Unaweza kukuta wewe ndiye mpumbavu wa kutupwa, yaani wakulima wilaya yoooteee wasione hiyo faida ya huo mfumo? Acha upimbi jombaa..Hao wakazi ni wapumbavu sana,mfumo huo ndio wenye faida kwao kwani hakuna mtu wa kati,wanauza kwa bei ya soko moja kwa moja na pesa zao hulipwa ndani ya masaa 48 tokea kufanyika kwa mnada,narudia tena ni wapumbavu sana wataendelea kulanguliwa hadi mwisho wa dunia kmmzao
Sasa hata wakichoma tena wewe inakuuma nini? Uliwekeza kwao kwenye kuwasaidia mbolea, mbegu au pembejeo labda?kwahiyo na mwakanj watachoma tena!!!
akili za masikini sio za kuamini.
Tatizo hawalipi on time, sasa kwa nini unikope mazao yangu??Nafikiri hujui uliongealo,udalali unafanywa na wanaoupinga ili waendelee kudalalia jasho la mkulima,mfumo huu unasimamiwa na wakala wa Serikali aliye chini ya Wizara ya Fedha anayeitwa TMX,sasa Serikali itaundaje chombo cha kumlalia mkulima?
Kama dhamira ni nzuri leteni pembejeo muwape wakulima halafu wakiuza ndiyo muwakate, siyo mnasubiri mtu anateseka halafu mnakuja mbio ili mpate kodi.Inawezekana hakukuwa na utashi wa serikali ila kuna mtu mmoja aliyeharibu taswira kwa maamuzi yake mabaya,ila dhamira ya mfumo ni njema mno
Mtu kama huyu wala hajui adha na tabu za wakulima, yuko kwenye kiyoyozi kazi ni kupanga jinsi ya kukamua mkulima.Mapumbavu bibi yako Kenge ww,unajua shida ya kulima ,au unashabikia kisa upo upande wa watesi
Mfumo wa kipumbavu sana, badala ya kuwapa ruzuku wakulima unabana pua eti mfumooo...Nje ya mada,leta hoja zenye mantiki,kwa hiyo ulitaka mazao ya yauzwe kiholela ndugu bila kuweka mifumo?
Itoe ruzuku kwa wakulima kama zinavyofanya nchi zingine zinazijali wakulima wake. Nyie mmekalia kununua mavieite, kulipana posho na kuiba pesa bandarini.We ulitaka serikali ndio ilime
Sasa hata wakichoma tena wewe inakuuma nini? Uliwekeza kwao kwenye kuwasaidia mbolea, mbegu au pembejeo labda?
Muhimu ni elimu ya kutosha tuHamjajifunza kutokana na zao la korosho nyinyi CCM ni kizazi cha nyoka.
Usiwachukulie poa huu ni mwanzo na inamaana yakeEeh kwa hiyo walivyochoma ndiyo wamepata faida?
Aliekwambia choroko mboga nani?choroko ni zao la biashara hiloStakabadhi gharani imewekwa hadi kwenye choroko, yaani Mboga unaiwekea stakabadhi gharani
Bora wote mkose kuliko kutapeliwa na serikali🤓 wanajua kilichowakuta kusini zama za koroshoEeh kwa hiyo walivyochoma ndiyo wamepata faida?
Tunakumbuka kilichotokea 2018-2019 vizuri maeneo ya kusini kuleWamefanya vyema! Stakabadhi ghalani isikie tu.
Bei nzuri ni bei gani huo ufuta mnauza!Mimi Wilayani kwangu nautumia huo mfumo hasa kuuza ufuta,hakuna malalamiko kutoka kwa wakulima,sana sana wamefurahi kwa kupata bei nzuri ambayo hawajawahi kuipata,nikufumbue kitu kuwa wafanyabiashara walanguzi ndio wanaoupinga huu mfumo ili waendelee kumpiga mkulima,tena wanasaidiana na viongozi wakubwa serikalini kuuponga mfumo huu kwa wao pia ni wafaidika juu ya unyonyaji kwa wakulima
Ni ukosefu tu wa elimu stahikiBora wote mkose kuliko kutapeliwa na serikali🤓 wanajua kilichowakuta kusini zama za korosho
Sawa ngoja nisubiri kuona huo mwisho wake.Usiwachukulie poa huu ni mwanzo na inamaana yake
Anajiropokea tu huyo ama labda yeye ni miongoni mwa wastaafu wa CCM. Serikali inajali ingekuwa inalipa wakulima cash yao wanapopeleka mzigo ili wao wakiuza wanajilipa juu kwa juu!Ww acha kudanganya watu ,wakulima wamejaa maumivu ya kahawa mwaka jana kule Songwe wameteseka mpaka kahawa wakalipwa bei ndogo na kuchelewa juu.Hujui tu unaongea shida wanazo pata ww huzijui.
Aise ila jamaa wa korosho waliyoyapitia nayo.Bora wote mkose kuliko kutapeliwa na serikali🤓 wanajua kilichowakuta kusini zama za korosho