Wakazi wa Kigamboni nawashauri usipite Kivukoni, pitia Darajani

Samahani, pantoni limeganda kati aliendi mbele wa kurudi nyuma na lina abiria na huku kuna watu wamejazana wanalisubiri na ni mda mrefu sana
Poleni sana wanakigamboni
 
Taarifa isiyokamilika uandishi wa kijinga kabisa

Toa sababu nata mzinga we mtoa post
Kwa kifupi ni kua mtandao wa N card ulikua unasumbua,yaani ulikua hausomi kabisa, Muwekezaji Azam akakataa kutoa huduma bure na ndiyo maana pantoni likaelemewa na watu,maana wao Temesa walikua wanaendelea kutoa huduma bure!!
 
Hatari sana
 
Mbunge ajae wa Kigamboni aje pamoja na ajenda ya kuleta suluhisho la hizi kero kwa watu wa huko ama sivyo hapewi kura.
Mbunge hana hoja yule ni msemaji wenu, pia pesa hana. Kazi ni namna gani mnaweka dola inayojari. Nrne
 
Kama unavyodhani mbunge hana hoja hayo ni mawazo yako, na napaswa kuheshimu mawazo yako, lakini tutachagua viongozi kama kawaida, watu wachache hawawezi kuzuia uchaguzi na kwa wakazi wa Kigamboni watapata suluhisho la vivuko ni swala la muda tu.
 
Huo muda ukifika mtakua hoi,
 
Huo muda ukifika mtakua hoi,
Uzuri wa siasa ni kama michezo ya kuigiza, kuna watu wanaona ni ukweli na kuna watu wanajua hapa ni maneno tu, usichukulie serious sana katika haya mambo, just take it easy.
Fanya jambo la kuendesha gurudumu la taifa mbele.
Hii ni nchi ya kila mtanzania hivi vyama visitugeuze tukawa mahasimu wa kisiasa, tunachotaka ni maendeleo na kuondokana na tatizo la kuvuka pale Ferry.
 
Mbunge ajae wa Kigamboni aje pamoja na ajenda ya kuleta suluhisho la hizi kero kwa watu wa huko ama sivyo hapewi kura.
Bado unategemea kura yako kukupatia kiongozi umtakae? Hivi bado kuna watanzania wanaamini kura zao zina thamani? I wonder!
 
Back
Top Bottom