Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la Mkuu wa Wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani

Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la Mkuu wa Wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani

sasa, muda waliotumia na pesa walizowekeza mpaka zao lilipofikia hapo...

ila, wao ndio wanajua zaidi!
 
Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la mkuu wa wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani ambao wanasema hauna faida kwao

SOURCE : channel 10 taarifa ya habari
Mungu ibariki Songwe
 
Bora tukose wote hiyo

Ova

Kuna jamaa walimkamata na nyavu ziwani wakajisahau wakamweka karibu na nyavu zake eti ni kidhibiti na hapo ilikua wamemuomba rushwa wamekosa walifika sehemu jamaa akazitosa nyavu. Wakaanza umetupa ushahidi akawageuka kawaambia mimi mmenipa lift huo ushahidi mimi siujui wakamtosa ziwani wakajua atakufa akapiga mbizi kaendelea na mishe nyingine “ Bora nyote mkose hawa jamaa huo mfumo wanamkopa mkulima yaani na wao ni madalari tu
 
No more holding back, sometimes you have to fight to be a man.
 
Kuna jamaa walimkamata na nyavu ziwani wakajisahau wakamweka karibu na nyavu zake eti ni kidhibiti na hapo ilikua wamemuomba rushwa wamekosa walifika sehemu jamaa akazitosa nyavu. Wakaanza umetupa ushahidi akawageuka kawaambia mimi mmenipa lift huo ushahidi mimi siujui wakamtosa ziwani wakajua atakufa akapiga mbizi kaendelea na mishe nyingine “ Bora nyote mkose hawa jamaa huo mfumo wanamkopa mkulima yaani na wao ni madalari tu
Teh teh...

Inabidi serikali wawe na utaratibu mzuri ambao mkulima ataridhika nao,wasiwaingilie
Sana wakulima au kuwabana
Kwa style hiyo watu wataacha kulima
Mfano bagamoyo mpk chalinze zamani watu walikuwa wanapanda mikorosho sana lakini
Kuna hali wakulima wa zao hilo waliona kama miyeyusho wakaachana nayo

Ova
 
Back
Top Bottom