Wakazi wa Mbeya mjini wasipodhibitiwa watajenga hadi juu ya Kawetere, matokeo yake si mazuri baadae

Kwani bila Kuongoza KANISA HUWEZI kuwa Mtakatifu? Unajua Utakatifu una sababishwa ni Nini?
jamuhuri ya Tanzania haina dini, utakatifu/mtakatifu upo huko kwa wa kristo na hasa RC.
mwalimu alikuwa raisi na amri jeshi mkuu na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi,

kwamwe hawezi kuwa na makandokando , soma historia mwalimu amenyonga mpaka kuuwa watu wa ? kipindi cha uongozi wake ? , kwa mujibu wa katiba aliyoiandika yy kwa msaada wa watu wasiojulikana (TETESI inasemekana rc ndio waliomsaidia kuuanda katiba ambayo leo hii wananchi wanataka ibadilishwe).

ok mwalimu akiwa mtakitifu ,itabidi kuwe na duwa ya maombezi kwa ajili ya mtakatifu nyerere , nani atakaye fanya hayo maombezi wakati nchi haina dini ?

je mwalimu akiwa mtakatifu ndio tutakuwa tumeandika historia nzuri ya mwalimu kuwa alikuwa ni mtakatifu kwenye uongozi wake , amuoni kwamba munataka kubadilisha ukweli wa historia ya mwalimu?
 
Usipende kuziishi tetesi.Hata mie nilisikia kuwa hii KATIBA tuliirithi kutoka kwa mkoloni,Kisha ikafanyiwa marekebisho kidogo.Sina hakika na wala sifuatilii hiyo tetesi.Swala la kuua nalo ni tetesi.Lakini kama ni kweli,aliua kwa mujibu wa katiba (Sheria),hana kosa binafsi.Utakatifu wa mtu unalinganisha mazuri na mabaya.%80 ikiwa ni mazuri,na watu wote wakakubali.Huyo mtu amejitahidi sana kutenda mema.Kwa Wakristo Wakatoliki huyo ni Mtakatifu.Kwa maana hakuna aliye mkamilifu.Ni MUNGU pekee ndiye mkamilifu.
 
Mkuu, mwalimu Nyerere alikuwa ni kiongozi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, hakuwa kiongozi wa wakatoliki.

Kama munataka kumtambua mwalimu Nyerere kuwa ni mtakatifu, hilo jambo lenu lifanyike huko huko kwenye nyumba yenu ya ibada na lihishie huko huko lisije serikalini .

musiishirikishe serikali kwa lolote, kwa sababu hatutakubali huo mpasuko kwenye jamii yetu.
 
Kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ilikuwa ndio kazi yake.Hakumzuii kuwa Mkatoliki.Na Utakatifu ataupata kutokana na utendaji wake wa kazi.Na wala hautashirikishwa kwenye huo mchakato.Kwani kwa umri ulionao ulishawahi kusikia Mtakatifu au Utakatifu Nje ya Ukatoliki?
 
Hayo yote ni madhara ya kutawaliwa na CCM kwa mda marefu,cha ajabu mnaendelea kuimba kuwa October mnatiki tena.
Kuna miaka fulani michache hapo nyuma upinzani waliunda serikali (local government) kwenye majiji muhimu hapa bongo mbona ujenzi holela uliendelea. Unalizungumziaje hilo?!
 
Kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ilikuwa ndio kazi yake.Hakumzuii kuwa Mkatoliki.Na Utakatifu ataupata kutokana na utendaji wake wa kazi.Na wala hautashirikishwa kwenye huo mchakato.Kwani kwa umri ulionao ulishawahi kusikia Mtakatifu au Utakatifu Nje ya Ukatoliki?
sio mimi ni serikali haitoshirikishwa kwenye maswala yenu ya kiimani.

serikali tuna jua niya yenu ovu ni kutaka kuficha historia halisi ya maisha ya mwalimu nyerere.

ili nchi iweze kuendelea inabidi sera zake ziwe za ukweli na uwazi , ili kuengeza uwajibaki na kuuzuia adui kujificha kwenye taasisi za serikali kwa mgongo wa siri.

uzuri techonolgy ipo , na tutaitumia kuhifadhi nyaraka za kihistoria za mwalimu nyerere.

sasa nyerere akiitwa mtakatifu , ndio tutakuwa tumelisaidia taifa kwa nyanja ipi ?.

mwalimu nyerere alikataza mamba haya kutukuza viongozi ndio mwanzo wa uchawa, watu munakuwa machawa mpaka kwa wafu huu ni ujinga ulioje.
 
Nyerere alifanya kazi nzuri kwa uwezo wake.Na anapaswa kupewa maua yake.Kanisa linampa maua yake kwa kumtangaza mwenye heri,Kisha Mtakatifu,bila kujali mapungufu yake kama mtu.Mungu pekee ndio mkamilifu.
 
Nyerere alikaa zaidi ya miaka 20, lakini jiji la Dar es salaam akaliongoza kisiasa,
Wewe imagine kama mu UK angekuwepo mpaka 90's ivi Tanganyika ingekuwa mbali sana kiuchumi na mashuleni gavo watoto wangebonga ngeli.

Huwezi kuwa mzalendo bila kuwa na maarifa sahihi ya kiuchumi
Enzi za Ukoloni mwingereza aliweka base yake Kenya Nairobi ,sisi tulikuwa Protectorate ,maana sisi tulipokwa toka kwa mjerumani,ni wonder Nairobi Iko juu ya Daslam
 
Wakuu,
Kuna jambo la muda mrefu linanipa wasiwasi sana kuhusu namna mji wa Mbeya unavyokua.

Sasa hivi ukipita maeneo mbalimbali utakuta kila kona kuna ujenzi, mara nyingi bila mpangilio wa mji.

Wengine wameanza hata kupanda kuelekea Kawetere, eneo ambalo kiasili ni mlima wenye vyanzo vya maji na mandhari ya kipekee.

Swali kubwa: tukiruhusu hali hii iendelee bila udhibiti, nini kitatokea baada ya miaka 10–20?

🔹 Madhara ya mazingira: Uharibifu wa vyanzo vya maji, mmomonyoko wa udongo, na hatari ya maporomoko ya ardhi.
🔹 Madhara ya kijamii: Kukosekana kwa huduma za msingi kama barabara, maji na mifumo ya taka kwa sababu maeneo hayakupangwa.
🔹 Madhara ya kisheria: Baadaye serikali inaweza kuamuru bomoabomoa, jambo linaloleta hasara kubwa kwa wananchi.

Kwa sasa inavyoonekana, jitihada za kupanga mji hazilingani na kasi ya watu kujenga hovyo.

Hali hii ikiachwa iendelee, Mbeya inaweza kupoteza hadhi yake ya kipekee na kubaki ni mji usiopangika wenye changamoto nyingi za kimaisha. Uholela huu upo hata kwenye mpangilio wa usafiri katikati ya mji. Stendi ya Kabwe nayo ni kama haipo sababu yeyote pale anafanya lolote wakati wowote (magari binafsi kuegesha,soko mjinga,bajaji, daladala vyote vimetapakaa stendi ya Kabwe)

Ushauri wangu:
Serikali za mitaa, mamlaka ya ardhi na mji, pamoja na wananchi wenyewe, wanapaswa kushirikiana kupanga, kudhibiti na kutekeleza sheria za mipango miji.

Vinginevyo kizazi kijacho kitakuja kulalamika kwa makosa tuliyoyafanya leo.

Kwa sasa ni mara 100 uende ukaishi Tukuyu uwe unakuja kufanyia kazi Mbeya mjini. Mji umekuwa kero vibaya sana as if hakuna uongozi.
Nilisikia Mzungu aliweka mawe na kuelekeza mwisho wa matumizi ya mwanadamu .Kila leo watu wanajenga milimani ni kama watendaji hawana maelekezo kutoka kwa mkuu wa wilaya,mkoa Rais wa nchi.
 
Wakuu,
Kuna jambo la muda mrefu linanipa wasiwasi sana kuhusu namna mji wa Mbeya unavyokua.

Sasa hivi ukipita maeneo mbalimbali utakuta kila kona kuna ujenzi, mara nyingi bila mpangilio wa mji.

Wengine wameanza hata kupanda kuelekea Kawetere, eneo ambalo kiasili ni mlima wenye vyanzo vya maji na mandhari ya kipekee.

Swali kubwa: tukiruhusu hali hii iendelee bila udhibiti, nini kitatokea baada ya miaka 10–20?

🔹 Madhara ya mazingira: Uharibifu wa vyanzo vya maji, mmomonyoko wa udongo, na hatari ya maporomoko ya ardhi.
🔹 Madhara ya kijamii: Kukosekana kwa huduma za msingi kama barabara, maji na mifumo ya taka kwa sababu maeneo hayakupangwa.
🔹 Madhara ya kisheria: Baadaye serikali inaweza kuamuru bomoabomoa, jambo linaloleta hasara kubwa kwa wananchi.

Kwa sasa inavyoonekana, jitihada za kupanga mji hazilingani na kasi ya watu kujenga hovyo.

Hali hii ikiachwa iendelee, Mbeya inaweza kupoteza hadhi yake ya kipekee na kubaki ni mji usiopangika wenye changamoto nyingi za kimaisha. Uholela huu upo hata kwenye mpangilio wa usafiri katikati ya mji. Stendi ya Kabwe nayo ni kama haipo sababu yeyote pale anafanya lolote wakati wowote (magari binafsi kuegesha,soko mjinga,bajaji, daladala vyote vimetapakaa stendi ya Kabwe)

Ushauri wangu:
Serikali za mitaa, mamlaka ya ardhi na mji, pamoja na wananchi wenyewe, wanapaswa kushirikiana kupanga, kudhibiti na kutekeleza sheria za mipango miji.

Vinginevyo kizazi kijacho kitakuja kulalamika kwa makosa tuliyoyafanya leo.

Kwa sasa ni mara 100 uende ukaishi Tukuyu uwe unakuja kufanyia kazi Mbeya mjini. Mji umekuwa kero vibaya sana as if hakuna uongozi.
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom