Sasa unawaambia watu wananchi wasipite kivukoni bila toa sababu kuna nini. Au unalako jambo.Kwa mkazi wa Kigamboni ambaye una ratiba ya kwenda mjini nakushauri tu pitia darajani kwa leo
Pameshazingua tena? Niko Mjimwema hapa ngoja nigeuzeKwa mkazi wa Kigamboni ambaye una ratiba ya kwenda mjini nakushauri tu pitia darajani kwa leo
TAMESA wanakula pesa za bure tu pale. Kazi ya huduma imewashinda na wakazi wa kigamboni walivyokuwa wapole kama mapdri wa seminari wananyanyasika sana pale kivukoni ferry. Lile pantoni hatua zisipochukuliwa ipo siku bendera itapepea nusu mlingoti.Nafika pale naliona pantoni lipo kati aliendi mbele wala halirudi nyuma na lina abiria na magari
vivoko vya azam hakuna?Samahani, pantoni limeganda kati aliendi mbele wa kurudi nyuma na lina abiria na huku kuna watu wamejazana wanalisubiri na ni mda mrefu sana
Lilikua limesahau njia. nadhani sahizi litakua limesha elekezwa.Nafika pale naliona pantoni lipo kati aliendi mbele wala halirudi nyuma na lina abiria na magari
Nipo katika watu ambao unasema wamejazanaAcha masihara yako
Hivi hakuna uwezekano wa kujenga daraja linalofunguka kama geti. Kwa mfano meli ikiwa inakuja daraja linafunguliwa. Pakiwa shwari daraja linatumika kama kawaidaTAMESA wanakula pesa za bure tu pale. Kazi ya huduma imewashinda na wakazi wa kigamboni walivyokuwa wapole kama mapdri wa seminari wananyanyasika sana pale kivukoni ferry. Lile pantoni hatua zisipochukuliwa ipo siku bendera itapepea nusu mlingoti.
kwani vivuko sea tax za azam si zipo au zimeondolewa.?Samahani, pantoni limeganda kati aliendi mbele wa kurudi nyuma na lina abiria na huku kuna watu wamejazana wanalisubiri na ni mda mrefu sana