Nafikiri huo ndio ulikuwa mpango wa kwanza kujenga daraja linalofunguka ila baadae wakaghairi likajengwa daraja la mwalimu Nyerere. Pale pamebaki kwa ajili ya chakula cha watu waishi vizuri mjini.Hivi hakuna uwezekano wa kujenga daraja linalofunguka kama geti. Kwa mfano meli ikiwa inakuja daraja linafunguliwa. Pakiwa shwari daraja linatumika kama kawaida
Gari natolea wapi mkuu... Unajua nimetokeq mikadi kwa mguu mpaka hapa just imagine hata bajaji nimeshindwa kupandaKumbe na wewe hauna gari kama mimi humu?
kama sina gari siruhusiwi kutumia vya azam?Hili tangazo linawahusu pia na wenye magari
hii nchi matatizo mengi tunajitakia tu..kwani mabilioni na matrilion wanayokopa kila leo yanaishia wapi.? kwani hapo zinahitajija billion ngapi kununua vivuko vipya japo viwili tu.kinashindikana nini maana ni kuamua tu ndani ya mwezi tu mwendokasi na vivuko kigamboni kero zinabaki historia lakini wafanya maamuzi wako bize kuiba kwa ajili ya matumbo yao na vizazi vyao..tatizo la afrika uongozi ni ulaji na kutafuta utajiri binfsi na sio kuwatumikia wananchiTAMESA wanakula pesa za bure tu pale. Kazi ya huduma imewashinda na wakazi wa kigamboni walivyokuwa wapole kama mapdri wa seminari wananyanyasika sana pale kivukoni ferry. Lile pantoni hatua zisipochukuliwa ipo siku bendera itapepea nusu mlingoti.
We jombaa umeenda lini kigamboni na ant Dorry anakaa mbagala?Vya azam nauli imepanda gafla imefika elfu mbili
Si kuna boti ya aZam hapo...! Tatizo ni nini?Kwa mkazi wa Kigamboni ambaye una ratiba ya kwenda mjini nakushauri tu pitia darajani kwa leo
Ahahahaha nimekuja kwa mama mdogo..We jombaa umeenda lini kigamboni na ant Dorry anakaa mbagala?
Anhaa sawa kwahiyo vipi niuzie mzeeAhahahaha nimekuja kwa mama mdogo..
Mama alisema nende kuchukua friji
Mbunge ajae wa Kigamboni aje pamoja na ajenda ya kuleta suluhisho la hizi kero kwa watu wa huko ama sivyo hapewi kura.Hivi pale kuna nini haswa ambacho serikali wanang'ang'ania wakati panawashinda kuendesha? Kwa nini wasimuachie Bakhresa au mtu mwingine binafsi?
Nilikuwa na haraka ila wakazi wengi wa Kigamboni wakiona taarifa kama hii moja kwa moja wanajua kuwa pantoni linazingua hakuna shida ingine ndomana nikasema pitia darajani ila nisamehe mkuuTaarifa isiyokamilika uandishi wa kijinga kabisa
Toa sababu nata mzinga we mtoa post
Weww una wazimh et. 😂😂😂😂Anhaa sawa kwahiyo vipi niuzie mzee
Niuzie mzee, sina friji mimi.Weww una wazimh et. 😂😂😂😂
Andaa laki tatuNiuzie mzee, sina friji mimi.
Yaani maji baridi mpaka kwa mangi asiee
Nina laki unusuAndaa laki tatu