Wakazi wa Rufiji Hamjamtendea haki Rais Samia kwa kutopeleka watoto wenu Chuo cha VETA kilichojengwa kwa Mabilioni Rufiji, mkuu wa wilaya alalamika

Watoto wako madrasa wanasoma Quran, na wazazi Wao wameshawatolea pesa.
Watu wa rufuji na pwani
Halafu baadaye ndio wa kwanza kulalamika kuwa mfumo Kristo unapendelea wakristo waliosoma VETA Rufiji kwenye ajira au tenda Rufiji wakati wenyewe hawataki kwenda kusoma

Raisi Samia anajitahidi kuwasa8dia hawataki kusaidika halafu baadaye wanaleta usumbufu kwa serikali na makelele ya kuonewa na kukandamizwa toka uhuru na mfumo Kristo

Haiko sawa Wakkaitaa kusoma hicho chuo wakristo watajazana wala sio siri

Kama hawataki basi wabaki madrasa huko wakariri aya za kuruani tu shauri yao

Mama Samia na Mbunge wa Rufiji mnaona hilo tatizo la wana Rufiji kuwavunja moyo na ku to appreciate kazi mnayofanya kwa kutopeleka vijana wao kusoma ?
 
Halafu baadaye ndio wa kwanza kukalamika kuwa mfumo Kristo unapendelea wakristo waliosoma VETA Rufiji kwenye ajira au tenda Rufiji wakati wenyewe hawataki kwenda kusoma

Raisi Samia anajitahidi kuwasa8dia hawataki kusaidika halafu baadaye wanaleta usumbufu kwa serikali na makelele ya kuonewa na kukandamizwa toka uhuru na mfumo Kristo

Haiko sawa Wakkaitaa kusoma hicho chuo wakristo watajazana wala sio siri

Kama hawataki basi wabaki madrasa huko wakariri aya za kuruani tu shauri yao

Mama Samia na Mbunge wa Rufiji mnaona hilo tatizo la wana Rufiji kuwavunja moyo na ku to appreciate kazi mnayofanya kwa kutopeleka vijana wao kusoma ?
Kupitia tamisemi serikali inabidi itoe seminar za elimu, AFYA ya uzazi, kilimo, ulinzi shirikishi, za mara Kwa mara Kwa Wananchi wa Kanda ya pwani (Tanga,pwani, Lindi, mtwara).
Hawa watu 👆 Wana Mazoea na tamaduni za kijinga sana
 
Halafu baadaye ndio wa kwanza kulalamika kuwa mfumo Kristo unapendelea wakristo waliosoma VETA Rufiji kwenye ajira au tenda Rufiji wakati wenyewe hawataki kwenda kusoma

Raisi Samia anajitahidi kuwasa8dia hawataki kusaidika halafu baadaye wanaleta usumbufu kwa serikali na makelele ya kuonewa na kukandamizwa toka uhuru na mfumo Kristo

Haiko sawa Wakkaitaa kusoma hicho chuo wakristo watajazana wala sio siri

Kama hawataki basi wabaki madrasa huko wakariri aya za kuruani tu shauri yao

Mama Samia na Mbunge wa Rufiji mnaona hilo tatizo la wana Rufiji kuwavunja moyo na ku to appreciate kazi mnayofanya kwa kutopeleka vijana wao kusoma ?
Chuo kina wiki tangu kifunguliwe ulitarajia watu wajae kwani wanapangiwa kama shule , ficha ujinga wako kama uliona uandikishaji wa watoto kwenye shule mpya ulivyokuwa mdogo kwa mwaka kuna shule huko kilimanjaro hazina watu kabisa then unaropoka tu .

Ulitaraji wafungue watu wajae hata hospital mpya huwezi kukuta watu wapo kiasi kikubwa ...Rufiji ipo scatttered watu ni wachache ...sio rahisi kuanza kwa haraka wakajaa watoto washazoea kwenda sehemu nyingine.
 
Nilimsikia mkuu wa Wilaya huko akilalamika kuwa alipita kuangalia ujenzi wa chuo wakati kinajengwa akahoji mafundi mbalimbali waliokuwepo site kuanzia wa ujenzi, umeme, kuezeka, mafundi bomba, mafundi chuma nk akakuta wote wanatoka mikoa tofauti tofauti nje ya Rufiji. Alipohoji kwanini akaambiwa hapa Rufiji hawapo ndio maana tumewaagizia huko ikamuuma.

Sasa akafika chuo cha VETA kipya kimejengwa kwa mabilioni ili wana Rufiji nao wawe na chuo Chao cha ufundi kizuri akakuta pale waliojiunga kozi ya umeme wa majumbani na viwandani wako 14 tu. Na kati ya hao 14 ni wawili tu ndio wanatoka Rufiji. Mkuu wa wilaya na mkuu wa chuo wakalalamikia wakazi kuwa mkoa wa Pwani ndio unaongoza uwekezaji kwa viwanda Tanzania kwa sasa na wanahitaji mafundi umeme wa viwandani lakini wenyeji wa Rufiji hawachangamkii kupeleka vijana hicho chuo kilichoko kwao na kililetwa kwao ili nao wapate Elimu ya ufundi wasisingizie umbali au kutengwa kimaendeleo ya vyuo.

Binafsi iliniuma sana mabilioni yote yamewekezwa kujenga kile chuo halafu response ya wananchi inakuwa mbovu.

Yaani hawataki ina masna kama hawasomi VETA wanataka hata miradi ya serikali Rufiji watu baki toka mikoa mingine wenye vyeti vya VETA ndio waende kufanya toka mikoa mingine.Hii kitu inaumiza.Watu wa Rufiji wajitafakari

Watu wa Rufiji hamjamtendea haki Raisi Samia kwa kweli Nami naungaba na mkuu wa wikaya

Mnamvunja moyo Raisi Hebu pelekeni vijana kusoma hicho chuo
Ingekuwa wanafundisha na kuhifadhi kifuani mambo ya Mwenyezi Mungu pasingetosha hapo
 
Hivi ninyi watu uwa ni wapumbavu sana !
Kwahiyo wanasoma kwasababu ya SAMIA au kwasababu ya Maendeleo yao!?

Hawa wakuu wa wilaya wana akili kweli?
Mtu unaitwa Baba unasema kwamba hawajamtendea haki Samia? Kwani zile si ni kodi za Watanzania ?

Tukomoshe kujipendekeza Huku

Britanicca
Hao ni makada wa CCM na sifa kubwa ya kuwa mwanaccm ni kujitoa akili.
 
Attachments

  • JamiiForums1389173211.jpeg
    JamiiForums1389173211.jpeg
    25.7 KB · Views: 1
Hivi ninyi watu uwa ni wapumbavu sana !
Kwahiyo wanasoma kwasababu ya SAMIA au kwasababu ya Maendeleo yao!?

Hawa wakuu wa wilaya wana akili kweli?
Mtu unaitwa Baba unasema kwamba hawajamtendea haki Samia? Kwani zile si ni kodi za Watanzania ?

Tukomoshe kujipendekeza Huku

Britanicca
Kama insuma chomoa
 
Nilimsikia mkuu wa Wilaya huko akilalamika kuwa alipita kuangalia ujenzi wa chuo wakati kinajengwa akahoji mafundi mbalimbali waliokuwepo site kuanzia wa ujenzi, umeme, kuezeka, mafundi bomba, mafundi chuma nk akakuta wote wanatoka mikoa tofauti tofauti nje ya Rufiji. Alipohoji kwanini akaambiwa hapa Rufiji hawapo ndio maana tumewaagizia huko ikamuuma.

Sasa akafika chuo cha VETA kipya kimejengwa kwa mabilioni ili wana Rufiji nao wawe na chuo Chao cha ufundi kizuri akakuta pale waliojiunga kozi ya umeme wa majumbani na viwandani wako 14 tu. Na kati ya hao 14 ni wawili tu ndio wanatoka Rufiji. Mkuu wa wilaya na mkuu wa chuo wakalalamikia wakazi kuwa mkoa wa Pwani ndio unaongoza uwekezaji kwa viwanda Tanzania kwa sasa na wanahitaji mafundi umeme wa viwandani lakini wenyeji wa Rufiji hawachangamkii kupeleka vijana hicho chuo kilichoko kwao na kililetwa kwao ili nao wapate Elimu ya ufundi wasisingizie umbali au kutengwa kimaendeleo ya vyuo.

Binafsi iliniuma sana mabilioni yote yamewekezwa kujenga kile chuo halafu response ya wananchi inakuwa mbovu.

Yaani hawataki ina masna kama hawasomi VETA wanataka hata miradi ya serikali Rufiji watu baki toka mikoa mingine wenye vyeti vya VETA ndio waende kufanya toka mikoa mingine.Hii kitu inaumiza.Watu wa Rufiji wajitafakari

Watu wa Rufiji hamjamtendea haki Raisi Samia kwa kweli Nami naungaba na mkuu wa wikaya

Mnamvunja moyo Raisi Hebu pelekeni vijana kusoma hicho chuo
Havitakiwi kuwa Vyuo vya watu wa Wilaya husika ,inatakiwa vitangazwe Kitaifa Ili Wananchi kutoka kila pande waje kusoma.

Pia uhamasishaji wa Wananchi kuona umuhimu wa Elimu uendelee
 
Ingekuwa wanafundisha na kuhifadhi kifuani mambo ya Mwenyezi Mungu pasingetosha hapo
Uko sahihi kingekuwa Chuo cha madrasa kingejaa hadi wanalala nje chini ila VETA hawataki
Very sad
 
Kilimanjaro shule zinakosa wanafunzi kwa sababu population imeshuka sana ukienda huko uchagani na upareni kuna nyumba nyingi sana ni magofu hazina watu ni kawaida kukuta mtaa una wazee tu kijana ni mmoja

Hata matokeo ya sensa ya 2022 mkoa wa kilimanjaro ndo mkoa population yake imekua kidogo sana kwa kipindi cha 2012 na 2022

Ni tofauti na rufiji kuna watu ila hawataki elimu ila wamejikita kwenye elimu ya dini
 
Nilimsikia mkuu wa Wilaya huko akilalamika kuwa alipita kuangalia ujenzi wa chuo wakati kinajengwa akahoji mafundi mbalimbali waliokuwepo site kuanzia wa ujenzi, umeme, kuezeka, mafundi bomba, mafundi chuma nk akakuta wote wanatoka mikoa tofauti tofauti nje ya Rufiji. Alipohoji kwanini akaambiwa hapa Rufiji hawapo ndio maana tumewaagizia huko ikamuuma.

Sasa akafika chuo cha VETA kipya kimejengwa kwa mabilioni ili wana Rufiji nao wawe na chuo Chao cha ufundi kizuri akakuta pale waliojiunga kozi ya umeme wa majumbani na viwandani wako 14 tu. Na kati ya hao 14 ni wawili tu ndio wanatoka Rufiji. Mkuu wa wilaya na mkuu wa chuo wakalalamikia wakazi kuwa mkoa wa Pwani ndio unaongoza uwekezaji kwa viwanda Tanzania kwa sasa na wanahitaji mafundi umeme wa viwandani lakini wenyeji wa Rufiji hawachangamkii kupeleka vijana hicho chuo kilichoko kwao na kililetwa kwao ili nao wapate Elimu ya ufundi wasisingizie umbali au kutengwa kimaendeleo ya vyuo.

Binafsi iliniuma sana mabilioni yote yamewekezwa kujenga kile chuo halafu response ya wananchi inakuwa mbovu.

Yaani hawataki ina masna kama hawasomi VETA wanataka hata miradi ya serikali Rufiji watu baki toka mikoa mingine wenye vyeti vya VETA ndio waende kufanya toka mikoa mingine.Hii kitu inaumiza.Watu wa Rufiji wajitafakari

Watu wa Rufiji hamjamtendea haki Raisi Samia kwa kweli Nami naungaba na mkuu wa wikaya

Mnamvunja moyo Raisi Hebu pelekeni vijana kusoma hicho chuo
KUSOMA NI KUONGEZA WAJINGA KWANI WALIOSOMA NI WAJINGA SANA
 
Kivipi nawakati VETA zipo kila mkoa mtu aache kusoma VETA iliyoko mbeya aje Rufiji
Ndivyo ilivyo hata Sasa kwa sababu VETA zinatofautiana kozi,vifaa na uwezo wa Walimu na uzoefu.

VETA kubwa kama Changombe,Mbeya,Dakawa,Mwanza nk huwezi pata nafasi kirahisi
 
Kivipi nawakati VETA zipo kila mkoa mtu aache kusoma VETA iliyoko mbeya aje Rufiji
Hiyo ilijengwa kwa ajili ya watu wa Rufiji naona wanaisusa yaani nimekubali uraisi kazi ngumu

Akiuliza kero gani mnazo iwe mbunge nk anajibiwa tupate chuo cha ufundi VETA

Anajenga chuo cha VETA kwa mabilioni hawaendi

Raisi Mama Samia kwa moyo wangu wote huwa kuna vingine huwa nakupinga lakini kwa hili kwa moyo wote nakupa pole kwa kazi ngumu ambayo haiwi appreciated na watu wa Rufiji

Pole sana Mama
 
Taratibu tafadhali ,Mfano umeenda kujisaidia haja kubwa choo kizuri cha soko au hospitali vilivyojengwa na Mama Samia utaacha kumshukuru ukishamaliza kujisaudia haja kubwa?
Kwanza hakuna choo Samia amejenga, fedha iliyotumika ni kodi zetu na mpango wa kukijenga ulikuwa umeandaliwa.
 
Nilimsikia mkuu wa Wilaya huko akilalamika kuwa alipita kuangalia ujenzi wa chuo wakati kinajengwa akahoji mafundi mbalimbali waliokuwepo site kuanzia wa ujenzi, umeme, kuezeka, mafundi bomba, mafundi chuma nk akakuta wote wanatoka mikoa tofauti tofauti nje ya Rufiji. Alipohoji kwanini akaambiwa hapa Rufiji hawapo ndio maana tumewaagizia huko ikamuuma.

Sasa akafika chuo cha VETA kipya kimejengwa kwa mabilioni ili wana Rufiji nao wawe na chuo Chao cha ufundi kizuri akakuta pale waliojiunga kozi ya umeme wa majumbani na viwandani wako 14 tu. Na kati ya hao 14 ni wawili tu ndio wanatoka Rufiji. Mkuu wa wilaya na mkuu wa chuo wakalalamikia wakazi kuwa mkoa wa Pwani ndio unaongoza uwekezaji kwa viwanda Tanzania kwa sasa na wanahitaji mafundi umeme wa viwandani lakini wenyeji wa Rufiji hawachangamkii kupeleka vijana hicho chuo kilichoko kwao na kililetwa kwao ili nao wapate Elimu ya ufundi wasisingizie umbali au kutengwa kimaendeleo ya vyuo.

Binafsi iliniuma sana mabilioni yote yamewekezwa kujenga kile chuo halafu response ya wananchi inakuwa mbovu.

Yaani hawataki ina masna kama hawasomi VETA wanataka hata miradi ya serikali Rufiji watu baki toka mikoa mingine wenye vyeti vya VETA ndio waende kufanya toka mikoa mingine.Hii kitu inaumiza.Watu wa Rufiji wajitafakari

Watu wa Rufiji hamjamtendea haki Raisi Samia kwa kweli Nami naungaba na mkuu wa wikaya

Mnamvunja moyo Raisi Hebu pelekeni vijana kusoma hicho chuo

Ukiona hivyo maana yake kuna msingi mbovu wa elimu huko Rufiji. Kwamba elimu ya msingi ni mbaya kiasi cha kutoweza kutoa wahitimu wenye sifa za kujiunga na VETA.

Kilichotokea Rufiji iwe fundisho kwa maeneo mengine. Kwa mfano nimesikia baadhi ya maeneo wanadai wajengewe vyuo vikuu. Mtazamo wao ni kwamba chuo kikuu kikijengwa wanakijiji wa eneo husika watapata nafasi za masomo. Ushauri wangu ni kwamba eneo linaloomba chuo cha ngazi fulani ni lazima liwe limejitosheleza ktk ngazi ya chini yake.

Serikali nayo inapaswa kulaumiwa. Sio sahihi kuwabwagia wananchi chuo cha VETA wakati elimu ya msingi huko Rufiji iko taabani. Ujenzi huo ulipaswa kwenda sambamba na kuandaa wanafunzi watakaojiunga na chuo hicho.
 
Back
Top Bottom