Wakazi wa Madale wapatwa na taharuki baada ya kuvamiwa na Nyati wa Porini

Swali langu ni kwa nini wamemuua Hugo nyati?
Kigwangwala alikuwa hataki hata nyoka auwawe.
Hawa askari wanyama pori wanafundiswa kuua moja kwa moja hawqna mbinu nyingine?
 
Huwa wanapigwa sindano za kuwatuliza (trangulizers) na ujeuri wote unakata, kwani wanatibiwa vipi?
mkuu nyati ashaingia mtaani taharuki imetanda na ni makazi ya waru kama unajua madale ni maeneo ya flamingo iyo sindano mpaka ije si angeleta balaa
 
Naunga mkono hili, hakukuwa na sababu ya kumuua huyo nyati.
 
mkuu nyati ashaingia mtaani taharuki imetanda na ni makazi ya waru kama unajua madale ni maeneo ya flamingo iyo sindano mpaka ije si angeleta balaa
Kama waliweza kuita kikosi cha Anti robbery squad, kuwaita hao ingekuwa na shida gani?
 
DSm bado kuna watu wanafuga mapori makubwa kama mbuga za wanyama, niwakati sasa kampeni ya kuondoa mapori dsm.
Hayo mapori ndio mazuli Mzee ni katalogi hiyo
ni bora uone mapori kuliko kuona slums
 
Swali langu ni kwa nini wamemuua Hugo nyati?
Kigwangwala alikuwa hataki hata nyoka auwawe.
Hawa askari wanyama pori wanafundiswa kuua moja kwa moja hawqna mbinu nyingine?
Mkuu una ajenda gan? kwan hujui kule ndo makaz ya kudumu ya myuzishan nguli daimond platnamz kiongoz mkuu wa wasafi classic
 
Pole sana I feel your pain...
 
Jamaa wamepoteza resource kubwa sana na hawajui!! hata mawasiliano ya haraka ya mamlaka husika hawana!!?ie anti robbery squad na idara ya wanyama pori?
wanataka kutuambia idara ya wanyamapoli hawana sindano za usingizi kwa wanyama!?
 
alitokea kicheche watu wakasema ni tiger[emoji197][emoji197][emoji38][emoji38][emoji38]

wakataka kuhama mkoa kabisa.
Kweli hata mimi sijakubali kama yule alikuwa ni chui,alikuwa kicheche au paka pori.
 
Upo sahihi kabisa mkuu,na Mara watu wanapozua taharuki, kelele huwa zinamvuruga mnyama pori maana mazingira hayo Ni mageni kwake
 
Pale wanapakana na mapori yanayokutana na yale ya Bagamoyo ya Mbuga/Hifadhi ya Wanyama ya Saadan.
 
Dar bwana, nyati wanamwitia ant robbery....ka rob wapi!?
mkoani huyo tungemrudisha msituni kwa fimbo tu.
 
Kuna mshikaji kakomaa na risasi ya usingizi humu. Yaani nyati yuko katika position ya kuua watoto, wanafunzi, wenda kwa miguu watu wawe wanasubiri risasi ya usingizi kuokoa nyati mmoja !Yaani jamaa anathamini maisha ya nyati jike mmoja kuliko binadamu mwenzake!
 
Dar bwana, nyati wanamwitia ant robbery....ka rob wapi!?
mkoani huyo tungemrudisha msituni kwa fimbo tu.
Mkuu kunywa maji kubwa moja hapo kwa mangi nitalipa..sasa wakazi wanaoishi mipakani mwa mapori na hifadhi watasemaje maana kila siku wanapishana na wanyama hakuna anaemdhuru mwenzake na mnyama akifanya fujo anaandikwa viboko tua anatii na kurejea zake huko maporini.eti wanamwitia mnyama kama huyo kikosi cha kupambana na majambazi kweli ni aibu sana kwa watu wa mali asili.taifa linatumia garama kubwa kuwahifadhi hawa wanyama wao wanapiga risasi
 
Wacha umbulula wewe
 
Kama kuna 'nyati wa porini', ''wa mjini'' anaonekanaje kama kweli yup?
 
Kweli hata mimi sijakubali kama yule alikuwa ni chui,alikuwa kicheche au paka pori.

Inaweza kuwa alikuwa serval cat.....wahuni humuuza kama chui......just incase chui hakuonekana.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…