halafu unajifanya kuwa umelala njee ya home, daah wakishua bhana, wenzako ndio wamepiga msoto wa kutoshaa
Na hapo ukumbuke laki9 ya mwaka 2010 kushuka chini ni sawa na million 5 ha9 kwa sasa, miaka hiyo Madaktari wa Muhimbili wanagoma walikuwa wanalipwa laki 3 Walimu Akianza kazi shule ya Msingi analipwa 144,000/, Sahani ya ubwabwa kwa Mama lishe ilikuwa 5,00/ chipsi yai ilikuwa 7,00/ Soda zilikuwa 300/ Grand malta 500/ nauli kutoka Mwanza hadi Dar ni 20,000 saizi ni 65,000 hadi 120,000/ bajeti ya nchi ilikuwa Trilioni 10 leo ni Trillioni 40+ na baadhi ya Wizara bajeti yake ya Mwaka ilikuwa haifiki hata billioni 5,Tajiri wa kwanza Duniani alikuwa na $40 billioni tu wakati saiz ana $200+billioniJamaa wa kishua, halafu anabeza jitihada binafsi za akina Mond. Hakuna msoto hapo, mtu una laki 9 halafu vilevile unalala kwenye gari... unasema umesota?
Aache kuigiza.
View attachment 2712878
Wakazi
Rapa namba mbili nchini amesema hamna wakati mbaya ambao hawezi kusahau maishani mwake Kama siku alipofukuzwa nyumbani kwao.
Amesema hayo alipokuwa akiongea na mtangazaji gwiji Jabir Saleh.
" Nilizinguana na mshua nilipomaliza form 4, baba akaniambia niondoke home, kwa hiyo nilichofanya nilichukua gari ya home, nikalilia kwa maza akanipa Kama laki 9 then nikaamsha, kwa miezi miwili mfululizo nilikuwa nalala kwenye gari nashindia wali maharage mtaani, life ilikuwa tafu Sana.
Nashangaa madogo kwenye game wanajifanya Wana street cred halafu hawajawahi hata kuishi nje ya maskani kwa wiki moja,nawashangaa Sana".
Wakuu yapi maoni yenu.
Haa HaaMimi nilikuwa silali