kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Pilipili njoo utetee chochoro lako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha utani mkuu. Usifananishe Dodoma na vitu vya kipustiAje Kyerwa Huku
Dodoma Jina Tu
Kyerwa Town Sana, Hakuna MafurikoAcha utani mkuu. Usifananishe Dodoma na vitu vya kipusti
Wakazi wa Swaswa jijini Dodoma waanza kujiandaa na mafuriko, ni kitu kimenishangaza sana mara baada ya kuspend muda kwa wiki yote iliyopita katika jiji hili. kuna mwenyeji wangu amekuwa akinishauri nije kujenga Dom nikasema ngoja niende, zunguruka na madalali kutafuta viwanja ndio nikaonyeshwa Swaswa. Bahati ikawa yangu, baada ya kuachana na dalali si nikarudi eneo lile, jirani akanitonya kuwa niwe makini kununua viwanja maeneo hayo kwasababu hata wao wameshaanza kujiandaa na mafuriko kwa mvua zitakazokuja kwani kila mwaka kuna mafuriko. nilishangaa sana katikati ya jiji miundombinu haidhibiti mafuriko kwenye maeneo yenye viwanja vizuri namna ile. akaniambia pia Swaswa kuna migogoro ya viwanja balaa....kwakweli kiwanja ni kuzuri sana lakini sijajua kama kweli alichosema jirani ni sahihi au alikuwa anambania mshikaji asipate pesa, na hasa lile la migogoro. wenyeji wa Dodoma naomba mtutonye tafadhali anayeyajua mazingira hayo.
Kikuyu Nako Safi
MmhhhAirport Inajengwa Maeneo Ya Mipango Unaingia Kulia Ukitoka Mjini, Mkalama Ukitoka JK CONVENTION CENTRE
Ukianza Kupanda UDOM Kulia
Hata mwaka huu wakazi wakilalamika kuhusu mafurikomwaka juzi niliona kwenye taarifa ya habari mafuriko. usitupige porojo hapa.
Huku watu wanajenga balaa, halafu tanesco wamehamasisha ujenzi sana baada ya kuanza kusambaza nguzo na nyaya.Tulia Kwanza Utapigwa Halafu Achana Na Madalali Utaliwa, Viwanja Millions 2 Unapata Tena Nala Chuo Cha DECA
Itakuwa uliondoka Dodoma siku nyingi sana mkuu! Kwamba Kikuyu ya sasa kuna shida ya maji?Kikuyu kuna shida ya maji
hamaanishi kwamba maji hayatoki kwenye mabomba, anamaanisha kuna mafuriko wakati wa mvua.Itakuwa uliondoka Dodoma siku nyingi sana mkuu! Kwamba Kikuyu ya sasa kuna shida ya maji?
Hamna Mafuriko ST John Mpaka Uelekeo Wa Michese Mpaka Zuzuhamaanishi kwamba maji hayatoki kwenye mabomba, anamaanisha kuna mafuriko wakati wa mvua.
Ninapafahamu sana Kikuyu mkuu, hakuna shida ya mafuriko kipindi cha mvua wala hakuna shida ya maji ya DUWASA.hamaanishi kwamba maji hayatoki kwenye mabomba, anamaanisha kuna mafuriko wakati wa mvua.
Huamini au? Bahati yako nimetoka Dodoma ngekupeleka viwanja vilivo sehem sahihi kwa bei hizo halafu usingeamini.kiwanja milioni 2 dodoma? hahaha.
Ntyuka ni mlimani panapaswa kuwekwa barabara nzuri lkn ni karibu sana city centre na huduma zipo.Ntyuka pakoje mkuu?
Inanyesha vizuri tukwani mvua inanyesha dodoma?