Mimi Wilayani kwangu nautumia huo mfumo hasa kuuza ufuta,hakuna malalamiko kutoka kwa wakulima,sana sana wamefurahi kwa kupata bei nzuri ambayo hawajawahi kuipata,nikufumbue kitu kuwa wafanyabiashara walanguzi ndio wanaoupinga huu mfumo ili waendelee kumpiga mkulima,tena wanasaidiana na viongozi wakubwa serikalini kuuponga mfumo huu kwa wao pia ni wafaidika juu ya unyonyaji kwa wakulimaWewe acha porojo mfumo wa stakabadhi gharani nchi kama vietnam mkulima analopwa cash anaondoka habari za kumlipa kidogo halafu nyingine asubiri mara afhulumiwe nani anataka, kawaulize mtwara na lindi wakulima wa korosho kilichowatokea
kwahiyo na mwakanj watachoma tena!!!
akili za masikini sio za kuamini.
Bora tukose wote hiyo inaitwakwahiyo na mwakanj watachoma tena!!!
akili za masikini sio za kuamini.
Mimi Wilayani kwangu nautumia huo mfumo hasa kuuza ufuta,hakuna malalamiko kutoka kwa wakulima,sana sana wamefurahi kwa kupata bei nzuri ambayo hawajawahi kuipata,nikufumbue kitu kuwa wafanyabiashara walanguzi ndio wanaoupinga huu mfumo ili waendelee kumpiga mkulima,tena wanasaidiana na viongozi wakubwa serikalini kuuponga mfumo huu kwa wao pia ni wafaidika juu ya unyonyaji kwa wakulima
Mimi Wilayani kwangu nautumia huo mfumo hasa kuuza ufuta,hakuna malalamiko kutoka kwa wakulima,sana sana wamefurahi kwa kupata bei nzuri ambayo hawajawahi kuipata,nikufumbue kitu kuwa wafanyabiashara walanguzi ndio wanaoupinga huu mfumo ili waendelee kumpiga mkulima,tena wanasaidiana na viongozi wakubwa serikalini kuuponga mfumo huu kwa wao pia ni wafaidika juu ya unyonyaji kwa wakulima
Nafikiri hujui uliongealo,udalali unafanywa na wanaoupinga ili waendelee kudalalia jasho la mkulima,mfumo huu unasimamiwa na wakala wa Serikali aliye chini ya Wizara ya Fedha anayeitwa TMX,sasa Serikali itaundaje chombo cha kumlalia mkulima?Hakuna mkulima anaupenda huo mfumo hata mmoja, mfumo ambao na ninyi ni madalari kama wengine maana mfumo hautoi cash on sale, mnasubiri kukusanya then mkauze ili baadae mje kumlipa mkulima tena mnauza bei mara mbili halafu mnadai blah blah
Naona huna hoja ila viroja ndio vimekujaaa mkuuuNinyi pia mnafanya udalari sema tofauti madalari wenzenu wanatumia cash, ninyi mnatumia maneno
Naona huna hoja ila viroja ndio vimekujaaa mkuuu
Nafikiri hujui uliongealo,udalali unafanywa na wanaoupinga ili waendelee kudalalia jasho la mkulima,mfumo huu unasimamiwa na wakala wa Serikali aliye chini ya Wizara ya Fedha anayeitwa TMX,sasa Serikali itaundaje chombo cha kumlalia mkulima?
Inawezekana hakukuwa na utashi wa serikali ila kuna mtu mmoja aliyeharibu taswira kwa maamuzi yake mabaya,ila dhamira ya mfumo ni njema mnoYaani kwa akili yako unahisi serikali inahuruma na mwananchi? Hata kujiongeza unashindwa Na kwenye korosho hamkumlalia mwananchi isipokua mlimpa maslahi!
Acha upotoshajiHao wakazi ni wapumbavu sana,mfumo huo ndio wenye faida kwao kwani hakuna mtu wa kati,wanauza kwa bei ya soko moja kwa moja na pesa zao hulipwa ndani ya masaa 48 tokea kufanyika kwa mnada,narudia tena ni wapumbavu sana wataendelea kulanguliwa hadi mwisho wa dunia kmmzao
Bei ikishuka kwenye soko la dunia wao TMX wanafanyaje kwa mfano,wao wanasimamia malipo ya mkulima moja kwa moja kutoka kwa mnunuzi,hawana udhibiti na soko la dunia mkuuKwahiyo TMX , haujaona kwenye pamba wameikataa kwa sababu bei imeshuka na wizara imeichomoa huko
Weka ukweli juu ya unachokijuaAcha upotoshaji
Inawezekana hakukuwa na utashi wa serikali ila kuna mtu mmoja aliyeharibu taswira kwa maamuzi yake mabaya,ila dhamira ya mfumo ni njema mno
Utakua upo Kuzimu sio bure , Halafu utakua kibwengo sio binadamu.Huku nilipo sisi wakulima ndio tunataka stakabadhi ghalani wkati wengine wanakataa!!?
Bei ikishuka kwenye soko la dunia wao TMX wanafanyaje kwa mfano,wao wanasimamia malipo ya mkulima moja kwa moja kutoka kwa mnunuzi,hawana udhibiti na soko la dunia mkuu
Mapumbavu bibi yako Kenge ww,unajua shida ya kulima ,au unashabikia kisa upo upande wa watesiHao wakazi ni wapumbavu sana,mfumo huo ndio wenye faida kwao kwani hakuna mtu wa kati,wanauza kwa bei ya soko moja kwa moja na pesa zao hulipwa ndani ya masaa 48 tokea kufanyika kwa mnada,narudia tena ni wapumbavu sana wataendelea kulanguliwa hadi mwisho wa dunia kmmzao
Weka ukweli juu ya unachokijua
Ww acha kudanganya watu ,wakulima wamejaa maumivu ya kahawa mwaka jana kule Songwe wameteseka mpaka kahawa wakalipwa bei ndogo na kuchelewa juu.Hujui tu unaongea shida wanazo pata ww huzijui.Mimi Wilayani kwangu nautumia huo mfumo hasa kuuza ufuta,hakuna malalamiko kutoka kwa wakulima,sana sana wamefurahi kwa kupata bei nzuri ambayo hawajawahi kuipata,nikufumbue kitu kuwa wafanyabiashara walanguzi ndio wanaoupinga huu mfumo ili waendelee kumpiga mkulima,tena wanasaidiana na viongozi wakubwa serikalini kuuponga mfumo huu kwa wao pia ni wafaidika juu ya unyonyaji kwa wakulima