Wakazi wa Ngorongoro, tunawakumbusha tu kwamba hata sisi wa maeneo mengine ya Tanzania, kama Kuna maslahi ya umma, tulihamishwa

Wakazi wa Ngorongoro, tunawakumbusha tu kwamba hata sisi wa maeneo mengine ya Tanzania, kama Kuna maslahi ya umma, tulihamishwa

Ngorongoro ni hifadhi ya kitaifa, haiwezekani watu wamejaa humo ndani kama uko kariakoo

Taifa linapata Kodi nyingi za utalii, inatumika kwa maendeleo ya wote. Na wale waliopisha migodi, Kodi inatumika kwa maendeleo ya wote. Waliopisha mabarabara, ni kwa faida ya wote.
Wamekuwepo kwa miaka mingapi?

Sababu kuu za kuwahamisha ni zipi?

Toa sababu 5
 
Hili sio jambo la ajabu, Sasa hivi Kuna watu wanapisha SGR, Kuna watu wanahamishwa kupisha upanuzi wa barabara, ujenzi wa sekondari, vyuo vikuu, stendi ya magufuli watu waliipisha, stendi ya nyamhongolo mwanza, ujenzi wa migodi. Upanuzi wa viwanja vya ndege mwanza na Dsm, watu waliipisha, ujenzi wa makao makuu Dodoma, watu wamepisha na wanafidiwa

Hata nyie ni sehemu ya Tanzania, mnahamishwa na mnafidiwa. Hapo Kuna maslahi ya umma.
Haiwezekani,
Haiwezekani,
Huwezi lInganisha hayo, huwezi kuhalalisha GENOCIDE
GENOCIDE sio Upanuzi wa barabara, GENOCIDE ni GENOCIDE.
 
Umetaja kuhamishwa kupisha miradi ya maendeleo.

Hawa hawahamishwi kupisha mradi wa maendeleo.

Bali wanafukuzwa kupisha waarabu wa Oman wakawinde na kubeba wanyama hai.

Hiyo ndio tofauti iliyopo.
Hayo ni yako, kama mwarabu ana maslahi mapana ya nchi sawa kabisa.
 
Haiwezekani,
Haiwezekani,
Huwezi lInganisha hayo, huwezi kuhalalisha GENOCIDE
GENOCIDE sio Upanuzi wa barabara, GENOCIDE ni GENOCIDE.
 
Kwa hili nipo tayari wawapeleke hao wanyama UARABUNI na wengine kama hapatoshi huko, wakimaliza World Cup QUATAR wapelekwe kwenye yale maviwanja tuwaangalie, lakini hili la kuhamisha Jamii nzima/hata iwe robo NALIKATAA katu katu.
Stop this Genocidal thought.
 
Wanachofanya wamasai ni "genocide" dhidi ya wanyama na mazingira wanayoishi. Wanachofanya ni sawa na Kila walichofanya ISIS kuharibu maeneo ya urithi wa dunia kwa kuyapiga mabomu. Wamasai wao wanaharibu urithi wa dunia kwa kujaza mbuzi, kondoo, bata, kuku, ng'ombe, punda, wanaharibu vyanzo vya maji na malisho.
Huwezi halalisha Uangamizaji wa Jamii kwa porojo za ISIS.
Huwezi linganisha maovu ya hao ISIS na Wamasai. Haiwezekani.

Labda useme Serikali yetu ndio inashadidia hayo. Ya Kuangamiza.

GENOCIDE IS GENOCIDE....Fullstop.
 
Hii serikali imekuwa ya kisengerema sana.yaani wanathamini mwekezeji uchwara aje aanze kuwinda wanyama wetu.kumbe ile ziara ya royo to a Dubai ndio walikubaliana haya kuja kufukuza watu ili wanufaike waarabu.waananchi hatutakubali.lazima tukiwashe.

Sent using Jamii Forums mobile app
umeandika kama litoto lijinga, wewe ni ljjinga
 
Hiyo ndio akili yako finyu tulivunjiwa nyumba zetu kupisha miundo mbinu na hao wamasai ni watanzania na ardhi ni mali ya serikali na lengo ni kutunza mbuga za wanyama kwa maslahi ya umma wahame tu kama wengine anavyohamishwa.

Wamasai ni sehemu ya utalii wee msukule wa walamba asali…
 
Hii serikali imekuwa ya kisengerema sana.yaani wanathamini mwekezeji uchwara aje aanze kuwinda wanyama wetu.kumbe ile ziara ya royo to a Dubai ndio walikubaliana haya kuja kufukuza watu ili wanufaike waarabu.waananchi hatutakubali.lazima tukiwashe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatukubali lazma tukiwashe,uko nyuma ya keyboard wenzako wanavunjwa ngoko huko.
 
Eti Bunda kupisha wanyama kwenda kunywa maji hivi unakua kwa mwezi ni wanyama wangapi wana pita kwenda huko lake Victoria kunywa maji?kwa taarifa yako sasa kwa mwaka hawafiki hapa tembo 20 wanaoenda kunywa maji lake Victoria kupitia kijiji cha nyatwali au ndabaka gate.so hizo ni propaganda za kijijga nia hayo maeneo ya nyatwali bunda kuna matajili wengi saana wanayataka kujenga campsite na hotel za kitalii hawana maeneo yaani uhamishi kijijin kwa tembo 10?na hao tembo wanafuata kula matikiki maji ya wanakijiji sio maji,kwa nini wasijenge bwawa la maji ndani ya serengeti ili wanyama wakanywa maji ndani ya hifadhi?
 
Binadamu wanatakiwa kupisha kwa lazima mradi wa kijamii na sio wawekezaji.

Na ikiwa ni wawekezaji basi lazima pawe na mazungumzo hadi upatikane muafaka.
mwambie yeye aende oman halafu tuone kama mwarabu anaweza fukuzwa ili mbongo ajenge hotel?
 
Raia wa nchi hii kama Taifa tumeshapotea siku nyingi sana. Yule anayetakiwa mtetezi wa wananchi ndio muoneaji, mporaji na muuaji wa wananchi.

Wale wanaotakiwa kusimama pamoja na wahanga nao wamegeuka vuvuzela la waoneji, wanyang'anyi na wachumia tumbo kwa jina la uwekezezaji mara kufungua nchi utadhani kuna makufuli yaliifunga.
 
Hili sio jambo la ajabu, sasa hivi kuna watu wanapisha SGR, kuna watu wanahamishwa kupisha upanuzi wa barabara, ujenzi wa sekondari, vyuo vikuu, stendi ya magufuli watu waliipisha, stendi ya nyamhongolo mwanza, ujenzi wa migodi.

Upanuzi wa viwanja vya ndege Mwanza na DSM, watu waliipisha, ujenzi wa makao makuu Dodoma, watu wamepisha na wanafidiwa.

Hata nyie ni sehemu ya Tanzania, mnahamishwa na mnafidiwa. Hapo kuna maslahi ya umma.

The Land Act.
The Village Land Act.
Land Acquision Act.
Zinasema ardhi ni Mali ya umma wa Tanzania, sio Mali ya wamasai. Mdhamini ni Rais, Umma ukihitaji ardhi, basi anayenyanganywa anafidiwa.

Umma una maslahi na utalii, unawaondoa, na unawafidia.

Wagogo wangekataa kutoa ardhi, ikulu ya chamwino ingejengwa? Mloganzila Ile hospitali ingejengwa? Bugando Hospitali ingejengwa? Hii miji mikubwa inapimwa na kupendez kwa sababu wakazi wa asili walikubali kuachia ardhi.

Kwa mujibu wa sheria sisi ni wapangaji katika ardhi, ndio maana tunalipa Kodi ya ardhi Kila mwaka. Mmiliki wa ardhi ni umma, Rais ni mdhamini. Umma umeamua kuwapa eneo jingine.

Hizi hifadhi mnazosikia maeneo mengine ya nchi, sisi pia tulihamishwa, hata Bunda na Busega, Kuna kipande kidogo sana ambacho watahamishwa ili kupisha njia ya wanyama kunywa maji ndani ya ziwa Victoria.

Haiwezekani, Ngorongoro iwe kwa ajili ya wanyama! Binadamu watoke humo
View attachment 2256752
Eti wanajifanya kudinda kwa kuamini maneno ya wazushi..

Maelfu ya watu wamebomolewa Majumba yao Kwa ajili ya maslahi ya Nchi kama barabara sembuse Masai?
 
Back
Top Bottom