Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,314
- 9,215
Inatokeaga wanaua mnyama kama huyo ni hatari kumrudisha adi porini alikotoka na hayuko katika kundi, ivi unajua mziki wa Buffalo kweli?Mnyama hajafanya madhara yyote. Ilikuwa lazma auwawe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatokeaga wanaua mnyama kama huyo ni hatari kumrudisha adi porini alikotoka na hayuko katika kundi, ivi unajua mziki wa Buffalo kweli?Mnyama hajafanya madhara yyote. Ilikuwa lazma auwawe?
Kuna mahali pia maliasili huwa inabidi waue ili kuzuia madhara kwa binadamu, ukizingatia kama pia pori liko mbali ili kumfikisha hainaga shida wanaua wanagawana nyama kama ni wa kuliwa, kama sio wanachukua nyara zao muhimuInakuwaje Anti- robbery unit itumike? Mali asili walikuwa wapi? Huyo mnyama si jambazi na hakupaswa kupigwa risasi. Ni utaalamu wa Mali asili ungetumika na kumrudisha anakostahili. Hili ni doa jingine kubwa. Tunasomesha wataalamu wasiotumika wanapohitajika.
Ungejua mkurya halisi sio muwindaji! Zipo jamii za wawindajiHuyo nyati angepita kwenye ile mitaa wanayo ishi wakurya kule hakika inge pendeza sana
Ebu tupia picha yake mkuu ,huyo chui ametoka wapi tena?
NasomaHii siyo JamiiForums ya kipindi kile Nasoma tu habari kabla sijajiunga, Yaani Utoaji wa Maoni unafanana na wa Facebook kwa kipindi hiki.
Wale Great thinkers hawapo,,
Watoto wamekuwa wengi Ni Hatari.
Hii siyo JamiiForums ya kipindi kile Namsoma tu habari kabla sijajiunga, Yaani Utoaji wa Maoni unafanana na wa Facebook kwa kipindi hiki.
Wale Great thinkers hawapo,,
Watoto wamekuwa wengi Ni Hatari.
Acha mchezo aisee!Ninesikitika sana kuuwawa kwa huyo mnyama, nadhani wataalamu wetu wako dhaifu sana kukabiliana na wanyama.
Doh ana bahati sana aisee maana angepigwa "MBASHA" na pembe ingemtoboa.Mkuu mbona nyama wananchi wamekula huku mtaani,sema mapaja ndio wameondoka nayo mali asili,na kuna mama mmoja amepigwa push moja hapa mtaani na huyu nyati tena huyu mama alikuwa kabeba mtoto
mzee unaujua mziki wa nyati vizuri?Huyo nyati angepita kwenye ile mitaa wanayo ishi wakurya kule hakika inge pendeza sana
Mkuu sidhani kuna Pori Madale kuwe na NYATI na hata angekuwpo angekuwa ashajulikana kitambo,huyo atakuwa na NDAGU tu.
Uamuzi uliofanyika si wa busara. Mamba na Viboko wanaua watu kwa wingi maeneo ya mito na ziwa. Serikali kupitia Wizara husika inatumia utaratibu wa kuwahamisha toka sehemu hizo na ni mara chache huchukua hatua ya kuwaua iwapo matukio ya mauaji kwa binadamu yanakuwa mengi. Huyo Nyati alipotea njia, Wataalamu wa Wanyamapori wangetumia njia ya kumkamata na kumrudisha tena porini. Hili là kumuua kwa risasi si sawa na ni ukatili kwa wanyama ambao hawawezi kujitetea. BTW, Tanzania Society for the Prevention of Cruelity to Animals ipo hai kweli?Inakuwaje Anti- robbery unit itumike? Mali asili walikuwa wapi? Huyo mnyama si jambazi na hakupaswa kupigwa risasi. Ni utaalamu wa Mali asili ungetumika na kumrudisha anakostahili. Hili ni doa jingine kubwa. Tunasomesha wataalamu wasiotumika wanapohitajika.
Pale sheli Engine unaenda kutokea Njia Nne?Yapo tembea uone.kuna sehemu kuna shell pale alafu kama kuna mto umepita
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mkuu sidhani kuna Pori Madale kuwe na NYATI na hata angekuwpo angekuwa ashajulikana kitambo,huyo atakuwa na NDAGU tu.
Sinza na Mwenge wapi kuna Pori?
Kwahiyo atakuwa ametokea kwenye Pori la akiba la MSITU wa Ulimboka Mabwepande?Angalia hyo ramani ya madale.
Nadhani unajua kijani inamaanisha nini.View attachment 1546742
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Nadhani jamaa anadhani ni rahisi tu kumuua Nyati kwa panga na rungu. Kwa tunaoufahamu huo muziki yaani Nyati akishajeruhiwa tu anageuka kuwa Mbogo. Hapo ndo muziki hukolea, ama zake ama zako.mzee unaujua mziki wa nyati vizuri?
Kwahiyo atakuwa ametokea kwenye Pori la akiba la MSITU wa Ulimboka Mabwepande?
Alafu nilichogundua bado kuna watu wengi wanatatizo la kutambua aina za wanyama pori,huyu mama baada ya kudondokea pembeni kanyanyuka anasema amepigwa push na ng'ombe,Doh ana bahati sana aisee maana angepigwa "MBASHA" na pembe ingemtoboa.