Wakazi wa Madale wapatwa na taharuki baada ya kuvamiwa na Nyati wa Porini

Nimekula sana swala chinichini hapo,kuanzia pale baobab secondary hadi chini ya wazo hill palikuwa kichaka baadaye wakaja wahuni na kuanza kuchimba mchanga pale vikawe na pori likayeyuka,sijui pakoje sasa hivi?
 
Hiyo ni mboga bana kwanza ingekua huku kweli maliasili wangekuja kujua baada ya wiki mbili
 
Hayo maeneo sasa hivi town na hapo kwa Kiwia kuna sheli inajengwa
 
Ninesikitika sana kuuwawa kwa huyo mnyama, nadhani wataalamu wetu wako dhaifu sana kukabiliana na wanyama.


Kweli kabisa, sisi kuua ndiyo suluhisho.

Waliposhindwa hoja za kisiasa wakamminia risasi 38,. Mungu si kinjekitile, sasa anapeta.🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nilivyoona tu kuna Mnyama Pori kaonekana nikajua ufumbuzi pekee walionao Watu wetu ni kumuua.

Hivi hawa Maofisa wa Wanyama Pori huwa hawana kabisa mafunzo ya kukamata Wanyama walioingia kwenye makazi ya Watu?. yaani kuua iwe ni hatua ya mwisho?.
 
... Constebo Sixberto Salakana amesema wamekabiliana na nyati huyo bila kusababisha madhara yoyote kwa wakazi na kufanikiwa kumlenga risasi ya kichwa mnyama huyo.
Sasa si watakuwa wamefanya ujangiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…