KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Hata 57Matibabu bure Ila elimu ya kulipia Million ili mkasome Madrasa na muende Chuo mkiwa na Miaka 7?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata 57Matibabu bure Ila elimu ya kulipia Million ili mkasome Madrasa na muende Chuo mkiwa na Miaka 7?
Miaka 7 mtoto yupo ChuoHata 57
Halafu baadaye ndio wa kwanza kulalamika kuwa mfumo Kristo unapendelea wakristo waliosoma VETA Rufiji kwenye ajira au tenda Rufiji wakati wenyewe hawataki kwenda kusomaWatoto wako madrasa wanasoma Quran, na wazazi Wao wameshawatolea pesa.
Watu wa rufuji na pwani
University of Islamic KnowledgeMiaka 7 mtoto yupo Chuo
Kupitia tamisemi serikali inabidi itoe seminar za elimu, AFYA ya uzazi, kilimo, ulinzi shirikishi, za mara Kwa mara Kwa Wananchi wa Kanda ya pwani (Tanga,pwani, Lindi, mtwara).Halafu baadaye ndio wa kwanza kukalamika kuwa mfumo Kristo unapendelea wakristo waliosoma VETA Rufiji kwenye ajira au tenda Rufiji wakati wenyewe hawataki kwenda kusoma
Raisi Samia anajitahidi kuwasa8dia hawataki kusaidika halafu baadaye wanaleta usumbufu kwa serikali na makelele ya kuonewa na kukandamizwa toka uhuru na mfumo Kristo
Haiko sawa Wakkaitaa kusoma hicho chuo wakristo watajazana wala sio siri
Kama hawataki basi wabaki madrasa huko wakariri aya za kuruani tu shauri yao
Mama Samia na Mbunge wa Rufiji mnaona hilo tatizo la wana Rufiji kuwavunja moyo na ku to appreciate kazi mnayofanya kwa kutopeleka vijana wao kusoma ?
Chuo kina wiki tangu kifunguliwe ulitarajia watu wajae kwani wanapangiwa kama shule , ficha ujinga wako kama uliona uandikishaji wa watoto kwenye shule mpya ulivyokuwa mdogo kwa mwaka kuna shule huko kilimanjaro hazina watu kabisa then unaropoka tu .Halafu baadaye ndio wa kwanza kulalamika kuwa mfumo Kristo unapendelea wakristo waliosoma VETA Rufiji kwenye ajira au tenda Rufiji wakati wenyewe hawataki kwenda kusoma
Raisi Samia anajitahidi kuwasa8dia hawataki kusaidika halafu baadaye wanaleta usumbufu kwa serikali na makelele ya kuonewa na kukandamizwa toka uhuru na mfumo Kristo
Haiko sawa Wakkaitaa kusoma hicho chuo wakristo watajazana wala sio siri
Kama hawataki basi wabaki madrasa huko wakariri aya za kuruani tu shauri yao
Mama Samia na Mbunge wa Rufiji mnaona hilo tatizo la wana Rufiji kuwavunja moyo na ku to appreciate kazi mnayofanya kwa kutopeleka vijana wao kusoma ?
Ingekuwa wanafundisha na kuhifadhi kifuani mambo ya Mwenyezi Mungu pasingetosha hapoNilimsikia mkuu wa Wilaya huko akilalamika kuwa alipita kuangalia ujenzi wa chuo wakati kinajengwa akahoji mafundi mbalimbali waliokuwepo site kuanzia wa ujenzi, umeme, kuezeka, mafundi bomba, mafundi chuma nk akakuta wote wanatoka mikoa tofauti tofauti nje ya Rufiji. Alipohoji kwanini akaambiwa hapa Rufiji hawapo ndio maana tumewaagizia huko ikamuuma.
Sasa akafika chuo cha VETA kipya kimejengwa kwa mabilioni ili wana Rufiji nao wawe na chuo Chao cha ufundi kizuri akakuta pale waliojiunga kozi ya umeme wa majumbani na viwandani wako 14 tu. Na kati ya hao 14 ni wawili tu ndio wanatoka Rufiji. Mkuu wa wilaya na mkuu wa chuo wakalalamikia wakazi kuwa mkoa wa Pwani ndio unaongoza uwekezaji kwa viwanda Tanzania kwa sasa na wanahitaji mafundi umeme wa viwandani lakini wenyeji wa Rufiji hawachangamkii kupeleka vijana hicho chuo kilichoko kwao na kililetwa kwao ili nao wapate Elimu ya ufundi wasisingizie umbali au kutengwa kimaendeleo ya vyuo.
Binafsi iliniuma sana mabilioni yote yamewekezwa kujenga kile chuo halafu response ya wananchi inakuwa mbovu.
Yaani hawataki ina masna kama hawasomi VETA wanataka hata miradi ya serikali Rufiji watu baki toka mikoa mingine wenye vyeti vya VETA ndio waende kufanya toka mikoa mingine.Hii kitu inaumiza.Watu wa Rufiji wajitafakari
Watu wa Rufiji hamjamtendea haki Raisi Samia kwa kweli Nami naungaba na mkuu wa wikaya
Mnamvunja moyo Raisi Hebu pelekeni vijana kusoma hicho chuo
Hao ni makada wa CCM na sifa kubwa ya kuwa mwanaccm ni kujitoa akili.Hivi ninyi watu uwa ni wapumbavu sana !
Kwahiyo wanasoma kwasababu ya SAMIA au kwasababu ya Maendeleo yao!?
Hawa wakuu wa wilaya wana akili kweli?
Mtu unaitwa Baba unasema kwamba hawajamtendea haki Samia? Kwani zile si ni kodi za Watanzania ?
Tukomoshe kujipendekeza Huku
Britanicca
Kama insuma chomoaHivi ninyi watu uwa ni wapumbavu sana !
Kwahiyo wanasoma kwasababu ya SAMIA au kwasababu ya Maendeleo yao!?
Hawa wakuu wa wilaya wana akili kweli?
Mtu unaitwa Baba unasema kwamba hawajamtendea haki Samia? Kwani zile si ni kodi za Watanzania ?
Tukomoshe kujipendekeza Huku
Britanicca
Havitakiwi kuwa Vyuo vya watu wa Wilaya husika ,inatakiwa vitangazwe Kitaifa Ili Wananchi kutoka kila pande waje kusoma.Nilimsikia mkuu wa Wilaya huko akilalamika kuwa alipita kuangalia ujenzi wa chuo wakati kinajengwa akahoji mafundi mbalimbali waliokuwepo site kuanzia wa ujenzi, umeme, kuezeka, mafundi bomba, mafundi chuma nk akakuta wote wanatoka mikoa tofauti tofauti nje ya Rufiji. Alipohoji kwanini akaambiwa hapa Rufiji hawapo ndio maana tumewaagizia huko ikamuuma.
Sasa akafika chuo cha VETA kipya kimejengwa kwa mabilioni ili wana Rufiji nao wawe na chuo Chao cha ufundi kizuri akakuta pale waliojiunga kozi ya umeme wa majumbani na viwandani wako 14 tu. Na kati ya hao 14 ni wawili tu ndio wanatoka Rufiji. Mkuu wa wilaya na mkuu wa chuo wakalalamikia wakazi kuwa mkoa wa Pwani ndio unaongoza uwekezaji kwa viwanda Tanzania kwa sasa na wanahitaji mafundi umeme wa viwandani lakini wenyeji wa Rufiji hawachangamkii kupeleka vijana hicho chuo kilichoko kwao na kililetwa kwao ili nao wapate Elimu ya ufundi wasisingizie umbali au kutengwa kimaendeleo ya vyuo.
Binafsi iliniuma sana mabilioni yote yamewekezwa kujenga kile chuo halafu response ya wananchi inakuwa mbovu.
Yaani hawataki ina masna kama hawasomi VETA wanataka hata miradi ya serikali Rufiji watu baki toka mikoa mingine wenye vyeti vya VETA ndio waende kufanya toka mikoa mingine.Hii kitu inaumiza.Watu wa Rufiji wajitafakari
Watu wa Rufiji hamjamtendea haki Raisi Samia kwa kweli Nami naungaba na mkuu wa wikaya
Mnamvunja moyo Raisi Hebu pelekeni vijana kusoma hicho chuo
Uko sahihi kingekuwa Chuo cha madrasa kingejaa hadi wanalala nje chini ila VETA hawatakiIngekuwa wanafundisha na kuhifadhi kifuani mambo ya Mwenyezi Mungu pasingetosha hapo
31una umri gani?
Kilimanjaro shule zinakosa wanafunzi kwa sababu population imeshuka sana ukienda huko uchagani na upareni kuna nyumba nyingi sana ni magofu hazina watu ni kawaida kukuta mtaa una wazee tu kijana ni mmojaShule mkoani Kilimanjaro zakosa wanafunzi, huku mikoa mingine ikikabiliwa na ukosefu wa madarasa, tatizo ni nini?
Nilistaajabu sana baadha ya kufika maeneo ya Mwika Madukani na kuelezwa ya kuwa baadhi ya shule za serikali za msingi zimekosa wanafunzi kwa mwaka wa pili mfululizo yaani nikimaanisha "hakuna wanafunzi wa kuandikisha kwa ajili ya darasa la kwanza, aidha baadha ya shule kuwa na idadi ndogo ya...www.jamiiforums.com
Kivipi nawakati VETA zipo kila mkoa mtu aache kusoma VETA iliyoko mbeya aje RufijiHavitakiwi kuwa Vyuo vya watu wa Wilaya husika ,inatakiwa vitangazwe Kitaifa Ili Wananchi kutoka kila pande waje kusoma.
Pia uhamasishaji wa Wananchi kuona umuhimu wa Elimu uendelee
KUSOMA NI KUONGEZA WAJINGA KWANI WALIOSOMA NI WAJINGA SANANilimsikia mkuu wa Wilaya huko akilalamika kuwa alipita kuangalia ujenzi wa chuo wakati kinajengwa akahoji mafundi mbalimbali waliokuwepo site kuanzia wa ujenzi, umeme, kuezeka, mafundi bomba, mafundi chuma nk akakuta wote wanatoka mikoa tofauti tofauti nje ya Rufiji. Alipohoji kwanini akaambiwa hapa Rufiji hawapo ndio maana tumewaagizia huko ikamuuma.
Sasa akafika chuo cha VETA kipya kimejengwa kwa mabilioni ili wana Rufiji nao wawe na chuo Chao cha ufundi kizuri akakuta pale waliojiunga kozi ya umeme wa majumbani na viwandani wako 14 tu. Na kati ya hao 14 ni wawili tu ndio wanatoka Rufiji. Mkuu wa wilaya na mkuu wa chuo wakalalamikia wakazi kuwa mkoa wa Pwani ndio unaongoza uwekezaji kwa viwanda Tanzania kwa sasa na wanahitaji mafundi umeme wa viwandani lakini wenyeji wa Rufiji hawachangamkii kupeleka vijana hicho chuo kilichoko kwao na kililetwa kwao ili nao wapate Elimu ya ufundi wasisingizie umbali au kutengwa kimaendeleo ya vyuo.
Binafsi iliniuma sana mabilioni yote yamewekezwa kujenga kile chuo halafu response ya wananchi inakuwa mbovu.
Yaani hawataki ina masna kama hawasomi VETA wanataka hata miradi ya serikali Rufiji watu baki toka mikoa mingine wenye vyeti vya VETA ndio waende kufanya toka mikoa mingine.Hii kitu inaumiza.Watu wa Rufiji wajitafakari
Watu wa Rufiji hamjamtendea haki Raisi Samia kwa kweli Nami naungaba na mkuu wa wikaya
Mnamvunja moyo Raisi Hebu pelekeni vijana kusoma hicho chuo
Ndivyo ilivyo hata Sasa kwa sababu VETA zinatofautiana kozi,vifaa na uwezo wa Walimu na uzoefu.Kivipi nawakati VETA zipo kila mkoa mtu aache kusoma VETA iliyoko mbeya aje Rufiji
Hiyo ilijengwa kwa ajili ya watu wa Rufiji naona wanaisusa yaani nimekubali uraisi kazi ngumuKivipi nawakati VETA zipo kila mkoa mtu aache kusoma VETA iliyoko mbeya aje Rufiji
Kwanza hakuna choo Samia amejenga, fedha iliyotumika ni kodi zetu na mpango wa kukijenga ulikuwa umeandaliwa.Taratibu tafadhali ,Mfano umeenda kujisaidia haja kubwa choo kizuri cha soko au hospitali vilivyojengwa na Mama Samia utaacha kumshukuru ukishamaliza kujisaudia haja kubwa?
Nilimsikia mkuu wa Wilaya huko akilalamika kuwa alipita kuangalia ujenzi wa chuo wakati kinajengwa akahoji mafundi mbalimbali waliokuwepo site kuanzia wa ujenzi, umeme, kuezeka, mafundi bomba, mafundi chuma nk akakuta wote wanatoka mikoa tofauti tofauti nje ya Rufiji. Alipohoji kwanini akaambiwa hapa Rufiji hawapo ndio maana tumewaagizia huko ikamuuma.