Huu mkoa hauna tofauti na mikoa mingine maarufu kwa mambo ya kishirikina. Tofauti na watu wanavyodhani, ukienda Bukoba vijijini kuna vilinge vya Mshana JR.
Matambiko, mila potofu, taboo, mizimu(enchweke)ndio kwao. Ukienda Karagwe, Kyerya usiseme, Ngara nao wako vizuri kwa ndumba mpaka walikuwa wanaogopa kujenga kwao.
Kuna Gavana wa BoT mzaliwa wa Ngara enzi za Mkapa alizikwa makaburi ya Buguruni Malapa sababu hakujenga kwao kuogopa.
Ukipigwa limbwata la Kihaya huchomoki.
Tusiwachukulie poa.
Sishangai mkoa wa Kagera kuwa wa mwisho kwa mapato Tanzania .