Watu wanashinda makanisani na misikitini ila ni nomaSio Kagera tu, inshot Tanzania inaongoza kwa uchawi Africa ikifatiwa na Malawi na Msumbiji kwa mbali. Nigeria cha mtoto
KabisaNa huko ndiko dini zimetamalaki,wanasali na kuswali sana lakini usiku utawakoma.
Sema tu tatizo lao ni moja,wana uchawi wa rejareja.Kuna mchawi wa huko unaweza kumpiga mkwara kwamba utamkata mapanga au kumfunga na akatii asiendelee kukuroga!
Na kuna uwezekano mkubwa sana kwamba wachawi wengi hapa Tanaznia nao walishakimbilia makanisani kwenda kujificha humo; kwa kweli tuna hali mbaya mno!Sio Kagera tu, inshot Tanzania inaongoza kwa uchawi Africa ikifatiwa na Malawi na Msumbiji kwa mbali. Nigeria cha mtoto
Miaka ya 2006 walishawahi kutuma katuni yao moja nyumbani kwangu lakini ili-surrender ikakimbia yenyewe; na wakati huo nilikuwa hata sijaanza kwenda KanisaniWakitembea na Mume wa Mtu mpaka afukuzwe na kazi....
DawascoIla nasikia watoto wa huko watamu ?
Daah ni wote sio au hadi vijijini ndichi ndio kuna DAWASCODawasco
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]bashe95 [emoji1]
98% dawasco ....... nimeishi huko 2015-2022Daah ni wote sio au hadi vijijini ndichi ndio kuna DAWASCO
Ila sijawahi kusumbuliwa na issues za kichawi, labda wao kwa wao pia wanawaogopa sana watu wa mikoa ya mbali98% dawasco ....... nimeishi huko 2015-2022
Ni watu wa mila,matambiko,miiko.madawa ya mapenzi,nkIla sijawahi kusumbuliwa na issues za kichawi, labda wao kwa wao pia wanawaogopa sana watu wa mikoa ya mbali