PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Maji ni kero kubwa aisee,ukanda wa tegeta,ununio, kunduchi,patupu inaenda mwezi sasaCHADEMA wajanja sana wameshirikiana na jua pamoja wanaharakati kutoka nje kukukasha vyanzo vya maji ili ionekane mama hapendwi ila UVCCM😂
Haiwezezekani wazungu watuonee wivu Kwa rasilimali zetu Hadi watutengenezee mgao wa maji , Sisi kama watanzania tuungane Kwa pamoja ili kuwakataa hawa wanaotuchonganisha hiki ndicho kipindi cha viongozi wa dini Kwa pamoja kutoa kauli juu ya Hali hii ya mgao wa maji.
View attachment 3515421 ni View attachment 3515422
Ukweli hujitenga na uongo.Hivi kwa nini lawama hapewi tena Bwana Hayati kuwa ujenzi wa lile bwawa ndiyo chanzo cha huu mgao!!
CHADEMA wajanja sana wameshirikiana na jua pamoja wanaharakati kutoka nje kukukasha vyanzo vya maji ili ionekane mama hapendwi ila UVCCM😂
Haiwezezekani wazungu watuonee wivu Kwa rasilimali zetu Hadi watutengenezee mgao wa maji , Sisi kama watanzania tuungane Kwa pamoja ili kuwakataa hawa wanaotuchonganisha hiki ndicho kipindi cha viongozi wa dini Kwa pamoja kutoa kauli juu ya Hali hii ya mgao wa maji.
View attachment 3515421View attachment 3515422
Hivi hawawezi kuyazuia haya maji yanayoenda baharini kama Mto Rufiji,wafanye kama walivyofanya kwenye kujenga Bwawa la umeme halafu haya maji yaelekezwe Daresalam?CHADEMA wajanja sana wameshirikiana na jua pamoja wanaharakati kutoka nje kukukasha vyanzo vya maji ili ionekane mama hapendwi ila UVCCM😂
Haiwezezekani wazungu watuonee wivu Kwa rasilimali zetu Hadi watutengenezee mgao wa maji , Sisi kama watanzania tuungane Kwa pamoja ili kuwakataa hawa wanaotuchonganisha hiki ndicho kipindi cha viongozi wa dini Kwa pamoja kutoa kauli juu ya Hali hii ya mgao wa maji.
View attachment 3515421View attachment 3515422
Hadi apatikane RAISI mzalendoHivi hawawezi kuyazuia haya maji yanayoenda baharini kama Mto Rufiji,wafanye kama walivyofanya kwenye kujenga Bwawa la umeme halafu haya maji yaelekezwe Daresalam?
CHADEMA wajanja sana wameshirikiana na jua pamoja wanaharakati kutoka nje kukukasha vyanzo vya maji ili ionekane mama hapendwi ila UVCCM😂CHADEMA wajanja sana wameshirikiana na jua pamoja wanaharakati kutoka nje kukukasha vyanzo vya maji ili ionekane mama hapendwi ila UVCCM😂
Haiwezezekani wazungu watuonee wivu Kwa rasilimali zetu Hadi watutengenezee mgao wa maji, Sisi kama watanzania tuungane kwa pamoja ili kuwakataa hawa wanaotuchonganisha hiki ndicho kipindi cha viongozi wa dini Kwa pamoja kutoa kauli juu ya Hali hii ya mgao wa maji.
View attachment 3515421View attachment 3515422
Kitambo sana bonde la mto kide kuna kinyesi cha kutosha nimeishi ubungo kibangu mwishoni mwa miaka ya tisiniHivi kwa nini lawama hapewi tena Bwana Hayati kuwa ujenzi wa lile bwawa ndiyo chanzo cha huu mgao!!
Dah,CHADEMA wajanja sana wameshirikiana na jua pamoja wanaharakati kutoka nje kukukasha vyanzo vya maji ili ionekane mama hapendwi ila UVCCM😂
Na mfadhili ni ford foundation!View attachment 3515516
Maza ni tapeli sanaaCHADEMA wajanja sana wameshirikiana na jua pamoja wanaharakati kutoka nje kukukasha vyanzo vya maji ili ionekane mama hapendwi ila UVCCM😂
Na mfadhili ni ford foundation!View attachment 3515516