Mbinu hizo za green guard wa sisiem sio jeshi letu,wanaua, ,wanachoma nyumba za kutosha moto na magari Kisha taratibu wanaondoka na mateka wao....unajuwa mbinu za kijesh za kumteka adui...Je ulikuwepo na unauhakika hawakuenda kweny tukio...?
Uwo Usalama unaitajika leo tu na sio siku zote?
Umbwa ni huyo mnae mtumikia, na nyie wote JWTZ, POLISI, TISS na utopolo mwingine! Mmeharibu nchi imejaa chuki kwa upumbavu wenu wa kumlinda kiongozi mwendawazimu!Inaonekana hujielewi we Mbwa kbhxa..." Mimi Sina chama ila umeandika ujinga mtu...
Kinachomwingiza kiongoz wako ikulu ni kura yako si hao CCM sijui , JWTz., Mara sijui Bibi ako kawaje ... Be logic acha upoporo dingi..:
Halafu ndio wanaoongoza kuwa na shida hadi makalioni.Vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania vimejigeuza chama cha mapinduzi! CCM wenyewe wametulia tuli wamewaachia hao JWTZ,TISS, POLISI, na maafisa wengine wa serikali wakiipigania CCM iingie madarakani!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].....sisi wenyewe wendawazimu ..."...Kama ulikuwa hujui.[emoji3]Umbwa ni huyo mnae mtumikia, na nyie wote JWTZ, POLISI, TISS na utopolo mwingine! Mmeharibu nchi imejaa chuki kwa upumbavu wenu wa kumlinda kiongozi mwendawazimu!
Ndio Maana jamii forum inapigwa Vita na Mamlaka kwa Mambo ya kijinga kama hayaNjia ya Mwenge hadi Lugalo kama unaelekea Tanki Bovu kuna wanajeshi wenye silaha wanasimamisha magari usiku huu na kuhoji watu wametoka wapi, wanaenda wapi.
Wakikuona umekunywa pombe wanakuzingua! Yaani kuna road blocks kabisa.
Ukiweza, pita barabara nyingine mbadala kuepuka usumbufu.
Mlichopanga kufanya kimekwama! Hongereni majeshi ytu,Vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania vimejigeuza chama cha mapinduzi! CCM wenyewe wametulia tuli wamewaachia hao JWTZ,TISS, POLISI, na maafisa wengine wa serikali wakiipigania CCM iingie madarakani!
Ndio...Mkuuu"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38] lengo nikukere Ani" nanga wew[emoji1787]Mbinu hizo za green guard wa sisiem sio jeshi letu,wanaua, ,wanachoma nyumba za kutosha moto na magari Kisha taratibu wanaondoka na mateka wao.
Wanawake na watotochini ya miaka 10 wametekwa afu mnawamrisha kufanya kazi za polisijamii bila professional yao
Wajinga kamabmtoa mada wako wengi sana jf.Wana usalama wapo kwa ajili yetu, wanalinda amani raia na mali zao, hivyo haina haja ya kupost mambo ya kutishana labda uwe ni muhalifu
Nimepita maeneo hayo, nilipowaona tumesalimiana na nimefarijika kuona amani imetamalaki.
Tupunguze kiwango cha ujinga ktk akili zetu.
Na NaniNchi ipo vitani?
Mabeberu, vita ya kiuchumiNa Nani
Haki ya kwenda popote, muda wowote ili mradi huvunji Sheria imeshavunjwa. Nipo kituoni, nitapiga kura ya haki kwa mtetezi wa hakiJiji zima usiku wa leo limetawaliwa na hao watu, hakuna uhuru na amani kabisa.
Vita Ya Uchumi Ni Mbaya Sana πππ ππMabeberu, vita ya kiuchumi
Kaka mimi naumia sana kuona aina hizi za Mada humu, Sometimes machoz yananilenga kabisa sio utani, watu hatuna uzalendo kabisa, watu wanapotea....Wajinga kamabmtoa mada wako wengi sana jf.
Umeshindwa kutumia japo asilimia ndogo tu ya uwezo wako wa kufikiri mkuu. Ulitaka vyombo vya ulinzi na usalama vilale na kukoroma kama wewe? Sijui huwa mnawaza kupitia viungo gani vya mwili...Jiji zima usiku wa leo limetawaliwa na hao watu, hakuna uhuru na amani kabisa.
Si wangeenda MtwaraWana usalama wapo kwa ajili yetu, wanalinda amani raia na mali zao, hivyo haina haja ya kupost mambo ya kutishana labda uwe ni muhalifu
Nimepita maeneo hayo, nilipowaona tumesalimiana na nimefarijika kuona amani imetamalaki.
Tupunguze kiwango cha ujinga ktk akili zetu.
siku zote walikuwa wapi?Umeshindwa kutumia japo asilimia ndogo tu ya uwezo wako wa kufikiri mkuu. Ulitaka vyombo vya ulinzi na usalama vilale na kukoroma kama wewe? Sijui huwa mnawaza kupitia viungo gani vya mwili...
Siku zote ni sawa? Unadhani leo siku ya uchaguzi ni sawa na siku zingine za kawaida?siku zote walikuwa wapi?
Siku zote wanakuwepo sehem nyingine za nchi ila wameongezeka kuimalisha ulinzi wa Nchi ikiwemo wewe na Mama yakosiku zote walikuwa wapi?
Wakiona umekunywa pombe wanakuzingua kwa hiyo tukapite njia m-badala na pombe zetu vichwaniWakikuona umekunywa pombe wanakuzingua! Yaani kuna road blocks kabisa.
Ukiweza, pita barabara nyingine mbadala kuepuka usumbufu.