son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 541
- 1,449
KilazaDSm bado kuna watu wanafuga mapori makubwa kama mbuga za wanyama, niwakati sasa kampeni ya kuondoa mapori dsm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KilazaDSm bado kuna watu wanafuga mapori makubwa kama mbuga za wanyama, niwakati sasa kampeni ya kuondoa mapori dsm.
Ili aliweSawa kabisa......
Kwa nini walimuua....?......
Huu ni udhaifu wa kiwango cha hai ya juu kumpiga mnyama risasi badala ya kutumia zile sindano za usingizi na kumrudisha huko alikotoka .kinatumika kikosi cha ant- robery huo ni ushenzi na uharbifu wa mali asili.ina maana kila mnyama atakae kua akitoroka ni kupigwa risasi.shame shameWakazi wa Madale wa jijini Dar-es-salaam wakumbwa na taharuki na wngine kukimbia makazi yao baada ya kuvamiwa na nyati ambaye hajulikani alipotoka.
Nyati huyo amejeruhi watu na baadhi ya mifugo...Kikosi kazi cha Ant-robbery cha mabwepande wamefika haraka na kumuua nyati huyo.
Kiongozi wa kikosi amesema nyati huyo ni jike hivyo kuna uwezekano wa kuwa na nyati dume maeneo hayo ya madale.
View attachment 1546056
Wawe ni wa Wanyama Pori, anti robbery au Wananchi mara zote wao ni kuuwa tu....ni lini ulisikia wamekamata Fisi kwenye makazi akiwa hai wakamrudisha porini?.Umeambiwa maofisa wa wanyama pori au anti robbery ndio waliofanya hivyo
Soma habari kwa umakini
Sawa wanamuua badala ya kumchapa sindano ya usingizi na kumrejesha mwituni.......Wakazi wa Madale wa jijini Dar-es-salaam wakumbwa na taharuki na wngine kukimbia makazi yao baada ya kuvamiwa na nyati ambaye hajulikani alipotoka.
Nyati huyo amejeruhi watu na baadhi ya mifugo...Kikosi kazi cha Ant-robbery cha mabwepande wamefika haraka na kumuua nyati huyo.
Kiongozi wa kikosi amesema nyati huyo ni jike hivyo kuna uwezekano wa kuwa na nyati dume maeneo hayo ya madale.
View attachment 1546056
Hawezi kuelewa huyo. Tutakuja kuua hata wanayama waliokatika hatari ya kutoweka sababu ya kukosa tu elimu sahihi ya namna ya kuwalinda.Watu wafe nini???, siku hizi kuna tranquilazers hakuna kutumia risasi za moto.
Wakazi wa Madale wa jijini Dar-es-salaam wakumbwa na taharuki na wngine kukimbia makazi yao baada ya kuvamiwa na nyati ambaye hajulikani alipotoka.
Nyati huyo amejeruhi watu na baadhi ya mifugo...Kikosi kazi cha Ant-robbery cha mabwepande wamefika haraka na kumuua nyati huyo.
Kiongozi wa kikosi amesema nyati huyo ni jike hivyo kuna uwezekano wa kuwa na nyati dume maeneo hayo ya madale.
View attachment 1546056
Hahahaha!!! Wanakwama sana hawa wadauWanaume wa Dar mnakubali vipi mboga ilete taharuki namna hii?
Mkuu mbona nyama wananchi wamekula huku mtaani,sema mapaja ndio wameondoka nayo mali asili,na kuna mama mmoja amepigwa push moja hapa mtaani na huyu nyati tena huyu mama alikuwa kabeba mtotoWatu wa mali asili wameondoka naye.....Madale kumbe bado Porini.
Tatizo ni kutokiwepo kwa kikosi cha wanyamapori. Hao anti robbery akilli zao zipo kukaba kaba tu ndo wamefikiria kumuua nyati na sio kumkamata na kumkabidhi kwa kikosi cha wanyamaporiNinesikitika sana kuuwawa kwa huyo mnyama, nadhani wataalamu wetu wako dhaifu sana kukabiliana na wanyama.
Sinza na Mwenge wapi kuna Pori?Sio madale tu hata sinza,mwenge,mbezi beach,boko ,bunju na bagamoyo kote ni porini
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mkuu sidhani kuna Pori Madale kuwe na NYATI na hata angekuwpo angekuwa ashajulikana kitambo,huyo atakuwa na NDAGU tu.
Na wakiwa kundi hawanaga shida kabisaaPoleni majeruhi, nyati mmoja ni hatari kuliko wakiwa kundi
Ebu tupia picha yake mkuu ,huyo chui ametoka wapi tena?chui kweli