Wakazi wa Madale wapatwa na taharuki baada ya kuvamiwa na Nyati wa Porini

Wakazi wa Madale wapatwa na taharuki baada ya kuvamiwa na Nyati wa Porini

Inakuwaje Anti- robbery unit itumike? Mali asili walikuwa wapi? Huyo mnyama si jambazi na hakupaswa kupigwa risasi. Ni utaalamu wa Mali asili ungetumika na kumrudisha anakostahili. Hili ni doa jingine kubwa. Tunasomesha wataalamu wasiotumika wanapohitajika.
Kuna mahali pia maliasili huwa inabidi waue ili kuzuia madhara kwa binadamu, ukizingatia kama pia pori liko mbali ili kumfikisha hainaga shida wanaua wanagawana nyama kama ni wa kuliwa, kama sio wanachukua nyara zao muhimu
 
Mkuu mbona nyama wananchi wamekula huku mtaani,sema mapaja ndio wameondoka nayo mali asili,na kuna mama mmoja amepigwa push moja hapa mtaani na huyu nyati tena huyu mama alikuwa kabeba mtoto
Doh ana bahati sana aisee maana angepigwa "MBASHA" na pembe ingemtoboa.
 
Inakuwaje Anti- robbery unit itumike? Mali asili walikuwa wapi? Huyo mnyama si jambazi na hakupaswa kupigwa risasi. Ni utaalamu wa Mali asili ungetumika na kumrudisha anakostahili. Hili ni doa jingine kubwa. Tunasomesha wataalamu wasiotumika wanapohitajika.
Uamuzi uliofanyika si wa busara. Mamba na Viboko wanaua watu kwa wingi maeneo ya mito na ziwa. Serikali kupitia Wizara husika inatumia utaratibu wa kuwahamisha toka sehemu hizo na ni mara chache huchukua hatua ya kuwaua iwapo matukio ya mauaji kwa binadamu yanakuwa mengi. Huyo Nyati alipotea njia, Wataalamu wa Wanyamapori wangetumia njia ya kumkamata na kumrudisha tena porini. Hili là kumuua kwa risasi si sawa na ni ukatili kwa wanyama ambao hawawezi kujitetea. BTW, Tanzania Society for the Prevention of Cruelity to Animals ipo hai kweli?
 
Angalia hyo ramani ya madale.
Nadhani unajua kijani inamaanisha nini.
Mkuu sidhani kuna Pori Madale kuwe na NYATI na hata angekuwpo angekuwa ashajulikana kitambo,huyo atakuwa na NDAGU tu.
Screenshot_20200824-143852.jpg

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Doh ana bahati sana aisee maana angepigwa "MBASHA" na pembe ingemtoboa.
Alafu nilichogundua bado kuna watu wengi wanatatizo la kutambua aina za wanyama pori,huyu mama baada ya kudondokea pembeni kanyanyuka anasema amepigwa push na ng'ombe,
 
Back
Top Bottom