Aliekwambia choroko mboga nani?choroko ni zao la biashara hilo
Hakuna msukuma atakueleza choroko ni zao la biashara hayupo au haufahamu kama zinaitwa Bhunduru huko usukumani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliekwambia choroko mboga nani?choroko ni zao la biashara hilo
Naona Kama unahamisha magoliHakuna msukuma atakueleza choroko ni zao la biashara hayupo au haufahamu kama zinaitwa Bhunduru huko usukumani
Mfumo mzuri siyo maneno na kwenye makaratasi bali vitendo. Kama mtu halipwi pesa yake kwa wakati unafikiri atautaka huo mfumo wakati dalali anamlipa hapohapo.Muhimu ni elimu ya kutosha tu
Warehouse receipts ndio njia Bora kuliko zote inayomuhakikishia mkulima kuwa na fedha mpaka off season
Tatizo ni madalali na wafanya biashara wanawaharibu akili wakulima kwa kuwaletea pesa kiduchu mazao yakiwa bado hata kupevuka
Bila shaka Hapo walipochoma ndio watakua wamepata faida .Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la mkuu wa wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani ambao wanasema hauna faida kwao
SOURCE : channel 10 taarifa ya habari
Ushawahi kutumia wherehouse receipt au unausikia?Mfumo mzuri siyo maneno na kwenye makaratasi bali vitendo. Kama mtu halipwi pesa yake kwa wakati unafikiri atautaka huo mfumo wakati dalali anamlipa hapohapo.