Mafanikio hayatokani na ubora. Songa aliwahi kusema "unaweza ukawa bora hata usipo win"Mafanikio makubwa kwenye career yake ni kupiga picha na Kanye west & Wiz khalifa. Music content wise ni 0 yani Sifuri. Anaupenda sana muziki ila muziki haumpendi, angewekeza jitihada zake kwenye angle nyingine ya muziki kama vile Promotion au management inawezekana angekuwa na mafanikio zaidi
Job true trueMsanii wa Social media huyo...!
NI MAARUFU KWA KUJIMWAMBAFAI.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Duuuuh anewahi piga nao picha??Mafanikio makubwa kwenye career yake ni kupiga picha na Kanye west & Wiz khalifa. Music content wise ni 0 yani Sifuri. Anaupenda sana muziki ila muziki haumpendi, angewekeza jitihada zake kwenye angle nyingine ya muziki kama vile Promotion au management inawezekana angekuwa na mafanikio zaidi
Sasa ubora utakuwa calculated vipi bila ku..winMafanikio hayatokani na ubora. Songa aliwahi kusema "unaweza ukawa bora hata usipo win"
Trust me Wakazi anaweza asiwe kwenye top ten zenu ila kichwa chake ni asset kubwa kwa sanaa yetu.