Wamekuwepo kwa miaka mingapi?Ngorongoro ni hifadhi ya kitaifa, haiwezekani watu wamejaa humo ndani kama uko kariakoo
Taifa linapata Kodi nyingi za utalii, inatumika kwa maendeleo ya wote. Na wale waliopisha migodi, Kodi inatumika kwa maendeleo ya wote. Waliopisha mabarabara, ni kwa faida ya wote.
Haiwezekani,Hili sio jambo la ajabu, Sasa hivi Kuna watu wanapisha SGR, Kuna watu wanahamishwa kupisha upanuzi wa barabara, ujenzi wa sekondari, vyuo vikuu, stendi ya magufuli watu waliipisha, stendi ya nyamhongolo mwanza, ujenzi wa migodi. Upanuzi wa viwanja vya ndege mwanza na Dsm, watu waliipisha, ujenzi wa makao makuu Dodoma, watu wamepisha na wanafidiwa
Hata nyie ni sehemu ya Tanzania, mnahamishwa na mnafidiwa. Hapo Kuna maslahi ya umma.
Hayo ni yako, kama mwarabu ana maslahi mapana ya nchi sawa kabisa.Umetaja kuhamishwa kupisha miradi ya maendeleo.
Hawa hawahamishwi kupisha mradi wa maendeleo.
Bali wanafukuzwa kupisha waarabu wa Oman wakawinde na kubeba wanyama hai.
Hiyo ndio tofauti iliyopo.
Umesema vizuri, kuna mliohamishwa kupisha SGR, kuna waliohamishwa kupisha upanuzi wa barabara.
Sasa tuambieni, Wamasai wanampisha nani?
Huwezi halalisha Uangamizaji wa Jamii kwa porojo za ISIS.Wanachofanya wamasai ni "genocide" dhidi ya wanyama na mazingira wanayoishi. Wanachofanya ni sawa na Kila walichofanya ISIS kuharibu maeneo ya urithi wa dunia kwa kuyapiga mabomu. Wamasai wao wanaharibu urithi wa dunia kwa kujaza mbuzi, kondoo, bata, kuku, ng'ombe, punda, wanaharibu vyanzo vya maji na malisho.
Non sequitur .Akili zako bado nzito, utaelewa baadae
Kuna Waru wana P.h.d na watukauambia hivi...
umeandika kama litoto lijinga, wewe ni ljjingaHii serikali imekuwa ya kisengerema sana.yaani wanathamini mwekezeji uchwara aje aanze kuwinda wanyama wetu.kumbe ile ziara ya royo to a Dubai ndio walikubaliana haya kuja kufukuza watu ili wanufaike waarabu.waananchi hatutakubali.lazima tukiwashe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndio akili yako finyu tulivunjiwa nyumba zetu kupisha miundo mbinu na hao wamasai ni watanzania na ardhi ni mali ya serikali na lengo ni kutunza mbuga za wanyama kwa maslahi ya umma wahame tu kama wengine anavyohamishwa.
Hatukubali lazma tukiwashe,uko nyuma ya keyboard wenzako wanavunjwa ngoko huko.Hii serikali imekuwa ya kisengerema sana.yaani wanathamini mwekezeji uchwara aje aanze kuwinda wanyama wetu.kumbe ile ziara ya royo to a Dubai ndio walikubaliana haya kuja kufukuza watu ili wanufaike waarabu.waananchi hatutakubali.lazima tukiwashe.
Sent using Jamii Forums mobile app
mwambie yeye aende oman halafu tuone kama mwarabu anaweza fukuzwa ili mbongo ajenge hotel?Binadamu wanatakiwa kupisha kwa lazima mradi wa kijamii na sio wawekezaji.
Na ikiwa ni wawekezaji basi lazima pawe na mazungumzo hadi upatikane muafaka.
kwahiyo ni maliasili [emoji1]Wamasai ni sehemu ya utalii wee msukule wa walamba asali…
Eti wanajifanya kudinda kwa kuamini maneno ya wazushi..Hili sio jambo la ajabu, sasa hivi kuna watu wanapisha SGR, kuna watu wanahamishwa kupisha upanuzi wa barabara, ujenzi wa sekondari, vyuo vikuu, stendi ya magufuli watu waliipisha, stendi ya nyamhongolo mwanza, ujenzi wa migodi.
Upanuzi wa viwanja vya ndege Mwanza na DSM, watu waliipisha, ujenzi wa makao makuu Dodoma, watu wamepisha na wanafidiwa.
Hata nyie ni sehemu ya Tanzania, mnahamishwa na mnafidiwa. Hapo kuna maslahi ya umma.
The Land Act.
The Village Land Act.
Land Acquision Act.
Zinasema ardhi ni Mali ya umma wa Tanzania, sio Mali ya wamasai. Mdhamini ni Rais, Umma ukihitaji ardhi, basi anayenyanganywa anafidiwa.
Umma una maslahi na utalii, unawaondoa, na unawafidia.
Wagogo wangekataa kutoa ardhi, ikulu ya chamwino ingejengwa? Mloganzila Ile hospitali ingejengwa? Bugando Hospitali ingejengwa? Hii miji mikubwa inapimwa na kupendez kwa sababu wakazi wa asili walikubali kuachia ardhi.
Kwa mujibu wa sheria sisi ni wapangaji katika ardhi, ndio maana tunalipa Kodi ya ardhi Kila mwaka. Mmiliki wa ardhi ni umma, Rais ni mdhamini. Umma umeamua kuwapa eneo jingine.
Hizi hifadhi mnazosikia maeneo mengine ya nchi, sisi pia tulihamishwa, hata Bunda na Busega, Kuna kipande kidogo sana ambacho watahamishwa ili kupisha njia ya wanyama kunywa maji ndani ya ziwa Victoria.
Haiwezekani, Ngorongoro iwe kwa ajili ya wanyama! Binadamu watoke humo
View attachment 2256752