Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la Mkuu wa Wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani

Wewe acha porojo mfumo wa stakabadhi gharani nchi kama vietnam mkulima analopwa cash anaondoka habari za kumlipa kidogo halafu nyingine asubiri mara afhulumiwe nani anataka, kawaulize mtwara na lindi wakulima wa korosho kilichowatokea
Mimi Wilayani kwangu nautumia huo mfumo hasa kuuza ufuta,hakuna malalamiko kutoka kwa wakulima,sana sana wamefurahi kwa kupata bei nzuri ambayo hawajawahi kuipata,nikufumbue kitu kuwa wafanyabiashara walanguzi ndio wanaoupinga huu mfumo ili waendelee kumpiga mkulima,tena wanasaidiana na viongozi wakubwa serikalini kuuponga mfumo huu kwa wao pia ni wafaidika juu ya unyonyaji kwa wakulima
 
kwahiyo na mwakanj watachoma tena!!!

akili za masikini sio za kuamini.

Ndio kwani hasara kwa nani unahutumia kitu ambacho haukuchangia, ukamtie hasara kila mwaka kwa ngonjera za kiseng afadhali achome aote moto maisha yaendelee
 
Mimi Wilayani kwangu nautumia huo mfumo hasa kuuza ufuta,hakuna malalamiko kutoka kwa wakulima,sana sana wamefurahi kwa kupata bei nzuri ambayo hawajawahi kuipata,nikufumbue kitu kuwa wafanyabiashara walanguzi ndio wanaoupinga huu mfumo ili waendelee kumpiga mkulima,tena wanasaidiana na viongozi wakubwa serikalini kuuponga mfumo huu kwa wao pia ni wafaidika juu ya unyonyaji kwa wakulima

Hakuna mkulima anaupenda huo mfumo hata mmoja, mfumo ambao na ninyi ni madalari kama wengine maana mfumo hautoi cash on sale, mnasubiri kukusanya then mkauze ili baadae mje kumlipa mkulima tena mnauza bei mara mbili halafu mnadai blah blah
 
Ninyi pia mnafanya udalari sema tofauti madalari wenzenu wanatumia cash, ninyi mnatumia maneno
 
Hakuna mkulima anaupenda huo mfumo hata mmoja, mfumo ambao na ninyi ni madalari kama wengine maana mfumo hautoi cash on sale, mnasubiri kukusanya then mkauze ili baadae mje kumlipa mkulima tena mnauza bei mara mbili halafu mnadai blah blah
Nafikiri hujui uliongealo,udalali unafanywa na wanaoupinga ili waendelee kudalalia jasho la mkulima,mfumo huu unasimamiwa na wakala wa Serikali aliye chini ya Wizara ya Fedha anayeitwa TMX,sasa Serikali itaundaje chombo cha kumlalia mkulima?
 
Yaani kwa akili yako unahisi serikali inahuruma na mwananchi? Hata kujiongeza unashindwa Na kwenye korosho hamkumlalia mwananchi isipokua mlimpa maslahi!
 
Inawezekana hakukuwa na utashi wa serikali ila kuna mtu mmoja aliyeharibu taswira kwa maamuzi yake mabaya,ila dhamira ya mfumo ni njema mno
 
Hao wakazi ni wapumbavu sana,mfumo huo ndio wenye faida kwao kwani hakuna mtu wa kati,wanauza kwa bei ya soko moja kwa moja na pesa zao hulipwa ndani ya masaa 48 tokea kufanyika kwa mnada,narudia tena ni wapumbavu sana wataendelea kulanguliwa hadi mwisho wa dunia kmmzao
Acha upotoshaji
 
Kwahiyo TMX , haujaona kwenye pamba wameikataa kwa sababu bei imeshuka na wizara imeichomoa huko
Bei ikishuka kwenye soko la dunia wao TMX wanafanyaje kwa mfano,wao wanasimamia malipo ya mkulima moja kwa moja kutoka kwa mnunuzi,hawana udhibiti na soko la dunia mkuu
 
Inawezekana hakukuwa na utashi wa serikali ila kuna mtu mmoja aliyeharibu taswira kwa maamuzi yake mabaya,ila dhamira ya mfumo ni njema mno

TMX boss ni madalari ndio maana hawana cash au mtu kati kwako ni mtu wa aina ipi? Na umeoana utitiri wa Bodi za mazao zilivo nyingi na hazina tija yoyote kwa mkulima ndio utajua serikali haina na haijawahi kua na huruma kwa mkulima maana hata serikali hao hao wanawaza kumpiga mkulima
 
Bei ikishuka kwenye soko la dunia wao TMX wanafanyaje kwa mfano,wao wanasimamia malipo ya mkulima moja kwa moja kutoka kwa mnunuzi,hawana udhibiti na soko la dunia mkuu

Ndio muache biashara ijiuze yenyewe sio mnakomaa kuweka stock hadi mazao yanapoteza ubora then mnaanza kulialia na lugha nyepesi bei zinapowashinda hua mnatumia porojo za soko la dunia
 
Hao wakazi ni wapumbavu sana,mfumo huo ndio wenye faida kwao kwani hakuna mtu wa kati,wanauza kwa bei ya soko moja kwa moja na pesa zao hulipwa ndani ya masaa 48 tokea kufanyika kwa mnada,narudia tena ni wapumbavu sana wataendelea kulanguliwa hadi mwisho wa dunia kmmzao
Mapumbavu bibi yako Kenge ww,unajua shida ya kulima ,au unashabikia kisa upo upande wa watesi
 
Mimi Wilayani kwangu nautumia huo mfumo hasa kuuza ufuta,hakuna malalamiko kutoka kwa wakulima,sana sana wamefurahi kwa kupata bei nzuri ambayo hawajawahi kuipata,nikufumbue kitu kuwa wafanyabiashara walanguzi ndio wanaoupinga huu mfumo ili waendelee kumpiga mkulima,tena wanasaidiana na viongozi wakubwa serikalini kuuponga mfumo huu kwa wao pia ni wafaidika juu ya unyonyaji kwa wakulima
Ww acha kudanganya watu ,wakulima wamejaa maumivu ya kahawa mwaka jana kule Songwe wameteseka mpaka kahawa wakalipwa bei ndogo na kuchelewa juu.Hujui tu unaongea shida wanazo pata ww huzijui.
 
Back
Top Bottom