Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Vipi kuhusu nyama imegawiwa kwa wakaazi?
Inatisha inawezekana mambo ya numba na ngaye za uchaguzi,huyo nyati sijui ametoka pori gani la akiba bila kuonekana,pori la karibu ni saadani ,sasa kutoka saadani hadi madale ina maana hapa kati kati hakuna aliyemuona? Na mara nyingi nyati hutembea kwa makundi possible bado kuna nyati wengine ukanda wa Madale.Da! Bado kuna wanyama pori DSM? Au ndio ndagu za uchaguzi
Yes Simba yupo madale.Hapo madale si kuna mtu anaitwa simba nae pia yupo tena kajenga hapo 🤦🤪🏃
Vipi kuhusu nyama imegawiwa kwa wakaazi?
Duuuuh miaka ya 80 si hadi simba walikuwepo hapo? Maana mpaka sasa bado hapajachangamka.Miaka ya themanini nyuma ya kiwanda cha saruji Wazo hill kulipokuwa na basketball uwanja wa mpira kulikuwa na pori kubwa hadi kwa Mzee kiwiya. Tulikuwa wadogo Nakumbuka tukiona paa sungura ngedere. Nilisikia kulikuwa na Chui pia. Ila binadamu waaribifu wamefyeka mapori yoyote.
Wanakimbia kitoweo!!!!Wakazi wa mtaa wa Madale jijini Dar es salaam wakumbwa na taharuki na wengine kukimbia makazi yao baada ya kuvamiwa na nyati ambaye hakujulikana alipotoka na kujeruhi watu na baadhi ya mifugo kabla ya kikosi cha polisi Ant-Robbery cha Mabwepande kufika na kumdhibiti kwa risasi.
Nyati huyo inadaiwa katoea mto Nyakasangwe na kuingia mitaa Madale majira ya asubuhi ambapo Kiongozi wa kikosi cha Ant-robbery kilichotoka Mabwepande Constebo Sixberto Salakana amesema wamekabiliana na nyati huyo bila kusababisha madhara yoyote kwa wakazi na kufanikiwa kumlenga risasi ya kichwa mnyama huyo.
Wanaume wa Dar mnalubali vipi mboga ilete taharuki namna hii?
Wakazi wa mtaa wa Madale jijini Dar es salaam wakumbwa na taharuki na wengine kukimbia makazi yao baada ya kuvamiwa na nyati ambaye hakujulikana alipotoka na kujeruhi watu na baadhi ya mifugo kabla ya kikosi cha polisi Ant-Robbery cha Mabwepande kufika na kumdhibiti kwa risasi.